Search results

 1. Kamarada

  Madereva wanaoendesha magari aina ya Subaru na Alteza

  UMOFIA KWENU! Uzi huu ni maalum kwa ajili ya kupata maoni au mtizamo wa jamii kwa namna inavyowachukulia madereva wanoendesha magari aina ya SUBARU na ALTEZA hapa Tz. Kwa kuanzia, mimi binafsi nawaona wengi wao kuwa ni: 1 - Vijana wa kiume 2 - Wanaendesha kwa 'rafu' sana. 3 - Over...
 2. Kamarada

  Kwa hakika hii inatia huruma na kutafakarisha sana.!!

  Slaam kwenu Waungwana.. Kama picha inavyojieleza, kwa hakika personally imenitia simanzi na kunitafakarisha sana. Lakini kwa upande mwingine imenihamasisha kulipia king'amuzi changu in full kwa mwezi wote huu wa April ili siku za weekend na sikukuu nipumzike nyumbani na family tukiangalia TV...
 3. Kamarada

  Usafiri wa Treni kutoka Dar kwenda Mbeya upoje?

  SALUTE kwenu wakuu...JF inakilakitu!! Ni group ya watu watano tunataka kwenda mapumziko katika jijila Mbeya na tumependa kusafiri kwa Train ya TAZARA. Please, naomba kufahamishwa juu ya usafiri huo toka DSM kwenda Mbeya. Napenda kujua yote au machache utakayojaaliwa kama vile: 1. Uwepo wa...
 4. Kamarada

  2 years on: Tanzania’s Magufuli isn’t a bulldozer. He’s a magician

  2 years on: Tanzania’s Magufuli isn’t a bulldozer. He’s a magician. BY DAN PAGET NOVEMBER 6, 2017 President John Magufuli hasn’t just “pushed through” change. He’s achieved things that were considered all but impossible two years ago. President John Magufuli riding the newly launched bus...
 5. Kamarada

  Wataalam wa Magari

  Heshima kwenu wakuu waJF..! Plz naomba kujuzwa gari hizi zina ukubwa wa Pistons ngapi @..? Je, ni vitu gani vinaweza kumsaidia mtu kujua idadi ya Pistons ktk gari fulani..? a. Toyota Voxy, AZR60, 1990cc, Yr 2002, Petrol. b. Toyota Harrier, MCU15W, Lexus, 2990cc, Yr 1999, Petrol. Plz...
 6. Kamarada

  JWTZ lakabidhiwa jukumu la Ulinzi wa Bandari ya Dsm

  Amani iwe kwenu Wakuu..! Nimepenyezewa na mpashaji mmoja kuwa kuanzia leo trh 07 Dec 2015 Serikari imekabidhi jukumu la ulinzi wa Bandari ya Dsm kwa JWTZ, na kuwa tayari vijana hao wazalendo wamekalia maeneo nyeti. Plz, kwa yeyote aliyekaribu na maeneo hayo au chanzo huru kinachoweza...
 7. Kamarada

  Watanzania wa Addis Ababa

  A salaam Aleykhum wanaJF wote. Please, kwa mlioko katika jiji tajwa, ni mitaa gani, hotels or so tunapata chakula ya Kitanzania Original? Natanguliza shukrani za dhati kwenu wote. :wave: Kamarada.
 8. Kamarada

  Msaada kwa tuta: Nyumbani ni Nyumbani bana....!

  Heshima zenyo bana wa JF wote na popote mlipo..! Nitafurahi kuonana na M-tz yeyote aliyeko Waikiki Honolulu - HI au maeneo yakaribu kisiwani hapa. Mie nipo Aston Waikiki na nitaedea kuwepo hapa kwa muda kwa shughuli za kitaaluma. Lengo ni kufahamina, kuzungumza Kiswahili kidogo na kuelimishana...
 9. Kamarada

  Vituo vinavyolea watoto yatima eneo la Dsm

  Salaam wana JF wote..! Wapendwa, kunakiundi cha rafiki zangu 15 toka Amerika na Kanada wapo hapa Tz kwa shughu za kikazi, hata hivyo wanapenda kutumia uwepo wao hapa Dsm kutoa saada kwa wtoto wenye kuhitaji/yatima waliopo ktk kituo rasmi kinacho tambulika. Plz, mwenyekujua jina la kituo...
 10. Kamarada

  Msaada: Hali ya Barabara Dsm - Kibiti - Lindi - Mingoyo - Masai - Nachingwea

  Hi Wana JF wote..! Heri ya Sikukuu ya Chrismas na Mwaka mupya wa 2014. Nataka kwenda kusalimia Wazaa chema, ndugu na jamaa nikipita route niliyoitaja hapo juu. Mungu akijaalia, nitasafiri on 30 Dec 2013, nataka kutumia gari dogo Toyota Spacio or Forester Subaru. Kwa wadau mliopita route hiyo...
 11. Kamarada

  Gharama za kuingiza gari Dsm.

  Wapenzi wana JF Salaam, Nataka kununua gari fm Japan, Mitsubish Canter (Dump) ya 1998 kwa USD. 9,500 (CFI). Plz naomba kufahamishwa mchanganuo wa gharama za kulipa Bandarini wakati wa kutoa gari hadi liwe kwa barabara ili niweze kujiandaa kwa mchakato huo. Natanguliza shukrani za dhati...
 12. Kamarada

  Gharama za kuingiza gari Dsm.

  Wapenzi wana JF Salaam, Nataka kununua gari fm Japan, Mitsubish Canter (Dump) ya 1998 kwa USD. 9,500 (CFI). Plz naomba kufahamishwa mchanganuo wa gharama za kulipa Bandarini wakati wa kutoa gari hadi liwe kwa barabara ili niweze kujiandaa kwa mchakato huo. Natanguliza shukrani za dhati sana!!!
 13. Kamarada

  Msaada kwa tuta: Gharama za kuweka solar power

  Hi wanafamily wa JF!! Plz, nataka kuweka Umeme wa jua kwa kibanda yangu, loc- Mbezi Temboni Dsm, iwe na uwezo wa kuwasha bulb za wts 40 or less idadi 8, kucharge simu, kutumia Laptop and if possible kuwasha ka-fridge kadogooo. Plz, wataalam Techn hii naomba mnipe estimate ya gharama ya kazi...
 14. Kamarada

  Gharama za Kuingiza gari TZ

  :bump: Salaam kwenu waungwana wote! Nafikiria kununua Ki-gari to JPN in Apr 2011, Plz naomba kufahamishwa gharama nitakazo paswa kuzilipa hadi linakuwa kwa barabara, bila gharama ya kununua na kusafirisha to Dsm Port! ie. gharama za bandari, VAT, TRA, nk. If ombi kama hili limewahi...
 15. Kamarada

  Mwongozo tafadhali: Kwa wakubwa tu!

  :bump: Waungwana wa JF, plz nipeni mwongozo wa ku-access jukwaa la wakubwa.Lengo: Nataka kupost mada "Privacy" ili nipate ushauri wa haraka. Thanx kwa kunisoma.
Top Bottom