Search results

 1. The Boldly

  #COVID19 Ushauri wangu kwa Serikali, Naomba Chanjo iwe lazima hatutaki kuangamizwa na wapuuzi wachache

  Hivi wakati wa kujamiiana wewe na mumeo huwa mnavaa Kondomu wote?
 2. The Boldly

  Natafuta PS 2 used

  Wakuu Natafuta PS2 used. Kwa walioko Dodoma, tuwasiliane hapa
 3. The Boldly

  Kama kujiua au kuwaua wengine ni kosa la jinai, basi na kukataa chanjo ya Corona ni kosa la jinai, HOW?

  Mbona wasiovaa kondomu hawafanyi kosa la jinai na wengine huwaambukiza wenzao magonjwa? Wasiolala ndani ya vyandarau je?
 4. The Boldly

  #COVID19 New Jersey Marekani: Watu 50 waliopata chanjo yote ya Covid 19 wafariki kwa Covid 19

  Kwahyo awe na chanjo,barakoa na sanitizer muda wote mpaka afe?? Kwanini asipogwe chanjo tu awe protected,au avae barakoa?
 5. The Boldly

  Hans Pope: Manara hataki kusaini mkataba ambao atalipwa milioni 4

  Tropic ndiyo topic au?😂
 6. The Boldly

  What is about 11:26AM OR 11:26PM

  Wakati nipo shuleni kila saa ikifika dakika ya 50 lazima niione kwenye saa.
 7. The Boldly

  Msaada:Jinsi ya 'ku-skip" device verification kwenye Euro Truck Sim 2(android)

  Wakuu, Naomba kwa mwenye uelewa wa jinsi ya kuskip ule ujumbe wa "device verification" kwenye game la euro truck simulator 2 kwenye simu
 8. The Boldly

  Sauti ya KIGOGO katika Space ya Maria Sarungi ina lafudhi ya Iringa to Mbeya

  Kumbe shida ilikuwa nyumba??....asingebomolewa nyumba leo angekuwa MATAGA😂
 9. The Boldly

  Story of Change Kilimo cha Alizeti ni Utajiri

  Kilimo cha mtandaoni kinalipa sana(Online Agriculture)😂
 10. The Boldly

  Mdau: Mlitaka Rais afanye nini kuhusu tozo ya miamala ya simu?

  Baada ya Beatrice Kamugisha kujulikana kuwa ni wa kiume. Sasa kila mtu anakuja na Shemale ID😂
 11. The Boldly

  Story of Change Ushauri kwa waliomaliza Kidato cha 6 (baada ya matokeo): Nini cha kusomea Chuo Kikuu Kupambana na Soko la Ajira

  Unajua mkuu, Haya mambo ni rahisi sana kuongea,kiuhalisia ni ngumu mno.
 12. The Boldly

  Story of Change Ushauri kwa waliomaliza Kidato cha 6 (baada ya matokeo): Nini cha kusomea Chuo Kikuu Kupambana na Soko la Ajira

  Mkuu, Kabla hatujaendelea ungefuta hiyo namba ya 'dogo' kwenye screen shot zako.
 13. The Boldly

  Story of Change Ushauri kwa waliomaliza Kidato cha 6 (baada ya matokeo): Nini cha kusomea Chuo Kikuu Kupambana na Soko la Ajira

  Mkuu, Upo sahihi,ila inawezekana vipi?? Kwa mfano,nimesoma uhandisi....nitaweza kukiajiri bila mtaji wa maana??
 14. The Boldly

  Story of Change Ushauri kwa waliomaliza Kidato cha 6 (baada ya matokeo): Nini cha kusomea Chuo Kikuu Kupambana na Soko la Ajira

  Khadija Mtalame Samahani.....kwa mfano mimi nilitala kusomea Uandishi wa habari,nilipenda. Lakini aliyetakiwa kunisomesha alinichagulia cha kwenda kusoma.Huoni kuwa bado hatujafikia huko ambako mtoto ndiye mwenye mamlaka ya kupanga??
 15. The Boldly

  Mechi ya Yanga ndio ilipaswa kuwekwa sinema zetu

  Kwani huko Sinema zenu kuna nini cha ajabu??
Top Bottom