Search results

 1. T

  CCM mlikosea, kubalini tuanze Upya

  Kuna mambo ambayo Serikali na Bunge ambavyo kwa asilimia kubwa kumejaa wanachama wa CCM, yalikosewa na sio mbaya kukubali, kuomba Radhi na kuanza upya. Mfano: 1. Kupitisha sheria ya tozo kubwa za miamala ya simu kwa kisingizio cha makusanyo Bila kufikiria kwamba wengi wataachana na miamala na...
 2. T

  Wasafi Media Group Ltd na Wasafi Ltd ni kampuni tofauti

  Wasafi Media Group Ltd ndio wamiliki wa Wasafi Radio na Wasafi TV na mmiliki mkuu wa hisa (majority shareholder) ni familia ya Kusaga. LAKINI, Wasafi Limited inamiliki wasanii wa muziki Vanny, Lava Lava na Mbosso na wamiliki wakuu wa hisa ni Diamond na Bi Sandra, kama geresha tu, na nyuma ya...
 3. T

  Chain Of Command: Dkt. Mpango hajui mipaka yake

  Tangu ateuliwe Kama Makamu wa Rais Dr. Mpango amekuwa akitoa kauli za Kiutendaji bila kujali Mipaka ya Majukumu yake. Mara ya Kwanza alisikika akimuagiza Waziri wa Fedha akusanye Tilioni 2. Bila kujua kwamba Mamlaka hayo ni ya Rais kwenda kwa Waziri wa Fedha kisha Kamishna Mkuu TRA. Pili...
 4. T

  Foleni Korogwe, Kimara na Kibaha

  Bado tatizo la Foleni lipo maeneo ya Korogwe, Kimara, Picha ya ndege na kwa Mathias Kibaha. Wahusika fanyeni jitihada za haraka na makusudi kuondoa kero hii.
 5. T

  Wanaume pesa, wanawake sex

  Mwanamke hupenda pesa zaidi, wakati wanaume huhitaji sex zaidi. Ikitokea mwanaume amemuomba haraka sex mwanamke ataambiwa ni mapema sana. Lakini wakati huo huo Wanawake huomba hela haraka haraka kabla ya kutoa show. Hii ni hakika kwamba wanaume tunahitaji kutafuta pesa zaidi ili tupate sex toka...
 6. T

  Tukifuata vigezo vya ubora, kuna wanamziki hawawezi shinda tuzo

  Kama vigezo hivi vigizingatiwa kuna wana mziki watakosa tuzo kabisa. 1. Ujumbe bora 2. Maadili mema 3. Mpangilio wa mashairi 4. Sauti kwenye ufunguo (key) wa mziki 5. Mpangilio wa ala za mziki na mdundo 6. Kutawala jukwaa (live performance) 7. Uwezo wa kubadili staili ya mziki na ubora kubaki...
 7. T

  Kiongozi wa Chaso (CHADEMA) UDOM aachiwa huru

  Hivi unaanzaje kumshikilia mtu kwa tuhuma za kuwashawishi watu kujiunga na chama chake cha siasa? Kumbuka hajalazimisha, ila ameshawishi. Au kwa sababu ni chama cha upinzani (Chadema) na sio chama tawala (CCM). Kumbuka ipo siku CCM kitakuwa chama cha upinzani pia. Haijalishi ni lini, lakini...
 8. T

  ATCL itafufuliwa kwa kuipa Ndege pekee?

  ATCL Itafufuliwa kwa kuijengea uwezo wa kiutendaji ili iweze kujiendesha kwa faida. Iwe na uwezo wa kukopa na kurejesha kutokana na mapato yake yenyewe. Imilikiwe na wananchi/wawekezaji na serikali iwe na hisa. Ndege ni mojawapo ya vitendea kazi vya ATCL lakini haimiliki ndege, ila inapewa...
 9. T

  Kasoro: Mkuu anatembea, Mtendaji anatembea, viranja wamekaa

  Mkuu na mtendaji wote wako barabarani wakitembea. Cha ajabu Viranja husika wamekaa wametulia, wamekuwa wapenzi watazamaji. Wapo kama hawapo. Na wakiwepo wanapokea amri na maelekezo hadharani. Hii inaonesha muunganiko wa ndani wa kiuongozi na kiutendaji una kasoro. Japo tunaaminishwa ni...
 10. T

  Analalamika kana kwamba hakuwa sehemu ya falme zilizopita

  Kwa nini hakukaa pembeni kupisha maovu ya wafalme aliowatumikia. Analalamika leo kwa maamuzi ya pamoja aliyofanya na wakubwa wake. Anapata waki usafi wa kujiona mzalendo mfia nchi. Kama ni ufisadi walipiga wote. Kama ni kesi waijibu wote. Ushahidi unakwama kwa wafalme waliopita. Sasa ni...
 11. T

  Hakubaliki na anajua hivyo ndio maana amejaa hasira na visasi

  Ukimtizama nguvu anazotumia kubaki madarakani, hasira anazoonesha akipata jukwaa, majuto anayoyaeleza akihutubia, basi utagundua kuwa, anajua hakubaliki ndani na nje, anatumia matukio na wajibu wake kujisifia na kujieleza kana kwamba hatujui nn anapaswa kufanya. Kushabikia uvunjifu wa sheria...
 12. T

  Mamlaka na Madaraka ni vya muda tu. Tenda Haki.

