Search results

 1. T

  Fao la Urithi Kwa aliyefariki chini ya 55

  Naomba kuelimishwa . Nimecheck website ya NSSF, nikaona fao la Urithi linahusu wale wategemezi wa mwanachama wa NSsF ayechangia miaka15 au yuko kwenye fao la ulemavu, pia awe amefikia angalao miaka 55 Je? Kama s mwanachama kuchangia miaka ,mfano 9 (miezi108) akafariki akiwa na umri wa miaka...
 2. T

  Penalty ya sh 30,000/= zinazokusanywa barabarani bila Risiti

  Wadau Leo asubuhi maeneo ya Victoria nimekamatwa na traffic kwa kuvunja sheria ya barabarani. Kwa kuwa sitoi ruswa nilimuomba aniandikie adhabu niilipe , kweli akafanya hivyo akaniomba nimpe 30,000/= nikampa ,nikasubiria risiti akaniambia hawatoi risiti wao. Nikastuka , nikamwabia nimuachie...
 3. T

  A specilized tutorial for dyslexia kid is needed

  I have a nephew at 5 and 1/2 yrs old , at this age he neither speaks nor writes even those simple words that his peer can do. His school management have told us that they don't need him any longer at their school. I have read about dyslexia, i'm confident he has that dysfunction He can...
 4. T

  Kupunguzwa kwa paye

  Wana JF, the Great thinkers heshima Kwenu Siku ya MEI MOSI, Mheshimiwa Rais aliahidi kutupunguzia mzigo wa kodi na Nyongeza ya Kima cha chini cha mshahara, Kwamba mabadiliko hayo yangeelezwa kwa kinagaubaga. Katika hotuba za mawazi wa Fedha na Kazi Nimesubiri kwa hamu hotuba za mawazili...
 5. T

  Thi kupigwa vita ,je ni kwa maslahi binafsi

  Leo nimepita Mbele ya Hospitali ya Taasisi ya magonjwa ya Moyo(THI) , nimekuta bango kubwa kwamba imefungwa. Hii taasisi ya THI imekuwa ikipigwa vita tangu ilipoanzishwa . Swali kwa JF , je ? sio kwamba inapigwa vita ili watu wa wizarani waendelee na mavuno yao katika kupeleka wagonjwa India ?
 6. T

  Tume huru ya uchaguzi ,iundweje ?

  Wadau Natambua umuhimu wa Tume huru , lakini sijafahamu mambo haya labda ninaweza kupata mawazo yenu: 1. Ni namna gani unaweza fanya Chama Tawala kisiwe na influence kwa Tume ya Uchaguzi? kwa kuwa ukisema bunge Ndo liunde tume na tume iwajike kwalo, basi Bunge lina wabunge wengi wa CCM...
 7. T

  Kikwete's cabinet , has rostam,lowasa and co won anything ?

  kumekuwapo na dhana kwamba RA ndo anyeongoza Nchi kwa ushawishi wake mkubwa kwa kikwete , ndani ya CCM's CC NEC na CCM - NEC yenyewe .Je kuna chochote walichopata/walichoshinda kuhusiaana na baraza hili lilotangazwa na kikwete hivi majuzi ambacho kinawasaidia katika mpango wa kumuweka mtu wao...
 8. T

  Cabinet mpya: Wananchi kuumia na inflation kwa kurudishwa Mkulo

  Kwa kipindi cha Miaka mitano iliyopita, serikali ya JK ilishindwa kuudhibiti mfumuko wa bei kabisa kwa mfano , katika zili bidhaa muhimu kila siku kwa maisha ya Mtanzania wa kawaida zimepanda toka 2005 hadi 2010 kama ifuatavyo: kodi ya chumba chenye umeme na dari : 20,000/= to 50,000/= Gunia...
 9. T

  Mafuru wa VodaCom kuwa CEO mpya wa TTCL?

  Wana JF kuna hizi tetesi mwenye data kamili atuthibitishie
 10. T

  Elections 2010 Kutoruhusiwa mgombea binafi : Rais na wabunge wanawajibika kwa chama na si wapigakura

  Habari WanaJF Nimeangalia wajumbe wa CC CCM na kugundua kwamba imejaa mafisadi Na hiki ndicho chombo chenye influency katika hicho chama .Kwa maana hiyo hata Rais au Mbunge kama anaenda kinyume na Mataka ya organ yenye nguvu katika chama husika atakuwa anahatarisha nafsi yake . Mfano Mzuri...
 11. T

  Vipau mbele vya kikwete ktk uteuzi wa cabinet

  Hivi ndivyo majadiliano kati ya Kikwete, Bilali na Waziri Mkuu yatakavyokuwa wakipanga cabinet : Kikwete : Safari hii Bwana tunaunda baraza lenye Mawaziri Hamsini, na manaibu 100 Waziri Mkuu: Haaa kwa nini Mkuu ? Bilali : Hilo kubwa sana mbona ? Kikwete : Nina washikaji...
 12. T

  Why I voted Slaa, reasons that mafisadi don't see

  MWAKA 2005 sukari 600/=,Mwaka 2010 ni 1800/=, hivyo 2015 itakuwa 5,400/= MWAKA 2005 Mkaa gunia 10,000/=,Mwaka 2010 ni 35,000/=, hivyo 2015 itakuwa 105,000 MWAKA 2005 Mchele 600/=,Mwaka 2010 ni 1500, hivyo 2015 itakuwa 4400 MWAKA 2005 Kodi vyumba (2) 40,000/=,Mwaka 2010 ni 100,000, hivyo...
 13. T

  Elections 2010 Ucheleweshaji matokeo ya uchaguzi 2010 - mkuu wa it afukuzwe

  Hii system inayotumika , inaleta shida huyu mkuu wa IT hakufanya kazi yake vizuri Napendekeza afukuzwe kazi mara moja
 14. T

  Elections 2010 Tunataka matokeo ya kwae upesi with 1 hour viginevyo...

  Tutangazie halima wetu kashinda ,ama sivyo yatatokea ya shy
 15. T

  Elections 2010 Uzembe wa mawakala kuwaponza wapinzani

  Habari Nimetoka kumuua kikwete kweny ballot box Kulikuwepo mawakala wawili tu , CUF na CCM sijawaona wengine hii ni soo
 16. T

  Ujambazi wa ngombe kwa silaha wazuka upya tarime (watatu wauawa)

  Habari zilizonifikia hivi leo ni kwamba majambazi yenye silaha yamevamia kijiji cha Magena huko wilayani Tarime na kupora ng'ombe huku wakiua wanakijiji watatu waliokuwa wakijaribu kupambamba nao
 17. T

  Mtoto wa mkulima ananyimwa mkopo wa fisadi anasoma katika chuo bora US!

  Jamani nimeona katika media jana picha hii kwamba mmoja wa mabinti hao ni mtoto wa fisadi fulani ,nikasononeka sana yaani watoto wa wakulima hapa wananyimwa mikopo na wale wa wezi wa pesa za wakulima wanatumia pesa hizo za wizi kusomesha watoto wao katika vyuo ghali kabisa duniani!!! Je...
 18. T

  Contraceptives

  Jamani naombeni ushauri kutoka kwa wanajamii ,ni ipi ni best contraceptive ?
 19. T

  NISAIDIENI KUPA kitabu Strategic marketing by Cravens et al (2005-2006)

  Jamii nisaidieni nakihitaji sana
Top Bottom