Search results

 1. ChamasonMorisonBwalyason

  Naomba ufafanuzi wa namna ya kupata namba ya NACTE

  Habari ya mchana wapambanaji wenzangu, Husika na kichwa cha habari hapo juu naomba msaada namba ya NACTE nimejaribu kufanya malipo ya transcript ila najaribu kuingia kwenye website yao ni request transcript nashindwa nimejaribu kutumia namba ya mtihan ya chuo pia inakataa. Msaada tafadhali
 2. ChamasonMorisonBwalyason

  Kitu gani spesho kipo kwenye pijo 504?

  Kuna wimbo wa Esir - leo ni leo kuna mstari alikuwa analisifia hili gari je lilikuwa na vitu gani spesho? Cc RRONDO na watalaam wengine wa magari pamoja na wadau wa mziki wa zamani kushuka 2010
 3. ChamasonMorisonBwalyason

  Yuko Wapi Mr Paul?

  Huyu jamaa alitamba sana enzi 2007 kushuka chini mfano kibao cha Zuwena Je, yuko wapi sasa hivi?
 4. ChamasonMorisonBwalyason

  Yuko Wapi Estam?

  Huyu jamaa nakumbuka nikiwa shule olevel mwaka 2009 alitesa sana na hiki kibao chake cha Sikiliza wimbo aliomshirikisha Makamua Enzi hizo nilikuwa napenda kuisikiliza Kiss Fm....enzi za dj maliz Nawasilisha
 5. ChamasonMorisonBwalyason

  Haka kaugonjwa vipi

  Habari za jumapili ndugu zangu na wikiendi kwa ujumla Nije kwenye mada, Nasumbuliwa na mafua wiki sasa mchana naweza nikashinda vizuri na nikaendelea na kazi zangu vizuri tu ila ikifika usiku wakati wa kulala Hali inabdalika Sana inatokea Hali mpaka pua moja inaziba napumua kwa shida Sana...
Top Bottom