Search results

 1. B

  Gazeti la Jamhuri nalo limeingia mtegoni

  Had you had the opportunity to watch or listen to what I said you wouldn't have engaged yourself into this concocted discussion with malice aforethought... Anyway, may be you are part of the game. But to preserve your dignity go to the YouTube account, everything is there. Even the purported...
 2. B

  From Hyatt Regency, The Kilimanjaro: the 2nd Tanzania Oil & Gas Congress. Wazungu Wengi Kuliko Wenyeji!

  Pascal mimi nilikuwa tayari kwenda ila mtu niliyeelekezwa kwake majibu yake idhani sina nauli naomba lift. Organizers have to be smart on who is manning ther publicity kit
 3. B

  Neville Meena wa Jukwaa la Wahariri kurejea nchini leo kutoka Afrika Kusini alikokuwa kwa ajili ya matibabu

  Wapendwa mimi taarifa nilizonazo ndiyo hizo nimezitoa. Sasa kama kuna mtu ana taarifa za ziada na tuhuma hizo zinazotolewa kwa innuendo dhidi yangu ziwekeni wazi. Lakini nawaambia tukiigeuza Tanzania kuwa nchi ya lawama, mashaka na tuhuma zisizokuwa na uhakika dhidi ya kila awaye, nchi hii mtu...
 4. B

  Neville Meena wa Jukwaa la Wahariri kurejea nchini leo kutoka Afrika Kusini alikokuwa kwa ajili ya matibabu

  Katibu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Neville Meena leo anarejea nchini kutoka Afrika Kusini alikokuwa anapata matibabu (check up). Meena alikwenda Afrika Kusini Septemba 20, mwaka huu baada ya kuwa amelazwa Muhimbili kwa siku 12 kutokana na maumivu ya kichwa. Madaktari wamempima na...
 5. B

  Tiba kwa Neville Meena

  Wahariri salaam, Nawajulisha kuwa muda mfupi uliopita Neville Meena amefanyiwa vipimo nchini Afrika Kusini na madaktari wanaendelea kumpatia tiba. Madaktari wamesema tatizo alilokuwa nalo Meena ni la kawaida na wala halihitaji upasuaji. Wamesema watamwangalia kwa siku chache kisha atarejea...
 6. B

  Katibu wa TEF, Neville Meena augua ghafla, yahisiwa kapewa sumu. Apelekwa South Africa kwa matibabu zaidi

  Neville anaumwa, Ni kweli tumemsafirisha kwenda South Africa na tumetoa taarifa za kuondoka kwake juzi. Naona upotoshaji mwingi unaoendelea. Mimi ndiye nimesimamia safari ya Neville hatua kwa hatua tangu Tanga na hadi sasa najua anaonana na daktari yupi na wapi, ila sijatonywa au kugusiwa...
 7. B

  Traffic report kuna fine kabla gari haijaingia nchini au kusajiliwa Tanzania

  Karipoti Polisi haraka kitengo cha trafiki. Mwaka 2003/4 niliandika habari ya magari yenye namba zinazofanana kuonekana Dar, Mwanza na Kigoma. Mwanzo aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Walipakodi, Mmanda alitoa matangazo katika magazeti kadhaa kukanisha habari yangu ila ilipothibitika ndipo...
 8. B

  RC wa Kilimanjaro, Meck Sadiki na Majaji wawili Wajiuzulu. Rais Magufuli aridhia...

  Sakata kesi ya ‘unga’ lachukua sura mpya | Gazeti la Jamhuri
 9. B

  Hongera boss wa Traffick Dar

  [emoji53] [emoji53] [emoji53] [emoji53] [emoji53]
 10. B

  Hongera boss wa Traffick Dar

  ACP Awadhi anasimamia haki na si vinginevyo. Masemakweli ni mpenzi wa Mungu
 11. B

  Hongera boss wa Traffick Dar

  Leo nimefarijika sana baada ya Kamanda wa Usalama Barabarani Kanda Maalum ya Dar es Salaam (ZTO), ACP Awadhi Haji kusimamia Sheria na kumwamuru askari wa Usalama Barabarani WP Beatrice alipe faini ilipobainika kuwa alitaka kumbikia kosa la kupita kwenye taa nyekundu Dereva wa Gazeti la JAMHURI...
 12. B

  Rais Magufuli enzi za Uwaziri wake...

  Mwaka 2013 Gazeti la Jamhuri lilichapisha Habari ya Uchunguzi juu ya uharibifu wa Barabara na wakati huo aliyekuwa Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, ambaye sasa ni Rais wa Tanzania alimkatalia Waziri Mkuu wawakati huu Mizengo Pinda uzito wa Magari usizidi. Alisema Sheria ndiyo isimamiwe na...
 13. B

  BUKOBA: Mamlaka ya Maji(BUWASA) yakatiwa umeme kwa madeni, wananchi wateseka kwa kukosa maji

  Nimepata simu nyingi kutoka Bukoba wananchi wanalalamika kuwa Mji wa Bukoba una siku Tatu sasa bila Maji. Wanahoji Buwasa imeshindwaje kulipa bili ya umeme Tanesco hadi wakakatiwa huduma hiyo? Tulifuatilie wapendwa. Balile
 14. B

  DC Mnyeti ataka waandishi wa habari wapigwe

  Tutachunguza na ikibidi kupitia uhusiano wa DC Mnyeti na vyombo vya Habari kwa kumpa fursa ya kufahamu kuwa hayuko juu ya Sheria na kwamba nchi haiendeshwi kwa matamko, bali kwa Sheria zilizotungwa na Bunge. Balile
 15. B

  Maxence Melo: Neno la shukrani kwa wote

  Kaka pole sana umeeleweka. Yote yatatendwa iwe kwa msukumo wa wenyenacho au wenye mamlaka ila ukweli utatuweka huru. Ukweli ni zaidi ya ncha ya upanga au risasi. Tusiogope kusema ukweli ikiwa hatumsingizii mtu. Yesu alifia ukweli, itakuwa aibu na isaliti kwa imani (yangu), na yako kufumbia...
 16. B

  Tanzania Editors Forum (TEF): Polisi wamwachie Maxence Melo bila masharti

  TANZANIA EDITORS FORUM (TEF) Mkurugenzi Jamii Forums aachiwe mara moja Kwa muda wa siku tatu sasa Jeshi la Polisi Tanzania linamshikilia Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Jamii Media Limited, Maxence Melo katika Kituo Kikuu cha Polisi Mkoa wa Dar es Salaam. Hadi sasa, si Melo, familia yake...
Top Bottom