Search results

 1. Countrywide

  AIBU: Wachungaji KKKT wampinga Dk Shoo

  Shoo anajifanyaga anapenda sana haki kumbe uozo mtupu. Muangalie sana kwa makini mtu anayejifanya anapenda sana kusema neno haki.
 2. Countrywide

  Ni Mwambe au Kikwete yupi muongo kuhusu mkataba wa Bagamoyo?

  Unaijua trillion? Burigi national park?national park toka lini ikajengwa? Chato stadium? Hizi story huwa mnazitoa wapi? Chato port? Hata huko chato.unapajua kweli?
 3. Countrywide

  Bandari ya Bagamoyo: Waziri Mwambe asema Wachina walisema Dar hadi Pangani, na sio Mtwara hadi Tanga

  Sheria haziruhusu, Kuna vifungo vya kutodisclose mkataba
 4. Countrywide

  Ni Mwambe au Kikwete yupi muongo kuhusu mkataba wa Bagamoyo?

  Mradi gani uliojengwa kwa matrillion chato? Tafadhali naomba unitajie
 5. Countrywide

  Ukate miti milioni mbili halafu umuombe Mungu akuletee mvua? Serious?

  Kipindi Cha JK tulikua na mgao wa umeme na maji, ilikatwa miti mingapi?
 6. Countrywide

  Bandari ya Bagamoyo: Waziri Mwambe asema Wachina walisema Dar hadi Pangani, na sio Mtwara hadi Tanga

  SERIKALI YAMKANA HAYATI MAGUFULI Waziri Mwambe amesema haya ''Kuna jambo niliweke sawa ilisemwa kuwa wachina walisema kusiendelezwe bandari yoyote kutoka Mtwara hadi Tanga,sio kweli. Hayo maneno sijui yalitoka wapi, kilichosemwa ni kwamba kuanzia Dar es Salaam hadi Pangani kusiendelezwe...
 7. Countrywide

  Hawa wanafaa kuandaliwa kwa ajili ya Urais 2040, siyo dhambi tuwajenge tufaidike

  Nyie watu sijui mna matatizo ya akili, hao vijana mbona wapo vizuri sana? Mnataka mtu wa aina gani?
 8. Countrywide

  Hawa wanafaa kuandaliwa kwa ajili ya Urais 2040, siyo dhambi tuwajenge tufaidike

  Hawa vijana hawana chembe ya huo upigaji. Naamini Wana mapungufu Ila wapewe nafasi waandaliwe vizuri
 9. Countrywide

  Hawa wanafaa kuandaliwa kwa ajili ya Urais 2040, siyo dhambi tuwajenge tufaidike

  Moja ya sababu kubwa ya nchi nyingi kutoendelea ni kutoandaa viongozi kwa ajili ya vizazi vijavyo na vijavyo. Leo Mimi countrywide msomi ninatoa maoni yangu kuhusu kuandaa watu Hawa kwa ajili ya uraisi 2040. Ningeweza kusema 2030 lakini naona ni karibu sana kiasi ambacho itakua sio Tena...
Top Bottom