Search results

 1. N

  Magufuli fika na uwanja wa Taifa

  Fika uwaulize mapato ya uwanja huo na kwanini mfumo wa kukatia tiketi uliowekwa na crdb kwa milions ulikufa. Waulize pia crdb watarudishaje fedha hiyo iliyopotea
 2. N

  Mapambano dhidi ya Ufisadi

  Nimekuwa nikitafakari kwa kina na kujiwa na wazo kuwa uchaguzi uliopita ulikuwa na agenda nyingine maalum ya kuhakikisha wapinga Ufisadi Mara Hii hawaingii bungeni. It was deliberate. Tazama Filikunjombe is no more. Sendeka, Kafulila, Kilango, Lembeli, Mtemvu, Wenje, Baruani, Mkosamali na...
 3. N

  Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya Kilolo aihama CCM na kujiunga CHADEMA

  Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) wilaya ya Kilolo, mkoani Iringa, Sifuni Makongwa leo ametangaza kukihama Chama cha Mapinduzi (CCM) na kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Pamoja na Makongwa mwingine aliyejitoa katika chama hicho na kujiunga na...
 4. N

  Iringa inarindima. Malofa Katika boar wao

  Hii ni HATARI Ndugu zangu. Stay tuned picha zaja
 5. N

  TANESCO ni mdudu hatari kwa maendeleo yetu

  Hatuna hakika Kama viongozi wetu wanafahamu Kuwa shirika hili la umma limekuwa kero kwa wananchi hasa wateja wake. Hivi unawezaje kuchukua fedha ya mteja Halafu ukamwambia utampatia huduma baada ya mwezi Mmoja kupita. Wananchi wanalipia kwa lengo la kufungiwa umeme, wengine zaidi ya shillingi...
 6. N

  Kesi ya Mwangosi: Mwandishi atiwa nguvuni Iringa

  February 13, 2014 Yametimia polisi wamemakamata mwenyekiti wa chama cha waandishi wa habari mkoa wa Iringa (IPC) Frank Leonard (kushoto) ambae ni mwandishi wa magazeti ya serikali wakimtuhumu kupiga picha mahakamani ,hadi sasa amewekwa chini ya ulinzi wa polisi huku kesi ya...
 7. N

  Hamad Rashid alivuliwa uongozi CUF ilikufa?

  Hamad Rashid alivuliwa uongozi na baadhi wakakimbilia ADC lakini CUF ipo. Mrema, Wasira na wengine walihama NCCR lakini chama kipo. Fatma Maghimbi, Tambwe Hiza walikimbia CUF lakini chama kipo. Kafulira alitaka kutimuliwa nccr angeacha chama kinaendelea. Shibuda katimkia chadema lakini ccm ipo...
 8. N

  Baada ya Strabag kuuzwa

  hivi itachukua miaka mingapi kumaliza ujenzi wa barabara ya kimara jangwani. Mvua zinakaribia na hakuna anaeonekana kujali. mpo watu wanauziana kazi mmekaa kimya. Kidumu cha cha Mapinduzi
 9. N

  CCM Temeke si salama

  Kulingana na taarifa zilizorushwa na ITV CCM Temeke kuna matatizo. Mjumbe wa Mkutano wa wazazi kakunjwa shati kisa kadai serikali imevunja nyumba yake bila kumlipa fidia. Lakini pia kila mchangiaji kwenye mkutano huo amelaumu makundi ndani ya Chama na kwamba ipo hatari ya kupoteza wanachama...
 10. N

  Hotuba ya Rais wa Tanzania kuhusu mustakabali wa EAC

  Tuna imani kuwa jana mlisikiliza hotuba ya Rais wa Tanzania kuhusu mustakabali wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki. Rais ameweka msimamo wazi kuwa Tanzania haina nia ya kujitoa kwenye Jumuiya hiyo pamoja na kuwa marais wa Kenya, Uganda na Rwanda wamekuwa wakiingilia masuala yaliyoridhiwa na nchi...
 11. N

  Serikali inatia aibu

  Serikali inatia aibu. Mizani moja kibaha ni mbovu. Malori yameziba njia toka asubuhi hakuna kuingia wala kutoka dar. Kichekesho ni kwamba kuna askari wa usalama barabarani wengi lakini wote wamesima wanaangalia tu. Hakuna anaye ajali. Tumejaribu kumpata magufuli kazima simu. Nchimbi naye kazima...
 12. N

  Michezo na siasa Tanzania: TFF mpo kweli?

