Search results

 1. Bulaya001

  Msaada kwa mwenye uelewa kuhusu jambo anisaidie

  Salute all comrades[emoji113] Usiku wa kuamkia leo ktk hali isiyokuwa ya kawaida nilikuwa naugulia maumivu ya kikohozi kikavu(ninacho takribani siku ya nne kufikia leo) tena jana kilikuwa ni kikohozi kweli kweli, kiliambatana na Mafua yaliyovuja mithiri ya chemchem ya mto Nile (joke). sasa basi...
 2. Bulaya001

  Bwana harusi nchini China, amdhalilisha mkewe kwa video chafu ya ngono

  Salute, Ni video chafu ya ngono ambayo bwana harusi kutoka Fujian China aliamua kuiplay Ukumbini ili kumdharirisha mkewe huyo mpya siku ya ndoa yao, ambapo ilimuonyesha bibi harusi huyo akimsaliti kwa mwanaume mwingine. Kulikuwa na video tatu, moja iliwaonyesha maharusi hao wakitembea tu...
 3. Bulaya001

  Shabiki wa Diamond amvamia Alikiba na kumpatia penseli yake

  Natumai mu wazaima wa Afya.. Hili ni tukio lilitokea leo katika mkutano wa alikiba aliokuwa akiongea na waandishi wa habari, Kama umekuwa ukifuatilia katika mitandao ya kijamii, kijana huyu ame- trend siku za hivi karibuni baada ya kukumbatiwa na diamondplatnuz siku ya tamasha la jama festival...
 4. Bulaya001

  Tuliowahi kufumaniwa bafuni/chooni tukutane hapa

  Natumai ni wazima kama nilivyo. Moja kwa moja pasipo kupepesa macho najitosa kwenye mada yangu. Wakuru hakuna kitu kinatia haibu/fedheha kama kufumaniwa ukiwa unashusha mzigo au upo bafuni unaoga tena ukute aliekufumania ni mtu mnaeheshimiana naye mno hasa hasa baba/mama mkwe, baba/mama mzazi...
 5. Bulaya001

  Majina ya kizungu yaliyobadilika na kuwa ya kibantu..

  Wakuu, hii imezoeleka huku kwetu yaani ukisikia mtu anaitwa haya majina basi moja kwa moja utajua ni msukuma japo ni majina ya kizungu:- Charles Laurensia Metusela Emanul John Peter Abdalah Rahel Mariam Michael God Paul Samson n.k.. n.k #sijui ni kwa nini imezoeleka hivi, ama saizi hakuna...
 6. Bulaya001

  Je, wazijua tabia za wanawake wanaopenda sana pesa?

  [emoji117]1. Huwa na tamaa ya mambo yasiyo ya lazima. Wanawake wengi wapendao pesa huwa na tamaa ya mambo yasiyo ya lazima, mambo ambayo hayagusi maisha moja kwa moja. Hata nilipokuwa shule wanawake wengi waliokuwa wanapenda pesa Sana walikuwa na tamaa za kusikitisha ambazo zilipofusha fahamu...
 7. Bulaya001

  Dudu baya anazidi kufilisika kiakili

  Huyu mtu nashindwa kuelewa anakoelekea ni wapi sijui, maana kadiri siku zinavyozidi kwenda anazidi kuwa mtu asiye na busara hata kidogo, sijui ni mapombe ama bhange ndio zinamfanya kuwa hivi maana kutwa kupost clips IG za kipuuzi tu[emoji848] Hivi kweli kawa nani mpaka anafikia hatua ya...
 8. Bulaya001

  Msaada; Natafuta perfume yenye harufu nzuri

  wana JF, kuna ile unakutana na mtu yaaan kwa jinsi anavyonukia tu unaanza kuwazia akilini "kama huyu si mtumishi wa bank basi atakuwa plan international ama kwenye wizara flan ivi serikalini" ila baada ya udadisi wa karibu unakuja kugundua kumbe ni mtu wa kawaida tu, Naitaji kufahamu aina ya...
 9. Bulaya001

  "MAALUMU KWA WALE WANAOGOPA PAKA USIKU"

  Kipindi Cha , karne ya 14, barani Ulaya, walikuwa wanauwa paka baaada ya kuwahusisha na uchawi. Baada ya kuuliwa paka wengi, ulitokea mlipuko wa Gonjwa la TAUN/PLAGUE, ambao unasababishwa na panya baada ya panya hao kuzaliana kwa wingi. Inakadiliwa zaidi ya watu milioni 75, walikufa katika...
 10. Bulaya001

  Jamani wanaJF me naomba tuanzishe mpango mmoja huu

  MTU akiumwa tunaenda kumsalimia na mchele kili 10 ,mafuta Lita 5,nyama kilo 6 maharage kilo 5 nyanya, vitunguu na viungo vya pilau [emoji39][emoji39][emoji39]Nakama tumekubaliana tuanze kesho maana mimi mwenyewe najihis homa hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 11. Bulaya001

