Search results

 1. C

  Usiingize housegirl nyumbani kwako bila kukagua begi na mifuko yake

  Siyo uvivu peke yake na kutojiwekea malengo mkiwa wenyewe mtatatuaje kazi zenu mfano kununua vitu vya kurahisisha kazi Kama mashine za kufua, kuosha vyombo, vitu vya kupika haraka na sehemu za kulelea watoto Asubuhi mpaka jioni ni chache sana.
 2. C

  Nini kipo nyuma ya ukuaji na ongezeko la watu wasiokuwa na dini?

  Hao wanaishi kimwili na siyo kiroho na karibu wote wapo hivyo, Mungu ni roho na tunapaswa kumuabudu katika roho na sisi roho zipo ndani na mwili nje hivyo viumbe waliokufa ndo wapo katika roho wanaweza kuwasiliana na Mungu kuliko sisi, hivyo hao wachungaji ilipaswa tangu utoto wao wawe...
 3. C

  Vijana tupeane michongo

  Mimi nawapa mchongo vijana badala ya kulima tangawizi wote Sasa wengine walime viungo vingine hasa vitunguu swaumu pia wasage viwe unga ready to cook au eat na wamalizie kwa kutangaza kama wanavyofanya roiko ya Kenya.
 4. C

  Hongera mkuu wa mkoa wa Dar, hakika vibanda vya machinga ulikuwa ni uchafu

  Wakimaliza hilo zoezi la kuhamisha machinga waajili watu wa kufagia mjini pawe pasafi.
 5. C

  Rais Samia: Vijana niko nanyi

  Kikubwa awekeze vijijini kwenye elimu na maendeleo ya vijijini hao vijana watapata kazi za kutosha.
 6. C

  Acha Kuzuga; Maisha hayana kisingizio.

  Kama jua lilivyomakinika kuchwa kwa wakati na commitment bila kuchoka mpaka wakati wa kuzama na sisi inabidi tuwe hiyo kwenye maisha bila kuchezea muda Wala visingizio.
 7. C

  Tuwahurumie Graduates, Hakuna Mwanasiasa wa kuwatetea Vijana waliomaliza Chuo

  Kazi zikiwa nyingi watoto wao hawataweza kuzimaliza zote kikubwa kazi ziwe nyingi na Kila mtu atapata.
 8. C

  Tuwahurumie Graduates, Hakuna Mwanasiasa wa kuwatetea Vijana waliomaliza Chuo

  Siyo kazi za ofisini tu bali kazi iwe mjini tena mjini kweli, Mimi naona Tanzania kazi bado ni nyingi sana tatizo lipo kwa wananchi wenyewe kutokujua nini wanataka ila wachache tu ndo wanajielewa imagine uwekezaji mkubwa upo mjini sehemu zilizoendelea lakini ikitokea Serikali inataka kuwekeza...
 9. C

  Rais Samia atoa wastani wa madarasa manne na madawati 120 katika kila shule ya Sekondari nchi nzima

  Wajitahidi na shule ziongezwe Ili kupunguza watoto wengi kujikusanya eneo moja.
 10. C

  Hakuna mwanasiasa anazungumzia tatizo la ajira Tanzania, wengi wamejikita kutoa misaada ya matundu ya vyoo na taulo za kike

  Wangetaka kutengeneza wangeweza tena hata kuajiri watu wote kasoro watoto inawezeka, ile sera ya viwanda ingehamishiwa vijijini kujengwa viwanda watu wote wangepata kazi sasa sijui Tanzania ya viwanda iliishia wapi?
 11. C

  Pato la kila Mkoa: Dar es Salaam yazidi kuongoza ikifuatiwa na Mwanza, Njombe na Katavi zashika mkia

  Kinachoiendeleza Mwanza ni wazuri wa kupokea wageni na kuwaacha wawekeze kwenye viwanda na biashara.
 12. C

