Search results

 1. Dio

  Msaada: Sauti kwenye Laptop

  Wakuu poleni na majukumu ya hapa na pale, Naomba msaada kwa mwenye ujuzi laptop yangu aina ya dell, imekata sauti gafla nashindwa kuelewa tatizo limetokana na nini. Msaada tafadhali
 2. Dio

  How to Distinguish entrepreneurship from an entrepreneur

  Naomba mwenye uelewa wa swali hili anisaidie Distinguish entrepreneurship from an entrepreneur.
 3. Dio

  Msaada wahitajika: Distinguish Entrepreneurship from an Entrepreneur

  Wapendwa natumaini mko salama, Kuna mdogo wangu kaulizwa swali kashindwa kulielewa, sasa kaniletea mimi na kwangu limekuwa gumu, nikaona nililete hapa kwa wadau mtanisaidia; ''Distinguish Entrepreneurship from an Entrepreneur'' - Ndio swali lenyewe..
 4. Dio

  Anapataje updates za group la Whatsapp mbalo hajajiunga ?

  Habarini washikadau wangu wa nguvu, naomba kuuliza kuna uwezekano wowote mtu kufuatilia mambo yako unayochat kwenye groups mbalimbali kupitia kwenye email yako, ikiwa anaifahamu na password. Kwa kifupi kwenye group hayupo,lakini ananiambia kila kitu kinachoendelea kwenye group,hyo inawezeka? au...
 5. Dio

  msaada wa kwenye simu yangu samsung GT-18190

  wapendwa inakuwaje, poleni na majukumu ya kazi,naomba mwenye ujuzi wa kufanya manual setting za internet kwenye simu tajwa hapo juu,yaani haitaki kuwa kwenye 3g,h kila nikifanya setting inakuwa E,ambayo kwenye intenet inakuwa slow sana,jamani naombeni msaada wenu
 6. Dio

  Heri na baraka kwa siku yangu ya kuzaliwa

  Mungu nakushukuru kwa kuniwezesha kuiona tena siku yangu ya kuzaliwa.
 7. Dio

  msaada kwenye samsung galaxy s2

  mambo vipi wakuu naombeni msaada kwenye sms nikitaka kutuma inaniandikia enter senders name. nimejitahidi kurekebisha lakini sijafanikiwa,mwenye kujua tafadhali anijuze
 8. Dio

  mwenye ujuzi na Fritz box 6810 LTE

  Wapendwa habarini na majukumu, Wakuu nilikuwa naomba kama kuna mtuu alishatumia kifaa hiki, na matumizi yake yakoje na kinafaida gani kwenye internet tofauti na modem? nimeuliza hivi kwasababu kuna mtu kapewa na bosi wake na ina line ya smile,sasa anataka kuniuzia na mimi nimevutiwa na hii...
 9. Dio

  msaada kwenye blackberry

  Wakuu habari zenu Natumaini wote mmesherekea siku kuu kwa amani na upendo, Wadau nina ombi kuhusu blackberry yangu 8520 inatatizo la kuplay video kwenye youtube hasa kwenye line ya tigo na airtel ila kwenye voda inakubali Ukijaribu na hizo line za tigo na airtel inaniandikia hivi“content not...
 10. Dio

  Mbinu za kujihadhari na uhalifu

  Tunaishi katika dunia iliyojaa uhalifu. Uhalifu wa aina mbalimbali kuanzia wizi wa kutumia silaha, wizi wa maarifa yaani utapeli na hata wizi wa kutumia kemikali na teknolojia. Hali ya uhalifu inazidi kuongezeka kutokana na sababu kadha wa kadha ikiwa ni pamoja na hali ngumu ya uchumi na...
 11. Dio

  Msaada internet samsung galaxy 4s

  Wakuu habari za majukumu natumaini wote wazima,ila ambao kidogo kiafya hawapo vizuri tuwaombee kwa mungu wapone mapema, ombi langu kuu naomba mwenye kujua manual setting za internet anielekeze,nimejaribu kugoogle lakini sijaweza kupata maelezo ya kunitosha. Asanteni
 12. Dio

  Kurudisha data kwenye memory card

  Wakuu habari za kazi, naombeni msaada nitumie program gani kurudisha program pamoja na music kwenye memory card yangu,ambayo jana niliitoa kwenye simu na kuiweka kwenye card reader ili niichomoe baadhi ya vitu,sasa baada ya kuifungua tu,nikagundua ile pc ina virus na vitu vyote kwenye memory...
 13. Dio

  Msaada kwenye blog

  Wandugu natumaini wote wazima wa afya . ndugu zangu wataalamu wa naombeni msaada juu ya kuondoa hili tatizo kwenye my blog ,kwakifupi hii blog alinitengenezea rafiki yangu ambaye ni ADMIN wa mtandao wa rafikibuzz sasa, kuna hili tatizo nimekuwa nikipokea maoni mbali mbali kuhusu blog yangu hasa...
 14. Dio

  Msaada wa nyimbo hizi

  Mambo vipi wapendwa, Natumaini sisi sote ni wazima ninaombi kwa mwenye nyimbo hizi za Tanzania ambazo ni Tazama Ramani utaona nchi nzuri. Na Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote Naomba kwa mwenye nazo au sehemu ambayo naweza kwenda na kuzipata. Asanteni sana.
 15. Dio

  Product key

  Wakubwa mambo vipi? Natatizo la product key za window service pack 3
 16. Dio

  3g join air

  Wakubwa mambo vp? Natumaini wote wazima. Ndugu zangu nina tatizo kuhusu kuchakachua modem ya huawei e153,huwa napenda kutumia huawei modem unlocker ya temporaly,sasa pc ambayo natumia ni service park2 ambayo ni window ya old huwa haitaki kufunguka hii program Huawei modem unlocker, sasa...
 17. Dio

  Msaada Window xp

  Mambo vipi wakuu? Naombeni mwenye activator za window xp.
 18. Dio

  msaad jamani wa Game

  wakuu habari za kazi naombeni mwenye llink ambayo naweza kudownload game ya fifa 2010 au need 4speed tafadhali anisaidie nimejaribu ku google inaniletea vitu vya ajabu
 19. Dio

  Ku activate window

  Wakuu habari za muda huu nina shida mwenye ujuzi naomba anisaidie,nime upgrade window yangu,sasa kwenye kuwasha cp inaniletea kiujumbe kama hiki This copy of windows must be activated with microsoft before you can log on. Alafu ndio inaniuliza Do you want to activate windows nw? Kuna yes na...
 20. Dio

  Yanga vs zamaleck

  Jamani tupeane yanayojiri huko Misri
Top Bottom