Search results

 1. MENISON

  Huu ni ugonjwa gani? Nywele hazioti sehemu fulani ya kichwa tena katikati au nyuma ya kichwa karibu na sikio

  Habari wakuu? Nimeambatanisha picha hapa chini,kwa sasa nipo mbali na hospital kubwa nilitaka kujua kwanza kwa sasa nina miezi nane ,nywele hazioti sehemu moja inabaki kama kishilingi hivi.
 2. MENISON

  House4Rent Nyumba inapangishwa karibu na Goba Njianne, Dar

  Ina vyumba viwii vya kulala , choo cha ndani na nje. Ina jiko ,dinning na baraza ya mbele na jikoni. Nyumba inajitegemea mifumo ya maji na umeme. Ipo ndani ya fence,bei ni 250000/= fixed. Ipo kilometer 1.5 kutokea njianne ulelekeo wa madale, mita 110 kutokea lami. 0789 505 901 mawasiliano
 3. MENISON

  TANESCO Mbezi Beach wazembe, meneja wilaya mzembe

  Habarini wakuu? Hivi hawa Tanesco pale wilaya ya Mbezi Beach wanataka tuwafanyeje? Yaani mtu anaunganishiwa umeme anapewa unit 10. zikikata inapita zaidi week nzima unaenda kwa Vendor kununua umeme unaambiwa Luku yako haijwa activated. Ukienda pale na meter yako utasikia baada ya masaa 2...
 4. MENISON

  Hii stori ya kweli inasisimua kutokea shuleni Mazinde Juu

  Happy, binti mwenye akili, aliyetoka katika familia isiyojiweza lakini alifanya vyema katika matokeo yake ya kidato cha 4 katika shule jirani ya serikali, hivyo meneja wa shule, Padri Damian Milliken alijitolea kumsomesha Mazinde Juu na kumhudumia hadi atakapomaliza kidato cha 6 . Baada ya...
 5. MENISON

  Mabasi ya Mbeya yanakimbia sana

  Haya mabus ya Dar to Mbeya, Mbeya to Dar, Mwanza to Mbeya, Arusha to Mbeya speed zao si za kitoto. Nimesafiri mara kadhaa route ya Mbeya ni balaa tupu, sitataja mabus ila ntatoa mifano. 1. Ukiwa Dodoma stand mabus ya kutoka Arusha ni mengi ila ya mbeya lazima yaingie kwanza. 2. Ukiwa Moro...
 6. MENISON

  DStv wanalipisha zaidi ya maramoja kifurushi, kwa mwezi

  Yaani sijui ni wizi planned au ni makosa ya mtandao, mwezi wa tatu nimelipia mara tatu tar 7,tar 17 na tar 25. Na tena leo kimeisha naambiwa nilipie wakati ni kifurushi cha mwezi. Huko nyuma hali haikua hivyo , hivi watumiaji wa dstv hakuna aliwahi kumbana na changamoto kama yangu? Sent using...
 7. MENISON

  1M Kupiga plasta nyumba nzima nje na ndani

  Kuna nyumba hapa Goba, inahitaji kupiga plasta nje na ndani kote, ina vyumba vitatu vikubwa sana vya kulala kimoja ni self, sebule kubwa, jiko, dinning na verander. Nahitaji fundi wa kupiga plasta nyumba nzima lakini bajeti yangu ni 1M tu plasta nje na ndani na kiuno. Vyumba upana na urefu ni...
 8. MENISON

  Mawasiliano kati ya mto Wami na Mbwewe yamekatika saa 11 alfajiri, sababu ni ajali

  Kuna ajali ya Roli na fuso hapa karibu na mji mdogo wa Mbwewe Bagamoyo wilayani Pwani. Njia imezibwa sasa ni zaidi ya saa 5 magari hayatolewi na sasa ni foleni ndefu za magari, mabus yanayofanya safari kutokea na kuja Dar, Moro nk kuelekea kaskazini , Tanga na nchi jirani yamekwama. Magari ya...
 9. MENISON

  Nisihamishe au nihamishe familia na mke aache kazi?

