Search results

 1. M

  Zitto awasilisha hoja binafsi juu ya walioficha fedha Uswiss

  Mwenye ushahidi hawezi kuruka ruka kimanga hivi. Huyo ndo antaka umma umuamini katika mengine.
 2. M

  Zitto awasilisha hoja binafsi juu ya walioficha fedha Uswiss

  Hiyo matrix ya matukio ya ZZK hapo juu na kile ambacho Jaji Werema laikieleza pale Bungeni kinathibitisha kwamba mwanasiasa huyu kijana ambaye huko nyuma alionekana ni msomi, makini na mwenye kutoa hoja zenye mashiko ni mtu asiye mkweli wala mwenye kuaminika. Amedhihirisha kwamba ukimuona...
 3. M

  Lowassa: Utajiri wangu usitumike kwa lengo la kuchafuana katika siasa, ndugu zangu aliyepata amepata

  Labda sijakuelewa lakini nafikiri suala la uwezo wa mgombea kiuchumi na jinsi alivyopata ni muhimu kama uadilifu wa mgombea bado ni sifa ya uongozi. Kama mgombea fulani anasemekana kutajirika kwa muda mfupi au mrefu lakini katika utumishi wa umma anao wajibu wa kuuridhisha umma anouomba ridhaa...
 4. M

  Elections 2015 Baada ya Pinda kutangaza nia, Membe afunguka

  Hate him but the truth is, this is one of the best interviews to have ever been staged by those who are said to aspire for the high office. Kudos Membe for being candid and factual.
 5. M

  Membe ahaha kutaka kuhamia kambi ya Lowassa

  This is very cheap! Hivi huna la kuandika mpaka unaamua kujivua nguo hadharani. Is this a retirement of imprest? This can only be possible if you imagine that God can sit and dine with a devil. It is clear kwamba Membe ni mwiba katika kambi hii na ndiyo maana haishi midomoni mwao. psubirini...
 6. M

  Mufti Simba angaka - Azuia misikiti kubeba wanasiasa

  Mwenye masikio na asikie. Kinachoendelea sasa hivi ni majanga,
 7. M

  Swali kwa Mheshimiwa Membe kuhusiana na Sakata la Gesi Mtwara

  hivi mara ngapi tumesikia migogoro kule mererani na hivi karibuni kule ngorongoro na bado haijapata ufumbuzi. Mbona hakuna aliyedai Lowassa, 'kipenzi cha watanzania na mzee wa maamuzi magumu' aende kule akasuluhishe? Haupendi urais. Kwa kukaa kimya sifa yake ya urais imetoweka? Kweli hawa ndo...
 8. M

  Swali kwa Mheshimiwa Membe kuhusiana na Sakata la Gesi Mtwara

  Nchi ya ajabu sana hii. Wanalia fedha zile kutochukuliwa na wahindi wenye uraia wa nchi mbili na ambao wangekwenda kuzificha India na Canada, badala ya kujenga kiwanda kitakachoinua uchumi wa nchi wa kuzalisha ajira, kuchangia kodi na kuchochea biashara! Sasa kiwanda kimeanza kujengwa wamebaki...
 9. M

  Swali kwa Mheshimiwa Membe kuhusiana na Sakata la Gesi Mtwara

  Ijapokuwa swali la k.i.p.u.m.b.a.v.u hupewa jibu la k.i.p.u.m.b.a.v.u lakini naomba nikueleze hivi: 1. Suala la Mtwara si la usuluhishaji wa mgogoro maana kilichopo pale ni wananchi wachache kupotoshwa na wengine kwa maslahi mapana ya kisiasa huku ikifahamika kwamba hakuna namna ambayo gesi ile...
 10. M

  Kwa kosa hili, Lowassa huji kuiona Ikulu

  Nilinena huko nyuma na ningependa kurudia tena kwa manufaa ya wana JF wapya. "WE MAY NOT KNOW WHO WILL BE OUR NEXT PRESIDENT BUT WE KNOW WHO WILL NOT BE, IT IS EDWARD NGOYAI LOWASSA". Endeleeni kuongea mtakavyo lakini ukweli ndiyo huo!
 11. M

  Membe kugombea urais mwaka 2015 iwapo...

