Search results

 1. Congo

  Makato ya kodi kwa mujibu wa Sheria

  Kifungu cha sheria ya kodi kuhusu mapato ambayo mtu anatakiwa kukatwa kodi hiki hapa. .-(1) An individual's income from an employment for a year of income shall be the individual's gains or profits from the employment of the individual for the year of income. (2) Subject to the provisions of...
 2. Congo

  Arena maana yake nini?

  Wasafi Radio wana Sports Arena, leo nimesikia joking arena. Je, arena maana yake nini. Vipi kipindi cha michezo kiitwe arena? Nijuavyo arena ni uwanja uliofunikwa unaotumika kucheza michezo isiyotumia uwanja mkubwa. Hapa Tz tuna uwanja wa ndani wa uwanja wa taifa. Arena sio stadium. Vipi sisi...
 3. Congo

  Songesha wawe wawazi kwenye makato

  Hii huduma ya songesha vodacom inatuumiza. Wawe wawazi kwenye makato yao. Ni huduma inaumiza mpaka ukikopa mkopo wako 30 % imezidi ndani ya muda mfupi. Uniktumiwa hela ndani ya mkopo I aliwahi hapo hapo. Noooooool
 4. Congo

  Biashara ya Covid19 mpakani

  Nyie wamiliki wa malori, hakikisheni mnawapa madereva wenu Tshs 100,000 ili waingie Kenya bila covid19. Usipotoa atakutwa na corona tu. RUSHWA KENYA ili kuingia
 5. Congo

  Latra na usafiri mijini

  Ni pemdekezo langunkuwa kuwe na mabadiliko ya aina ya mabasi yanayotakiwa kuhudumia jiji la DSM. Mabasi kama coaster, civilian, tata, iecher na menhine tuliyonanyo kwa sasa hayafai. Mji umekua. Kuna aina ya mabasi ya mjini. Mapana. Chassis zake ziko chini. Yanabeba abiria mpaka 100. Ndio...
 6. Congo

  Shule zenye ufaulu mkubwa unaojirudia zichunguzwe

  Sasa limejitokeza wimbi la shule zinazopata ufaulu mkubwa tena zinajirudia kila mwaka. Inawezekanaje wanafunzi 57 wapate division 1 yenye alama 7 saba. Wote! Alama 7. Wanafunzi kufaulu sawa lakini huu ni ufaulu unaotia wasiwasi zaidi ya kupongezwa. Sent using Jamii Forums mobile app
 7. Congo

  AFANYWEJE HUYU DEREVA

  Huyu dereva wa kufukuza kazi kabisa.
 8. Congo

  Utendaji wa NIDA mbovu

  Naamini serikali inapita humu. Naomba niijulishe kuwa utendaji wa NIDA ni mbovu. Foleni ndefu bila sababu. Watumishi wachache. Kazi haziendi. Kuna nini? Anayehusika aende pale ofisi za Ukonga ajionee mwenyewe.
 9. Congo

  Ombi: Waziri mkuu tembelea Dar es Salaam uone ufujaji

  Ndio utakapoona kuwa hakuna umuhimu wa kuwa na miradi ya manispaa na miradi ya jiji. Ni ufujaji wa fedha. Vunja jiji. Zibaki manispaa zikiendesha miradi kwenye maeneo yao.
 10. Congo

  Naiomba mamlaka ya vitambulisho NIDA iwaokoe wananchi wanaoomba vitambulisho

  Naiomba mamlaka ya vitambulisho NIDA iwaokoe wananchi wanaoomba vitambulisho pale ofisi za NIDA Ukonga. Wanaweka foleni muda mrefu, wanapoteza muda wao. Fanyeni imma muwaokoe wasipoteze muda wao.
 11. Congo