  Mimi ni mwajiriwa kampuni binafsi hapa Dar, na mke wangu yupo serikalini ngazi ya chini kabisa ya mshahara. Nilifanya kazi yenye mshahara mkubwa miaka miwili iliyopita mikoani na nikafanikiwa kujenga nyumba tunayoishi na familia Dar. Miaka hii miwili nilikuwa nadunduliza tu ila nimepata dili...
 10. MENISON

  Hivi hizi EFD machine , muuzaji analipaje kodi yake

  Hivi wanapelekaje kodi TRA, mfano akikupa risiti . Je analipia kwenye account maalumu au wanamkata automatic kwenye account yake. Az
 11. MENISON

  Msaada RITA Ubungo/Kinondoni/Ilala

  Mimi ni mkazi wa Dar es salaam, nimepata usumbufu wa kupata cheti cha kuzaliwa cha mwanangu mwenye mwaka mmoja. Kama kuna mtu anaweza kunisaidia ntampa hela ya maji si chini ya elfu 80. Ni pm tuongee, sitakii kwenda tena huko napoteza muda kutengeneza hela bora muda huo nitengeneze hela zingine...
 12. MENISON

  Huu ni ugonjwa gani? Nimekutana na mtu wa hivyo kijinini kwetu.

  Jamani huu ni ugonjwa gani
 13. MENISON

  Anahitaji kujifunza computer excel,word etc yupo Goba.

  Tunatafuta chuo au popote wanapotoa mafunzo ya computer microsoft word, excel ,graphics kwa angalau miezi mitatu. Ni F4 leaver wa miaka mitano iliyopita. Anataka kufungua stationary December mwaka huu. Ikiwa Goba, au Mbezi tankibovu au Kawe itapendeza zaidi.
 14. MENISON

  Mshahara wa 1.3M take home ni bei gani?

  Hivi Gross ya 1.3M takehome ni ngapi? Ukiondoa bodi ya mkopo, NSSF na TRA
 15. MENISON

  Mshahara wa 2.3M take home ni shilingi ngapi?

  Kama mtu anadaiwa Loan board ,TRA makato, NSSF. Makato kutokea sehwmu hizo tatu tu take home itakua ni shilingi ngapi?
 16. MENISON

  Mbezi beach vs Makongo High school

  Habari? Nina mtoto wa kike F1 namhamisha toka Mtwara nikae nae hapa Dar , kati ya shule hizo mbili nimpeleke ipi? Ada nimeuliza najua ila waliosoma hizo shule tupeni mazuri na mabaya, nasikia Makongo na boarding ipo. Kitaaluma zaidi na nidhamu
 17. MENISON

  Tv inchi 42 au 43 , nanitaji wapi naweza kupata

  Bajeti yangu ni Tsh 500 000 hadi 550 000 Bawea kupata Tv ya inchi zaidi ya 40 kwa hiyo bei? Sent using Jamii Forums mobile app
 18. MENISON

  Natafuta gari ya mizigo ya shambani isiyozidi 20M

  Habari? Nataka gari ya kubebea mizigo ya shamba, kama mbolea , magunia ya mahindi nk kwa bajeti isiyozidi 20M . Naweza kupata gari gani? Napatikana Tunduma , songwe. Sent using Jamii Forums mobile app
 19. MENISON

  Natafuta fundi mzuri wa kujenga ukuta Goba

  Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, nina kiwanja cha square kilometer 400, nimeshazungusha ukuta upande mmoja bado pande tatu ni kama tofali elfu 2 kasoro hivi za nchi 5 na 6 jumla. Nipeni gharama zake au fundi mzuri aende aone site then tuongee bei. Contacts 0716282670. Sent using Jamii...
 20. MENISON

  Nina 4M nataka Bajaj niifanyie biashara? Je itatosha ? Sitaendesha mimi ntatafuta dereva wa kuendesha

  Hivi naweza bajaj mpya kwa 4M? Au hata used nasikia kwa siku ni 15K to 30K Pera day, nipo Dar. Nina parking nzuri na gate pia nataka iwe inalala hapa home, sasa nina dereva muaminifu ila sijajua wapi au naweaaje kupata bajaj kwa bei hiyo? Sent using Jamii Forums mobile app
Top Bottom