  Usionee, usinyanyase, usibague, usikandamize, usidhurumu, usisumbue, usihangaishe, usidharau, usipuuze, usisononeshe, mtu kwa sababu ya cheo na madaraka, uliyopewa. Hivyo ni vya muda, vinapita, ila ubinadamu na utu vinadumu kizazi hata kizazi. Tenda Haki.
 13. T

  Foleni ya Mbezi Mwisho, tatizo wajenzi au Traffic?

  Nashindwa kuelewa hasa hii kero ya foleni Mbezi mwisho. Tatizo ni mjenzi wa barabara au traffic hawajipangi vizuri? Unasimama saa nzima
 14. T

  Mnaowananga kina Nape, Makamba na Kinana, safari ni ndefu.

  Ni suala la muda tu kabla akina Bashiru, Happi, Makonda, Musiba, Lusinde n.k. hawajanuka kama walivyonuka wenzao kina Nape, Makamba na Kinana. Ikumbukwe, kipindi kile kina Nape, Kinana na Makamba walivyokuwa kwenye high gear wakiwanukisha wenzao kina Lowassa and company. Ni vizuri kunyamaza...
 15. T

  Bwana yule atavuna alichokipanda

  Bwana yule kuna mengi amepanda na anaendelea kupanda:- 1. Amenunua ndege kwa fedha taslim.(cash). High risk. 2. Anajenga SGR kwa fedha taslim (cash). High risk. 3. Anajenga stigler's gorge mbadala wa Umeme wa Gas. 4. Hajapandisha mishahara ya watumishi, akipigania wanyonge. 5. Analinda...
 16. T

  Wizara ya Michezo na TFF, Siri ya Taifa Stars hii hapa

  Tunaiomba Wizara ya Michezo na TFF itenge bajeti ya kutosha itakayomuwezesha Kocha wa Taifa Stars asafiri dunia nzima, ili akawasake wachezaji wote wa mpira raia wa Tanzania wanaocheza mpira nje ya nchi hasa Ulaya, Australia na America. Tunaamini wapo watanzania waliozaliwa huko au walienda...
 17. T

  Namba moja, kinara matumizi ya nguvu dhidi ya wafanyabiashara

  Namba moja alianzisha Tax Force, wadaiwa sugu wa kodi walihenyeshwa. Polisi, Uhamiaji, Usalama wa Taifa na TRA waliamuriwa kukusanya kodi kibabe. Biashara zilifungwa na wafanyabishara walilala mahabusu. Akaletwa Maswi. Akaenda pale TRA akalazimisha malengo ya ukusanyaji yawe mara mbili...
 18. T

  Je, Nchi kununua ndege wakati vijiji havina maji, ni sawa na mwenye nyumba kununua gari wakati hakuna bomba la maji?

  Je, maamuzi ya nchi kununua ndege wakati tuna uhaba wa miundombinu ya maji, kunaweza kufananishwa na familia inayonunua gari, wakati haina hata bomba la maji nyumbani, ili hali inaomba maji kwa jirani mwenye bomba? Kama ni ndio, Je, mwenye nyumba anayefanya maamuzi hayo anakuwa na lengo na...
 19. T

  Sheria ya usimamizi wa kodi inatoa haki kwa mlipakodi kupinga

  Kama wewe ni mfanyabiashara, na umekwazwa na maamuzi ya kikodi yaliyofanywa na TRA, basi una haki ya kupeleka pingamizi ndani ya siku 30 katika ofisi ya TRA. Kama haujataridhika na maamuzi baada ya kupeleka pingamizi la kwanza, basi unayo haki ya kukata rufaa na unaweza kufika mpaka mahakamani...
 20. T

  Kodi ni sheria, sio matamko. Bunge, TRA na CAG Wanahusika!

  Mwanasiasa hupenda sifa na kufurahisha watu anaowaongoza. Sheria za kodi hutungwa na Bunge na baadae kusimamiwa na TRA. Ukubwa au unafuu wa kodi ni lazima uwe katika viwango na utetezi wa sheria na uhalisia. Majadiliano ya kikodi kati ya Afisa wa kodi na Mlipakodi ni haki na wajibu wa pande zote...
Top Bottom