  Baa ya Nyumbani park Morogoro acheni ubaguzi

  Nilitembelea hii baa hivi karibuni saa za usiku. Nikakuta mlangoni kuna kreti ya bia. Sasa wanaume wanaingia lakini wanawake wanaambiwa kutoa shs 5000 pale langoni na wanapewa bia 1 ndio wanaruhusiwa kuingia. Nilipouliza kisa ni nini, nikaambiwa kwambwa wanawake wanahisiwa kuwa wanaingia...
 12. Congo

  JPM wateuzi wako waombe kazi kwako

  Nakushauri kuwa. Unaowateua waombe kazi. Utathmini maombi yao. Ujue unayetaka kumteua atakuja kukufanyia nini. Waandike wataifanyia nini wizara, idara, mkoa, kitengo na kadhalika. Unaowateua wengine hata hawajui wanaenda kufanya nini. Mtu akiomba unatathmini maombi yake ukamteua, utaangalia...
 13. Congo

  Kwa maisha ya kukosa ajira F4 na kozi vinatosha

  Naangalia jinsi vijana waliomaliza digrii, wengine mpaka masters wasivyo na ajira inasikitisha. Mfumo wetu umejengwa kutaka kila anayemaliza elimu ya juu apate ajira. Hata kama atakuwa na akili ya ujasiriamali lakini ajira huwa inakuwa kipaumbele. Sasa, inapotokea wanakosa ajira kama ilivyo...
 14. Congo

  Spika wetu Ndungai, mbona uongozi wako ni malunbano tuuuu

  Hupendi wakosoaji. Kwa nini? Ngumu pia kuishi na washangiliaji tu. Sent using Jamii Forums mobile app
 15. Congo

  Lema kakopa shs 644m/=? Kwa vigezo vipi?

  Sikuamini spika aliposema Lema amekopa 644m/=. Kwa mshahara na marupurupu yapi yanayomuwezesha kukopa kiasi hicho cha fedha? Ni ngumu kumeza. Anauejua zaidi atuelemishe. Sent using Jamii Forums mobile app
 16. Congo

  Ushindi wa Taifa Stars vs matumizi bira ya fedha

  Ushindi wa Taifa Stars ni matokeo ya matumizi bora ya fedha pale TFF na vilabuni. Wenye akili wameshtuka kuwa bila matumizi bora ya fedha zilizopo wanaweza kushukiwa na mwewe bila huruma. Matokeo yake kila kitu kimenyooka na hakuna longolongo. Kocha kalipwa, wachezaji wamepata malipo yao na...
 17. Congo

  Kwa mgao ule wa vitambulisho. Vitaenea kariakoo nzima

  Kwa mgao ule niliouona pale ukumbuni. Na kwa aina ya watu waliopokea vile vitambulisho. Tushishangae wafanya biashara wote Tanzania wanafunga maduka na kuhamia barabarani.
 18. Congo

  Jina la Mfugale flyover lirekebishwe

  Napendekeza jina la Mfugale Flyover lirekebishwe kuwa Patrick Mfugale Flyover. Sababu ni moja tu kuwa Mfugale wako wengi. Hivyo kutoa nafasi kwa Mfugale asiyehusika kunufaika na jina hilo. Mifano ni mingi kuhusu majina kuwa kamili au kuanza na herufi za kwanza. P.A.N. MFUGALE FLYOVER
 19. Congo

  Piga ua huu ndio mwanzo wa mwisho wa dola ya Korea Kaskazini

  Tukirejea historia. Kitendo cha kiongozi wa Korea Kaskazini kuvuka mpaka na kuingia Korea ya Kusini ndio mwisho wake. Rejea Urusi, Ujerumani n.k.
 20. Congo

  Wakati umefika wa ghuba ya Emin Pasha kuitwa ghuba ya Magufuli

  Ni wakati sasa wa wanaohusika kubadili majina wabadili ghuba ya Emin Pasha iliyopo katika Ziwa Victoria karibu na kisiwa cha Rubondo kuwa ghuba ya John Pombe Magufuli(JPM Gulf). Sababu ni nyingi lakini kuu ni kuwa iko karibu na chimbuko la Rais ambalo ni Chato na pia ni vema ikawa na jina la...
Top Bottom