Search results

 1. D

  January Makamba acha uongo na unafiki ndugu yangu

  Mkuu, umeme kukatika huwa kunakuwaga na known na unknown reasons. Lakini amini nakuambia, hakuna mtu anayeamka kwake kwenda eti kukata umeme kwa makusudi kabisa... Hiyo kitu haipo. Incase una swali lolote lile uliza nikujuze taratibu mpaka uelewe.
 2. D

  TANESCO nini shida, umeme sasa ni highly unpredictable, yaani kwa siku unakatika hata mara nne, tano, tutafiki kwel?

  Kwa faida yako wewe na wengineo wote mnaodhani kuwa Tanesco wanapenda kukata umeme. Ngojea nikuelezee nini huwa kinatokea. Kwanza huwa kuna aina kubwa mbili za umeme kukatika. 1. Kukatika kwa umeme kulikopangwa. ( Planned outages) 2. Kukatika kwa umeme kwa dhalura/ghafla ( Forced outages.)...
 3. D

  Software hizi lazima ziwepo kwenye PC yangu, wewe?

  1. AutoCAD 2007 & AutoCAD Electrical 2018 2. MapSource & Google Earth Map 3. ArcMap & QGIS 4. ArchiCAD 17 5. Ms package & Adobe reader 6. Dictionary 7. ETAP Software 8. Solidworks 2013 9. Need 4 Speed 10. MATLAB and Proteus. Hizo lazima ziwepo mkuu.
 4. D

  Wataalam nisaidieni: Umeme wa three phase vs umeme wa single phase

  Mtoa mada, huwa ipo hivi. Kuna kitu kinaitwa Current ambapo unit yake ni Ampere. Na kuna kitu kinaitwa Power ambapo unit yake ni watts. Sasa, Kwa hapa Tanzania kama load yako( kwa kiswahili kisicho rasmi sana ni kama tuseme uwezo wa vifaa vyako vyote vya kutumia umeme) haitazidi Ampere 60...
 5. D

  TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

  Nilikuwa nikitoa 10,000/- napata GB 12 kwa mwezi na sasa 10,000/- napata GB 7 kwa mwezi. Haya, kwa wiki nilikuwa nikitoa 2500 napata GB 3 sasa hivi kwa 3500 napata 2.5 GB. Nimewahama kwa kweli.
 6. D

  Msaada wa kupata kioo cha Samsung galaxy S7 edge

  Haya mtoa mada kazi kwako. Sent using Jamii Forums mobile app
 7. D

  Umuhimu wa kujitolea katika kukuza soko la ajira

  Well, kujitolea ni vizuri ila pia kuwe na conducive environment kwa huyo anayejitolea. Wengi wanatumia nafasi ya hao wanaojitolea kuwabana kimaslahi, imagine unajitolea mahali, unajifunza na kufanya kazi zao ila hata nauli tu hawakupi. Hiyo ni dhuluma. Hakikisha mtu anapojitolea kwenye taasisi...
 8. D

  Apps ya GPS

  Me natumia osm trakker ipo google play store then baadae nahamishia kwa mapsource. Sent using Jamii Forums mobile app
 9. D

  Mafundi umeme, nipe faida ya kufunga 6 ways badala ya 4 ways Distribution Board

  Halafu sio "Main switch", kimsingi inaitwa Distribution Board and not main switch. Umuhimu au ulazima wa kuweka distribution ya njia sita au nne inategemea na vitu ulivyonavyo ambavyo vitajigawanya kwenye hizo njia(ways) za kwenye distribution board(Ambayo wengi wenu mnaita Main Switch.) Kwa...
 10. D

  Dar Lux, kampuni bora ya mabasi inayoelekea kaburini

  Kwa kifupi mabasi mengi ya hiyo kampuni ni kama yapo the same. Hata route ya mbeya hali inakuwaga hivyo hivyo.
 11. D

  Mwenye kishoka cha SANCHO naomba anitumie inbox

  Mnatumiaga Twitter niwape handle mkaone?
 12. D

  Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

  After hapo, utaona kuna download links kwa ajili ya audio na download link kwa ajili ya video... Sasa kazi inabaki kwako.
 13. D

  Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

  Baada ya kuchagua moja wapo, itagenerate links kwa ajili ya kudownload. Check hii screenshot.
 14. D

  Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

  Then utaenda straight kwenye hiyo search tab au hata kufungua YouTube hapo ukitaka... Then utasearch unachotaka. Kwa mfano mimi nataka audio ya Usinikubali haraka ya Fid ft Matonya... Zitakuja results hapo then nitachagua moja ninayoitaka.
 15. D

  Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

  Ukishamaliza kudownload hiyo app, utainstall kwa simu yako. After kuinstall, ukiifungua itaonekana kama hivi... Default theme yake ni nyekundu fulani hivi sema mimi napenda black theme.
 16. D

  Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

  Haya twende step kwa step. Kwa mimi natumiaga app inaitwa videorder. Why? Sababu ni simple sana kuitumia na yenyewe inacheza tu na link. Through this app(Videorder) naweza download video/audio za Twitter, Facebook, Instagram, YouTube etc. Ingia hapa kupakua videorder...
Top Bottom