Search results

 1. D

  Kureset Tecno Y3+

  Wakuu habari zenu? Natumai mnaendelea vizuri na shughuli zenu za kila siku. Kuna shida moja imenikuta hapa, kuna simu aina ya Tecno Y3+ ambayo hii ikiwashwa tu inaishia pale "Experience smart life " halafu inaganda hapo hapo haistart kabisa kufikia kwenye screen kwa ajili ya matumizi kama...
 2. D

  Naomba kufahamishwa!

  Habari wanajukwaa, Mimi sio mtaalamu wa mambo ya sheria na nyanja zake kwa ujumla. Sasa, binafsi ninaomba kufahamishwa/kuelezewa hii kitu kwenu mlio/mnaosoma sheria kwenu ina maana gani? Thanks in advance.
 3. D

  Kuweka/Kubadlisha OS kwenye android devices

  Habari zenu wakuu? Samahani wakuu, naomba mwenye kufahamu jinsi ya kubadilisha au kuweka OS kwenye hizi android devices kama smartphones au tablets naomba unifundishe zile basic stages/Steps katika kufanikisha hilo suala. Kama ni kwa video au kwa links au kwa maelezo yako binafsi it's okay...
 4. D

  ku-root simu

  Habarini wakuu.. Samahani kwa usumbufu, Naomba mwenye uelewa kuhusu hiyo wanayoita ku"root" simu. *Nini inamaanishwa watu wanaposema wana root simu, ie. nini Hasa maana yake halisi? *Inafanyika kwa simu za aina gani? *process nzima inaweza kuchukua muda gani mpaka kukamilika? *Kama kuna...
 5. D

  Smartphone dealers

  Hivi Itel it-1501, Itel it-1503, na Infinix X 507.Inaweza ikapatikana ipi hapo na kwa sh ngapi? Iwe Brand New sio Used Thanks in Advance
 6. D

  Kunatofauti gani kati ya processor hizi ?

  wakuu..habari zenu naombeni msaada wenu tafadhali which is the best processor between core i5 and 2.20GHZ dual?
 7. D

  Msaada kuhusu Geoinfomatics

  Wakuu..habari zenu.. Naomba kufahamishwa hii kitu inaitwa geoinformatics inahusiana na nini hasa? Na Challenges pia naomba kuzifahamu.. Ahsanteni
 8. D

  Tofauti kati ya kozi hizi

  What is the difference between bachelor of electrical engineering and bachelor of science in electrical engineering?
 9. D

  Relationship

  THE DIFFERENCE BETWEEN A FOREIGN POST AND A KENYAN POST over a relationship thread! UK PAGE.... Hello, my name is Sandra Stone, from Edinburgh I love my husband so much and I am committed to him. But recently I am falling for his cousin, what should I do? I need your advice...
 10. D

  Relationship

  THE DIFFERENCE BETWEEN A FOREIGN POST AND A KENYAN POST over a relationship thread! UK PAGE.... Hello, my name is Sandra Stone, from Edinburgh I love my husband so much and I am committed to him. But recently I am falling for his cousin, what should I do? I need your advice...
Top Bottom