  Ukitaka uchokoze hasira na BP za mzee Mtei lete ushindani katika siasa cha uchaguzi ndani ya Chadema. Nafasi ya urais ni ya kaskazini kuanzia 2005 mpaka atakapoondoka duniani.
 12. M

  Sherehe za Muungano: Kikwete amkwepa Lowassa?

  Hebu tuondolee hiyo takataka iliyokataa shule. Kwa wehu wake, anachostahili Lema ni kitanda mirembe
 13. M

  Lowassa afunika Iringa

  this is a ----. Watu walishaandaliwa halafu unakaa kusifia mapokezi ambayo yaliandaliwa kwa fedha. Inanikumbusha ndugu yangu ambaye aliazimia kufanya biashara ya mitumba na akanunua 'balo' moja na akaanza 'kuliuza' kwa kujipangia bei zake mwenyewe na akalzinunua nguo zote yeye mwenyewe na baadae...
 14. M

  Tathmini ya Chaguzi za CCM (Kizota, Dodoma 2012)

  Kaka hizi ni sindano za moto na zimewachoma vilivyo, ndo maana wanafura kwa hasira na kupambana na mtu badala ya hoja. Hakika umepiga ikulu na sasa naweza kuona kwamba Ted Rushwa amezungukwa na novices wa siasa na ambao wamegeuza jamaa kuwa ATM. Sasa kwa lineup ya Sekretarieti jamaa ndo...
 15. M

  Taarifa Fupi kuhusu Kazi za Maendeleo Jimboni Ubungo (AMUA)

  Wenzio wa Bonyokwa hawataki hata kukuona. Kiswigo humu kalalamika mpaka kakaukiwa na sauti. Mbunge wewe siyo msikivu.
 16. M

  Mahojiano ya Mohamed Abdulraman wa Redio ya Ujerumani na Edward Lowassa

  Lakini huyu Mwandishi wa DW ni mchokozi sana. Huyu mtu ana majeraha mengi sana sasa wanamchokoza kumhoji wakati hata matanga hajaanua si ni kutafuta matatizo huku jamani? Badala ya kuwahoji Mangula na Kinana ili wapate mikakati ya chama kuelekea 2015 wao wanahangaika na mtu aliye msibani. Hii...
 17. M

  New CCM national headquarters and convention centre

  Acha wivu. Na nyie si mnajengewa na Sabodo?
 18. M

  Anguko la Mahanga kwenye NEC ni ushahidi tosha

  Jamaa chaguzi zote amekuwa akishinda kwa fedha toka mwaka 2000 alipowaburuta Mzee Rupia na Marehemu Dito. Lakini kwa hakika watu wamemchoka tena maeneo yetu ya Tabata Mawenzi ndiyo kabisaaa!
 19. M

  Hawa ndio washindi kuingia NEC ya CCM kwa uchaguzi wa Nov 11, 2012

  Mfa maji haishi kutapatapa. Wenzio wanadai wamesalitiwa wewe unaleta wehu! Kweli hili limewaumiza sana maana sasa inakuja habari hii yenye makengeza kuhusu dola milioni 100, kutoka wapi? Hao unaowaita majembe tunawakubali lakini hapa hatujadili urais, tunajadili mlivyogaragazwa leo pamoja na...
 20. M

  Hawa ndio washindi kuingia NEC ya CCM kwa uchaguzi wa Nov 11, 2012

  First things first. Tunajadili uchaguzi wa NEC ambao watu waliwekeza mabilioni kumkwamisha Membe na matokeo yake ni aibu. Viapo vyote vimewatokea puani wasijue kwamba uchaguzi ni sayansi ambayo watu wana taaluma nayo. Hizo speculation zako kuhusu 2015 hazina nafasi hapa maana msingi wa kudhani...
Top Bottom