Search results

 1. I

  DC Jokate Mwegelo: Namuunga mkono Rais Samia 2025

  Ili nchi iendelee inahitaji watu, ardhi, siasa safi na uongozi bora. Uongozi bora ndio tunachokosa Tanzania 🇹🇿
 2. I

  Mikutano ya CCM ruksa pamoja kuna Uviko-19. Wapinzani wanazuiwa

  "Ugaidishaji" wa upinzani wa kisiasa uliopo kikatiba ulianza 2016 baada ya serikali ya JPM kuingua madarakani na unaendelea hata baada ya JPM kufariki
 3. I

  Baba yake Mbowe kusaidia kudai Uhuru sio defence ya Mbowe kutofanya uhalifu, tutumie busara kujenga hoja

  Jamii haikosei. Sauti ya jamii ni sauti ya Mungu. Sauti hiyo inasema na sauti hiyo inamnyanyua Mbowe kwasababu ya matendo ya baba yake sauti hiyo hiyo inasema "Mbowe sio gaidi". Unajipa ukituko kupingana nayo na kujikweza kwako kusukojulikana weye na mzazi wako asiyejulikana na jamii hiyo hiyo
 4. I

  Rais Samia: Mbowe alijificha Nairobi aliporudi akaanza harakati za madai ya Katiba, nadhani ni Calculation akijua kwamba ana kesi

  Kwa mtazamo wangu nimesikitika kwamba raisi hakuandaliwa kwa taarifa kabla ya "mazungumzo" Majibu yake "yamemuumbua" kwamba hana taarifa sahihi, hajui maana ya demokrasia na hajui siasa na umuhimunwa katiba. Nimesikitika
 5. I

  Dkt. Mwigulu Nchemba anajipenyeza kwa wananchi ili jina lake ling'ae kwa Urais

  Anaaami kwamba watanzania ni "mazombie" hawajichagulii viongozi (voting is a gimic) hivyo hana habari na hisia zao (mazombie) anafanya waliyoyafanya viongozi wa sasa (bunge) na mtangulizi
 6. I

  Tusitetee uovu, Mbowe hayuko juu ya sheria. Kama ana makosa tuache sheria ifuate mkondo

  Ukiona mwenzio ananyolewa tia maji zako kiwembe kinakuja
 7. I

  Dkt. Mwigulu Nchemba anajipenyeza kwa wananchi ili jina lake ling'ae kwa Urais

  Bado anauota Uraisi. Wakumdhibiti katangulia
 8. I

  Serikali ya Samia Suluhu Hassan nayo yaanza rasmi kubambikizia watu kesi

  Najiuliza hivi kwanini watawala wanakua na macho lakini hawaoni, masikio lakini hawasikii?? Hivi kuna wakati wa mateso, kupotea, kuporwa haki zaidi ya kipindi cha JPM??? Ni nini kilichopatikana kwa kufanya hayo yote zaidi ya utawala kubadilika kutoka awamu ya tano kuwa ya sita?? Wanashindwaje...
 9. I

  CHADEMA kubalini matokeo na m-survive, or shupazeni shingo. You go to hell 6ft under Hao Makamanda 19 ni mashujaa, kuendelea Ubunge wao

  Brother 1. You can't legimise unconstitutional act with a reason 2. You can not make a wrong right with a reason 3. You can't hide a head like an ostrich and pretend that you are hidden. 4.There is a clear demarcation between right and wrong. 5. Be yourself hypocrisy if did not work for you with...
 10. I

  Simbachawene: Kupata kitambulisho cha NIDA siyo mwarobaini wa kutokuulizwa uraia wako

  Naamini baada ya kuutangaza ujinga kuwa ni adui, ujinga umejiongeza na kukaa ndani ya watu. Hapa ujinga umejitokeza kutoka kwa mwenye mamlaka ya uwaziri
 11. I

  Niliposikia Magufuli kafa, nilihisi na mimi nimekufa - RC Chalamila

  This man is in his own league.
 12. I

  Dkt. Ndungulile, hutaki kujiuzulu au unasubiri usaidiwe kazi?

  Wizara hii ni ya kumdhibiti Kigogo na moja ya njia zake ni kuwafanya watu wasipate mtandao kwa kuifanya kuwa ya gharama kubwa maana kuzuia kumeshindikana baada ya kigogo kutoa VPN.
 13. I

  Godbless Lema Taifa linaongozwa na sauti yako tuliyoikataa

  Anachotaka mkoa hoja ni kwamba alichosema Lema ndio kinarudia kusemwa na Raisi baada ya kifo cha Raisi. Kwa hiyo sio sahihi kumfanya mtu anayesema ukweli adui hata kama anatoka chama pinzani.
 14. I

  Sabaya akionesha majonzi juu ya kifo cha Magufuli

  Maasai (Ayo) akimpaisha kisiasa maasai( Sabaya) kwa kutumia picha
 15. I

  Serikali yaonya utoaji taarifa za maradhi, vifo au wagonjwa bila kuzingatia misingi ya utoaji taarifa

  Kinachoendelea ni hali isiyoyakawaida (unprecedented) ya watu kufa. Alichokisema katibu wa TEC ni maelezobya hali hii inayohusishwa na ugonjwa wa Korona. Sheria haziwezi kuzuia watu kupiga kelele kusituka au kutaadhrisha wengibe pale hali za nana hiibzinapotokea...watu wakiumwa na nyoka au...
 16. I

  Diamond anakosea sana...

  I feel very sorry for him (diamond) he will reap what he has soured
 17. I

  Rais Magufuli: Nimeamua maisha yangu nitaishi Karagwe na siyo Chato

  Common. Like BWM he had three places in the country he identified as home. If you add his wife's he had four.
Top Bottom