  Pato la kila Mkoa: Dar es Salaam yazidi kuongoza ikifuatiwa na Mwanza, Njombe na Katavi zashika mkia

  Nadhani mbeya per Capita inasitawi kwasababu ya vitu vingi vinapatikana kwa bei ndogo hasa chakula na ukija upande wa mavazi na vitu vingine naona kuwa karibu na Nchi zingine inasaidia kupata bidhaa nyingi za kuuza kwa bei ndogo kitu kinachofanya watu wengi wanunue.
 13. C

  Prof. Ndalichako, watazame hawa watoto wakiwa wanakwenda shuleni

  Na ndo maana wakimaliza shule wanakosa ajira kwasababu yakutokuwekeza vijijini huduma kama za mjini, Sasa kwanini shule isijengwe karibu?
 14. C

  Watanzania tujikite kuzalisha na kuuza nje kuliko kuagiza zaidi kutoka nje (china)

  Ishakuwa to late, sisi tuliojaribu kutengeneza bidhaa tumeshajifunza maana vitendea au mashine hazipo mpaka ununue kwao na mafundi wa kuzitengeza hawapo Sasa uzalishaji unakuwa ni washidashida tu cha muhimu serikali itafute njia ya kuwaita waje wawekeze kutengeneza mashine na waajili watu wetu...
 15. C

  Degree yangu leo nakata USHURU moja ya masoko jiji huku kaskazini mwa tz

  Tafuta eneo hapo sokoni weka biashara ikuongezee kipato .
 16. C

  Mabachela wenzangu, mnapika vyakula gani vya haraka haraka?

  Nunua vifaa vya kupika haraka hutajutia, angalia kitchen gadgets hauna jikoni kwako nunua ufanye upishi wako kuwa wa kisasa na haraka, mfano deep fry unakaangia, oven unachoma na kuoka, vikaango nonstick unakaangia kwa haraka na kuosha kwa urahisi, sufuria nonstick zinapika haraka na kuosha kwa...
 17. C

  Mabachela wenzangu, mnapika vyakula gani vya haraka haraka?

  Chips kukata iwe kazi siku hizi mpaka utunze kwenye friji? Nunua chips cutter zinakata chips haraka sana na kupika nunua Deep fryer inayotumia mafuta kidogo yaani chips ndani ya dakika kumi unakula chips mpya na zimepikwa kitaalamu.
 18. C

  Hivi mikate ya mahindi(corn bread) inapikwaje?

  Ndiyo nitofauti na wa ugali maana wenyewe ni mahindi machanga yanakaushwa alafu wanasaga unga laini kama wa ngano ndo maana unaweza kupikia mkate, Mimi huwa napenda kutumia REDGOLD corn flour naona upo vizuri, pia huo unga ndo wanatumia kwenye mchuzi kuwa mzito, barafu za matunda na juice kuwa...
 19. C

  Makamba futa tarif 4 na tarrif 6, ambapo Bei ya unit moja ni sh 100 na sh 12 ilihali TANESCO wanaonunua zaidi ya 200

  Mmmh! Sasa kama watafuja si matumizi yao ndo watalipa, umeme uwe bei chini kwa dunia ya Leo teknolojia inatumia umeme kwa Kila kitu Sasa ukiwa bei chini hata hili swala la ajira litapunguza ukosefu wa ajira kwa wingi maana kwenye kutumia umeme Kuna kazi nyingi sana na pia vitu vingi vya kuokoa...
 20. C

  Rais Samia kuwa Mgeni Rasmi Kilele cha Uzimaji wa Mwenge Kitaifa Chato 14/10/2021

  Kwa Tanzania kuongeza mikoa ndo kunaleta maendeleo vijijini maana serikali inapeleka watu walioelimika na wenye upeo wa mambo makubwa kwa watu wenye upeo mdogo wa mambo makubwa mfano ujenzi wa nyumba nzuri zenye maji na umeme na matumizi ya hizo huduma zitumike kuingizia serikali kodi, hospital...
Top Bottom