  Hivi huwa unajihisi vipi ukilala katika kitanda chenye kunguni?

  mwaka2017 nilimaliza mwezi mzima sijalala ktk kitanda changu, siku ya kulala nakumbuka niliamka na mapele si ya nchi hii.. kwa kweli sitamani tena hawa wadudu wanirudie..!
 12. Bulaya001

  Hii tabia ya NIDA siiekwi mimi

  Unaambiwa [emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]Kupata Namba ya Kitambulisho chako Piga *152*00# chagua3, chagua2, ingiza majina matatu, namba ya simu uliyojaza kwenye fomu, Bonyeza Kubali. Vinginevyo fika NIDA gharama za kuangalia namba za kitambulisho chako ni Tsh100. unapiga arafu...
 13. Bulaya001

  Daaah... yaaan!

  TAIFA STARS YAPOKONYWA USHINDI DHIDI YA UGANDA NA KUKOSA NAFASI YA AFCON CAIRO MISRI Timu ya soka ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imepokonywa ushindi dhidi ya Uganda katika mechi yao ya mwisho ya kufuzu Mataifa ya Afrika baada ya kugundulika hujuma katika mechi hiyo. Habari nyeti...
 14. Bulaya001

  Taifa na promo zisizo na maana, tunaekekea wapi?

  TANZANIA NA PROMO ZISIZOKUWA NA MAANA. Wakati Wiki iliyopita Rais wa Ufaransa akiwa Kenya wakenya walijitahidi sana kuhakikisha kuwa amepanda Gari lililoundwa nchini Kenya na waliipa promo sana Issue ile. Hii kwao ni faida kubwa sana, mitandao ya Kenya ilichafuka kwa picha za Emmanuel Macron...
 15. Bulaya001

  TAFAKURI..

  Michael Jackson alikuwa ni binadamu mwenye ndoto nyingi lakini Ndoto zake 2 kuu maishani zilikuwa ni:- *1.* Kwanza ni kuwa mwanamziki mkubwa zaidi duniani wa Pop. *2.* Kuishi miaka 150. [emoji457] Baada ya kuifanikisha ndoto yake ya kwanza kwa ufanisi mkubwa aliamua kuanza kuwekeza kwenye...
 16. Bulaya001

  "special kwa wadada"

  Umepata bwana, umempenda kweli kweli na umemlalamikia sana eti kwanini hakupeleki kwa wazazi wake kukutambulisha, jamaa akagoma sana mwishowe akaona isiwe kesi akakupeleka Wewe badala hata utake hiyo advantage umefika tu siku ya kwanza umeshinda unachati, siku ya pili umeshinda unachati tena...
 17. Bulaya001

  MWENDELEZO WA UPOTEVU WA BAADHI YA VITU/VIUMBE ULIMWENGUNI.

  tumekuwa tukisoma na kusimuliwa karne nyingi za nyuma kulikuwa na viumbe kama Godzilla, dinosaurs, dragon na etc, lkn walipotea kutokana na mabadiliko ya tabia ya nchi. Na inasemekana miaka inavyozidi kusonga kuna uwezekano wa kupoteza viumbe kama senene, ndovu, nyati.. hoja yangu ya msingi...
 18. Bulaya001

  BAADA YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI,L: WANAUME TUTAFAKARI KWA KINA KUHUSU HILI.

  *Wanaume wenzangu, tufanye kazi kwa bidii tutafute hela ili uzee wetu tuwe na uwezo wa kujitegemea. Hakikisha kwenye uzee wako una pesa zako mwenyewe za kukufanya usurvive. Sahau kuhusu watoto, na mama yao kwamba watakutunza. Wewe ndiye stranger pekee kwenye hiyo familia unayoiita ya kwako. Hiyo...
 19. Bulaya001

  Wanawake ukubalini huu ukweli mchungu

  INASEMEKANA: Idadi ya watu inafikia bilioni 7.8 dunia nzima huku Wanawake ni bilioni 5.6 Wanaume ni bilioni 2.2. Hapo utaona busara inamtaka kila mwanamke kujitafakari kabla ya kumkataa mwanaume, au kukataa ndoa ya uke wenza. Zingatia kwamba, kati ya hao wanaume bilioni 2.2, Bilioni 1 tayari...
 20. Bulaya001

  MAMLAKA ya Chakula na Dawa nchini (TFDA) imewataka wananchi kujenga utaratibu wa kusoma maelezo ya bidhaa za vyakula zinazouzwa madukani

  Maswali yangu kwa TFDA:- [emoji117]Dana wimbi la matapeli wanaotusumbua mitaani kwa kujiita wafanyakazi wa TFDA, tukiwaona tuchukue hatua gani.. [emoji117]faini anayotoa mtu anayekutwa na (dawa/vyakula) vilivyo- expire ni shilingi ngapi. na inatolewa kwa utaratibu upi?!! [emoji117]No. ya TFDA...
Top Bottom