Search results

 1. lodirofaa

  Hivi wabongo hatua hi tutafika lini

  Kwa maproducer wa bongo sizani Kama sikumoja wataweza kufanya angalau kitu Kama hii
 2. lodirofaa

  Ni vipi naweza kupata kazi Japan?

  Habari wakuu, Nilisikia Japan wanahitaji watu wenyeujuzi LAKINI mfumo umekaaje sijajua kwa anayefahamu. Nahitaji muongozo na Mimi nikapambane Mimi ni welder/fitter.
 3. lodirofaa

  Tanzania ni nchi rahisi kuiongoza

  Najua unanishangaa kusema hivi Kiukweli watanzania Ni watu wa ajabu hali inayopelekea kuwa Ni rahisi Sana kuwaongoza Miezi kadhaa nyuma watu walikuwa wanalalamika kuhusu vifurushi kuishi bila kutumika na kupangiwa muda wa matumizi CCM walichokifanya wakaongeza zaidi ya mlipokuwa...
 4. lodirofaa

  Ukweli Kuhusu usemaji wa Haji Manara

  Kuna hi kauli mtaani huna tena msemaji atakaekuja Kama haji manara Simba wengine wanasema Simba haitafanikiwa kwakuwa haji hayupo Tuanze hapa hivi chukua mashabiki Mia wa real Madrid alafu waulize wanamjua msemaji wa timu yao? Sizani Kama Kuna anaemjua kma wapo wachache LAKINI timu haifanikiwi...
 5. lodirofaa

  Usiyoyajua kuhusu mji wa Songea

  Mji wa songea upo mkoani Ruvuma ndiyo manispaa pekee iliyopo katika mkoa wa Ruvuma Huu mji bhana ukiwa meajiriwa unakufaa kuishi na hutopata tabu Ila ukiwa mtafutaji wa kilasiku songea ni ngumu Kma unalipwa mshahara mfano 300000 Songea usipojenga wewe mzembe sahani ya wali inaanzia 500 na...
 6. lodirofaa

  #COVID19 Je, ukipata chanjo ya Corona ukitaka kusafiri unapima tena?

  Wakuu nilikuwa nahitaji ufafanuzi je ukipata chanjo ya Corona ukitaka kusafiri unatakiwa upime tena?
 7. lodirofaa

  Msaada kuhusu majukumu ya fitter kwenye meli

  Wakuu nimepata ajira kwenye meli katika maelezo yangu nimejitambulisha Kama fitter maan walikuwa wanahitaji zaidi fitter but Mimi nimesomea welding and metal fabrication Nia yangu nijue kwenye meli fitter huwa na shughuli gani maana Mimi chuma naweza kukata naweza kuki fabricate pia naweza...
 8. lodirofaa

  Je, ni kweli mabaharia wenye seaman book wanasafiri bila Visa?

  Ndugu zangu nilikuwa nahitaji kufahamu je ni kweli wale mabaharia wanaomiliki seaman book huwa wanaingia nchi yoyote bila visa? Nia yangu nijue.
 9. lodirofaa

  Naomba ufafanuzi kuhusu Kozi ya Ubaharia

  Natumai wote ni wazima, Nia yangu kubwa ni kufahamu je kuna kozi za ubaharia za mda mfupi? Je gharama zake zikoje? Ninandoto ya kuwa baharia lakini mazingira yangu yananibana ndyomaana nikatamani kujua endapo kunakozi za mda mfupi. Natumai nitapata majibu.
Top Bottom