Search results

 1. guwe_la_manga

  Nitazipatia wapi sabuni za miche za poa za kampuni ya MeTL kwa bei poa?

  Nipo Mkoani Simiyu Wilaya Ya Meatu. Huwa nanua sabuni hizi kwa bei kati ya 10500,10800 au 11000. Hizi bei na karibu katika maduka yote ya jumla jumla hapa Mwanhuzi. Ningependa kudeal na ununuzi na uuzaji wa sabuni hizi peke yake kwa ujumla na kisha kuziuza mwenye rejareja huko vijijini. Ni...
 2. guwe_la_manga

  Je, Mtumishi wa Umma anaruhusiwa kuacha kazi kwa notisi ya miezi mitatu?

  Ningependa kujuzwa ni taratibu zipi za kufuatwa kwa mtumishi wa umma mwenye ajira ya kudumu? Je, anaruhusiwa kutoa notisi ya miezi mitatu?
 3. guwe_la_manga

  Angela Kairuki yupo wapi kwa sasa?

  Huyu ni mmoja wa wanasiasa aliyeongoza kwa kubadilishiwa Wizara karibu tatu katika miaka mitano ya Hayati Magufuli. Mara ya mwisho kumuona ni kabla ya uchaguzi wa 2020. Ningependa kujuza alipo kwa sasa anafanya nini? Pia soma: Nini kinamsibu Waziri Angela Kairuki? Miaka 3 Wizara 3!
 4. guwe_la_manga

  ITV Kuweka kipini cha "MUBASHARA" kwa tukio la nyuma la JPM hamwoni kama mnazua taharuki kwa umma?

  Moyo wangu umeruka mapigo saba ya moyo baada ya itv leo asubuhi kuweka kipini cha "mubashara" kwa tukio la zamani la JPM kuweka jiwe la msingi la ujenzi w uwanja ndege mkoani Mtwara! Ni mazoea? N kupatiwa? Ebu Ongezeni umakini katika kazi yenu!
 5. guwe_la_manga

  Mechi ya Namungo dhidi ya Primiero itachezwa lini?

  Baada ya ile kashi kashi ya kule Angola je mechi ya kwanza Namungo atacheza na hawa jamaa lini?
 6. guwe_la_manga

  Wapi naweza ipata simu ya Redmni Pocco m3 hapa Tanzania?

  Nina shida ya hiyo hapo juu ya njano yenye internal 128gb! Wapi nitaipata hapa bongo ni kwa shs ngapi?
 7. guwe_la_manga

  Hivi hapa bongo kuna benki ya Kuwait?

  Wakuu naomba kujuzwa kama hapa Bongo kuna benki ya Kuwait kama ilivyo benki ya India! Kama ipo, utaratibu wa kufungua akaunti upoje?
 8. guwe_la_manga

  Ili niweze kufanya kazi TTCL natakiwa nisomee masomo gani na kozi gani chuoni?

  Miye ni muhitimu wa kidato cha nne mwaka 2012 kwa masomo ya HGL, ningependa kupata mwongozo wa nini nifanye. Je, HGL yangu ya div 2 inatosha? Au kuna somo inabidi niyareseat? Na kama kwa HGL inawezekana ni chuo kipi kinatoa masomo hayo kwa ngazi ya diploma?
 9. guwe_la_manga

  Utaratibu wa kuomba 'Visa' ya Nchi ya Oman

  Wakuu, Ningependa kwenda kutalii nchini Oman katika nchi tajwa hapo juu. Naomba nipatiwe0utaratibu wa kuomba visa,na ikiwezekana na gharama za nauli na malazi kwa wiki tatu. Natanguliza shukrani.
 10. guwe_la_manga

  Maandalizi ya Ujio wa Tundu Lissu Jimboni Meatu Mkoa wa Simiyu

  Sehemu ya maandalizi ya ujio wa Tundu Lissu Jimbo la Meatu mkoani Simiyu
 11. guwe_la_manga

  Uchaguzi 2020 Meatu CHADEMA: Uchukuaji wa fomu waenda vizuri

  Naam ndugu wajumbe wasaalamu, Leo imekuwa ni siku ya fanaka kwa chama cha CHADEMA Meatu baada ya kuchukua fomu za ubunge na udiwani kwa mafanikio makubwa. Kuweka kumbukumbu sawa:Wilaya ya Meatu mkoani Simiyu ina majimbo mawili ya ubunge ambayo ni Meatu na Kisesa. Jimbo la Meatu kwa sasa...
 12. guwe_la_manga

  Naomba kujua utaratibu wa kununua pesa za kigeni katika mabenki

  Naomba kujuzwa hatua za kufuata nikitaka kununua pesa za kigeni kwenye mabenki?
 13. guwe_la_manga

  Natafuta syllabus ya kifaransa kwa Kidato cha Kwanza na cha Nne

  Husika na mada tajwa hapo juu. Natafuta syllabus ya kifaransa kwa kidato cha kwanza na cha nne Mwenye nyaraka hii naomba anisaidie
 14. guwe_la_manga

  Uchaguzi 2020 Jimbo la Meatu litaenda CHADEMA iwapo CC ya CCM itafanya figisu kwenye uteuzi

  Wasalaam, Kuna majimbo ambayo ni wazi yataenda upinzani hasa CHADEMA iwapo CC ya CCM haitotenda haki. Mathalani jimbo la Meatu lilipo wilaya ya Meatu mkoa wa Simiyu. Jimbo hili lilikuwa chini ya CCM likiwakilishwa na Mhe Selemani Mbuzi almaarufu Jambo. Kwa wasiomfahamu Jambo ndiye mmiliki wa...
 15. guwe_la_manga

  Kwa wanaJF walio Singinda Mjini naomba mwenyeji wa kunipokea

  Nipo Nduguti naelekea Singida Mjini. Naomba kwa mwenyeji anipokee Stendi anitoe tongo tongo za mji huu. Natanguliza shukrani. 0624274356
 16. guwe_la_manga

  Safari ya Kwenda Mayotte: Mjuzi wa Kifaransa anahitajika

  Kifaransa nilikisoma kidogo mwaka 2004 pale Makongo Form 3 baadaye ya kuhamia pale tokea Lake Secondary School ya Mwanza. Sina msingi mzuri wa Form One and Two kwani sikufanikiwa kupata msingi mzuri wa Mwalimu wetu nguli bwana Komba. Hivyo kabla sijazamia Mayotte naomba kama kuna mjuzi...
 17. guwe_la_manga

  Ombi la mwenye ufahamu wa Liwale High School

  Mdogo wangu amepingiwa Liwale HS mkondo HGL. Mwenye joining instructions na ufahamu wa mazingira naomba anifahamishe. Natanguliza shukrani.
 18. guwe_la_manga

  Mwenye taarifa ya Kisiwa cha Mayotte: Fursa,uchumi na historia yake

  Wakuu mwenye ufahamu na kisiwa hiki aje hapa. Kwa wale wazamiaji je kuna maslahi huko? Natanguliza shukrani.
 19. guwe_la_manga

  Kuna fursa gani za kibiashara pale Namanga Border kipindi hiki cha Corona?

  Wakuu, ni biashara gani inayoweza nitoa haraka kama nitaileta mpaka wa Namanga kwa sasa?
 20. guwe_la_manga

  Hii mishikaki huuzwa shilingi ngapi huko Kenya?

  Ningependa kuja hapo Namanga upande wa Kenya ili niiuze hii mishikaki. Lengo ni kupata pesa za Kikenya ili kukuza kipato changu. As we speak 1 Kenyan bob=21.6 Tshs. Natanguliza shukrani.
Top Bottom