Search results

  1. T

    Niliingia mkenge kwenye kodi za tra-naombani msaada

    Jamani great thinkers naombeni mnisaidie cha kufanya;- Nilianzisha biashara ndogo fulani mwaka jana lakini kutokana na uelewa mdogo wangu wa mambo ya kodi nilihadaiwa na mwanaTRA mmoja akanikadiria kodi kubwa sana ambayo nimeshindwa kuimudu kulingana na biashara yangu,natamani kufunga hii...
Top Bottom