Search results

 1. B

  Neville Meena wa Jukwaa la Wahariri kurejea nchini leo kutoka Afrika Kusini alikokuwa kwa ajili ya matibabu

  Katibu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Neville Meena leo anarejea nchini kutoka Afrika Kusini alikokuwa anapata matibabu (check up). Meena alikwenda Afrika Kusini Septemba 20, mwaka huu baada ya kuwa amelazwa Muhimbili kwa siku 12 kutokana na maumivu ya kichwa. Madaktari wamempima na...
 2. B

  Tiba kwa Neville Meena

  Wahariri salaam, Nawajulisha kuwa muda mfupi uliopita Neville Meena amefanyiwa vipimo nchini Afrika Kusini na madaktari wanaendelea kumpatia tiba. Madaktari wamesema tatizo alilokuwa nalo Meena ni la kawaida na wala halihitaji upasuaji. Wamesema watamwangalia kwa siku chache kisha atarejea...
 3. B

  Hongera boss wa Traffick Dar

  Leo nimefarijika sana baada ya Kamanda wa Usalama Barabarani Kanda Maalum ya Dar es Salaam (ZTO), ACP Awadhi Haji kusimamia Sheria na kumwamuru askari wa Usalama Barabarani WP Beatrice alipe faini ilipobainika kuwa alitaka kumbikia kosa la kupita kwenye taa nyekundu Dereva wa Gazeti la JAMHURI...
 4. B

  Rais Magufuli enzi za Uwaziri wake...

  Mwaka 2013 Gazeti la Jamhuri lilichapisha Habari ya Uchunguzi juu ya uharibifu wa Barabara na wakati huo aliyekuwa Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, ambaye sasa ni Rais wa Tanzania alimkatalia Waziri Mkuu wawakati huu Mizengo Pinda uzito wa Magari usizidi. Alisema Sheria ndiyo isimamiwe na...
 5. B

  Tanzania Editors Forum (TEF): Polisi wamwachie Maxence Melo bila masharti

  TANZANIA EDITORS FORUM (TEF) Mkurugenzi Jamii Forums aachiwe mara moja Kwa muda wa siku tatu sasa Jeshi la Polisi Tanzania linamshikilia Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Jamii Media Limited, Maxence Melo katika Kituo Kikuu cha Polisi Mkoa wa Dar es Salaam. Hadi sasa, si Melo, familia yake...
 6. B

  Nafasi za Kazi Gazeti la JAMHURI

  TANGAZO: Kampuni ya Jamhuri Media Limited wachapishaji wa Gazeti la Uchunguzi la JAMHURI inatangaza nafasi 2 za kazi ya uandishi wa Habari. SIFA: Mwombaji awe na Shahada ya Kwanza ya Uandishi wa Habari au Mawasiliano ya Umma. Mwombaji awe na uwezo wa kuzungumza na kuandika kwa ufasaha...
 7. B

  Simu zinaharibu uhusiano wa jamii

  Hawa ni marafiki. Mayala, Liongo na Mungi. Wamekaa meza moja kwenye mkutano wa World Press Freedom Day hapa Mwanza, lakini kila mtu yuko busy na simu yake ya mkononi, hawazungumzi pamoja na kuwa meza moja. Sitanii, je, tutafika kwa mwendo huu? Ujadiliane.
 8. B

  Magufuli akabidhiwa haya majina ya wauza 'unga'

  Kwa muda mrefu sasa, kumekuwa na mijadala lukuki kwenye mitandao ya kijamii kuhusiana na biashara haramu ya madawa ya kulevya. Wapo wanaharakati na wanasiasa kadha wa kadha wamekuwa wakifanya jitihada za kutaka kutaja majina ya walio nyuma ya biashara hii, lakini mwishoni hupatwa na kigugumizi...
 9. B

  Yanga wadai Azam ni Waarabu

  Ndugu Wanasimba, Leo nikiwa katikati ya Jiji la Dar karibu na ofisi za gazeti letu JAMHURI nimekutana na mjadala ulionitoa jasho. Mjadala wenyewe unahusu mchezo wa leo kati ya Yanga na Azam. Wapenzi wa Simba wanasema Yanga watagawa pointi kwa Azam. Yanga wanajitetea kuwa Azam inamilikiwa na...
 10. B

  Deodatus Balile: Mwandishi Bora tuzo 2014

  Wakubwa baada ya gazeti la JAMHURI kuchapisha habari nyingi za uchunguzi, mwaka huu kwa mara nyingine tena limenyakua tuzo ya mwandishi bora. Deodatus Balile, Mhariri Mtendaji wa Gazeti la JAMHURI ameibuka mshindi kwa kupata tuzo ya uandishi bora kwa Mwaka 2014. Habari yake iliyoshinda ni ile...
 11. B

  Polisi Morogoro wakithiri kwa rushwa

  Ndugu zangu uonevu umezidi katika nchi hii. Polisi Morogoro wanatisha. Kijana Fredy Mgaya anateseka rumande kwa kukosa rushwa. Novemba Mwaka Jana Mke wa Rafiki yake, alikwenda nyumbani kwake. Akamwambia wamegombana na mumewe akasaidie kusuluhisha. Alipofika akakuta watu kadhaa, mara...
 12. B

  Tumepata wapi upofu kutoona aliyofanya Maswi?

  Na Deodatus Balile Wiki mbili zilizopita nimepata fursa ya kusafiri kwenda Rwanda, Burundi na mkoani Kagera. Sehemu kubwa ya safari hii nilitumia gari. Nimepita nchi kavu kutoka Mwanza, Bukoba Mjini, Biharamulo hadi Ngara. Niliyoyaona yamenikumbusha nchi ilipokuwa miaka ya nyumba kwenye suala...
 13. B

  Vigogo wakwamisha vita ya 'unga' nchini

  Vigogo wakwamisha vita ya ‘unga’ nchini • Rais Kikwete asutwa kwa kutochukua hatua • Kamishna ataka kujiuzia gari la Tume, anena • Esther Bulaya avamiwa, asema wanalenga watoto Vita dhidi ya dawa za kulevya nchini inazidi kuwa ngumu kutokana na viongozi wa juu wa nchi kukumbatia uozo...
Top Bottom