  Taarifa zilizotufikia kutoka kwa wadau ni kuwa mhe. Waziri mwenye dhamana ya michezo ameagiza TFF ifanye uchaguzi kwa kutumia katiba ya 2006. Tunachokiona; siasa ikiingilia michezo FIFA itatufungia. Maana yake ni kwamba timu zetu hazitashiriki mashindano ya kimataifa ya mpira wa miguu. Tusubiri...
 13. N

  Michezo na siasa tanzania

  Taarifa zilizotufikia kutoka kwa wadau ni kuwa mhe. Waziri mwenye dhamana ya michezo ameagiza tff ifanye uchaguzi kwa kutumia katiba ya 2006. Tunachokiona; siasa ikiingilia michezo fifa itatufungia. Maana yake ni kwamba timu zetu hazitashiriki mashindano ya kimataifa ya mpira wa miguu. Tusubiri...
 14. N

  Hivi tunakwenda wapi?

  Majuzi tuliona spika na naibu wake wakifinyanga haki bungeni na wakatakiwa kujiuzulu. Mara yakaanza mauaji yanayohusiana na sababu za kidini tukataka waziri wa mambo ya ndani ajiuzulu. Haukupita muda waziri wa maji naye akatakiwa kujiuzulu kwasababu haiingii akilini miaka 50 watu hata wa jiji...
 15. N

  Tume ya katiba mpya imechoka kazi?

  Ndugu Watanzania na ndugu wana jamvi Tume yetu ya katiba imeanza kupoteza mwelekeo. Hivi majuzi Tume ameandika barua kwenye wizara na Taasisi za serikali ikitaka Wakuu wa Taaisisi hizo wasaidie kukusanya maoni ya watumishi sehemu za kazi.Hivi maoni yatakayokusanywa na waajiri yatakuwa ya aina...
 16. N

  Tume yakatiba mpya imechoka kazi?

  Ndugu Watanzania na ndugu wana jamvi Tume yetu ya katiba imeanza kupoteza mwelekeo. Hivi majuzi Tume ameandika barua kwenye wizara na Taasisi za serikali ikitaka Wakuu wa Taaisisi hizo wasaidie kukusanya maoni ya watumishi sehemu za kazi.Hivi maoni yatakayokusanywa na waajiri yatakuwa ya aina...
 17. N

  Naibu spika wa bunge wa zamani afariki dunia

  JUNE 5, 2012NAIBU SPIKA WA BUNGE WA ZAMANI AFARIKI DUNIA ALIYEKUWA MBUNGE WA LUDEWA, MZEE MATHIAS KIHAULE AMEFARIKI JANA SAA TISA NA NUSU ALASIRI, KATIKA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI, AMBAKO ALIKUWA AMELAZWA KUTOKANA NA MARADHI YA UGONJWA WA MOYO. MZEE KIHAULE ALIKUWA NI MBUNGE WA LUDEWA...
 18. N

  Kwa mtindo huu watalia wengi

  KUNA NINI TANZANIA? Kila mtu analia. Hivi tutaendelea kulia hadi lini?
 19. N

  Kwa Mbowe, Zitto Kabwe na Filikunjombe

  Tunawaomba siku hizi mbili kabla bunge halijaahirishwa pitieni mgao wa bajeti za mikoa na halmashauri za wilaya. Mnaweza kutumia mfano wa vitabu vyenu vya mikoa. Kimsingi kwa mwaka ujao wa fedha serikali haitaweza kabisa kutoa huduma kwa wananchi hata kwa mwezi mmoja. Tumeongeza ukubwa wa...
 20. N

  Jicho magazetini star tv leo asb

  Hakuna haja kupinda maneno ccm imetuangusha arumeru. Hasa wapiga kampeni wake. Waliacha mambo ya msingi wakaingilia matusi. Angalia pia pale kirumba mwanza jinsi waziri alivyokuwa akikata mauno hadharani. Total comedians kama asemavyo rioba. Wakaingilia hata maisha binafsi ya familia ya mwalimu...
Top Bottom