Search results

 1. BoomBoy

  Tujuzane kuhusu E-commerce [Maswali, Shuhuda, Ideas]

  Hello mkuu, tho nimechelewa kujibu. Thanks for the advice. Hao influencers najuaje kama ni fake au real? Kuhusu store angu ni ninche-based, sema ntajitahd kuw na hizo email lists. Sales funnels nimezitengeneza mkuu, tho haziko as productive as means nyingine.
 2. BoomBoy

  Msaada jinsi ya kuweka blog banner ambayo ni responsive

  Hujawa specific pia, ads n zako mwenyewe au 3rd Party?
 3. BoomBoy

  Msaada jinsi ya kuweka blog banner ambayo ni responsive

  Kwa WordPress, ili ufuraishe maisha, kutengeneza Sliders, PopUps, Sidebar Banners Header/Footer Banners na In-Content Banners tafuta Plugin ya WP Bakery Pro. Utakuwa umesolve kila kitu na possibilities kuongezeka.
 4. BoomBoy

  Msaada jinsi ya kuweka blog banner ambayo ni responsive

  Hullo, hiyo blog, umeicode, au unatumia CMS (Blogger, WordPress)
 5. BoomBoy

  Tujuzane kuhusu E-commerce [Maswali, Shuhuda, Ideas]

  Hii iko vizuri mkuu, kati ya Kutumia CMS kama WordPress, Shopify na ku code from Scratch what's better?
 6. BoomBoy

  Tujuzane kuhusu E-commerce [Maswali, Shuhuda, Ideas]

  Kwa Faida 1. Baada ya muda Store itajiendesha. Utakuwa na jamaa wa kukusevu kama Customer Support, Instagram na kwa Email. Unaeza mlipa fixed amount au kwa kila tatizo atakalo tatua. Kuhusu kupost kwa Social Media, unaweza automate kila kitu na huduma kama Social Rabbit. Earnings zako baada...
 7. BoomBoy

  Tujuzane kuhusu E-commerce [Maswali, Shuhuda, Ideas]

  Dadavua zaidi mkuu, Je hizo classfied ads hawatumii na competitors wako?
 8. BoomBoy

  Tujuzane kuhusu E-commerce [Maswali, Shuhuda, Ideas]

  Changamoto; (so far...) 1. Kuuza hakutabiriki. Hii ni changamoto, kuna muda wiki inapita, sales ni zero. Na kuna mda unalamba sales 70 in one week. Nimejaribu SEO, Backlinking, kuwatumia Instagram Influencers ila bado, soko linakuwa halitabiliki. Issue inaua zaidi, kwenye kutafuta first sale...
 9. BoomBoy

  Tujuzane kuhusu E-commerce [Maswali, Shuhuda, Ideas]

  So manufucture ananipa 3d model za kila bidhaa inayotoka kwake, ikiwa na logo angu. Then mimi naamua pricing na kueka kwa store. Order zote za wiki zinakuwa forwarded kwa manufucture kila J4 na JMos. So Mteja anapata mzigo wake in 5 days max/min. Na E-Packet.
 10. BoomBoy

  Tujuzane kuhusu E-commerce [Maswali, Shuhuda, Ideas]

  Current Operation Plan; 1. Ilibidi issue nzima ilwe serious na legal. So nikasajili jina la biashara Brela, nikapata pass TRA, ya kampuni tu la kawaida. Then haiishi hapo, unaenda kwa kila nchi unakoenda kuuzia, zile za msingi, unasajili kampuni. Aim kubwa ni upate Postal Address. So in m case...
 11. BoomBoy

  Tujuzane kuhusu E-commerce [Maswali, Shuhuda, Ideas]

  Kufupisha story, nimekuwa na store inayoship kwa nchi 25, bidhaa mbali mbali za kiume. Huu ni mwaka wa pili, na challenges zipo kibao, japo na matunda yanaonekana soon yataanza kulika. Operation Plan: Hii nimei re-modify kama mara kumi ivi. Mwanzo, nlikuwa nataka niwe na physical products...
 12. BoomBoy

  Tujuzane kuhusu E-commerce [Maswali, Shuhuda, Ideas]

  Nikianza na mimi, Main issue ni programming/graphics na web design. Baada ya hustle za muda mrefu kidogo, nilicreate ki Branding Agency (15 Men Team) ambako nlipewa kuifanyia Re-Branding, E-Commerce store ya majamaa wawili, walikuwa ndugu, mtu na mdogo ake. Ile kupewa access, nikakutana tu na...
 13. BoomBoy

  Tujuzane kuhusu E-commerce [Maswali, Shuhuda, Ideas]

  Habari wakuu, Nimeona sio mbaya ukiwepo uzi ambapo E-commerce kama biashara nyingine, inaongelewa kwa kina kidogo. Tuulizane maswali, tupeane ma experience, changamoto, takes, nk. [emoji362] E-Commerce: "Kuuza na kununua bidhaa kutumia Internet.
 14. BoomBoy

  Msaada mwenye Namna ya kutuma fedha ghana

  Nope mkuu, nlikuw natoa refund kwa customer. first time experience ndo maana ilinchanganya kidogo. Nlikuw nimezoea kupokea, sa hiyo ya kurudsha ndo ilikuw ngumu.
 15. BoomBoy

  Msaada mwenye Namna ya kutuma fedha ghana

  WorldRemit Xoom Kote n mpaka mtumaj awe nje ya Africa.
 16. BoomBoy

  Msaada mwenye Namna ya kutuma fedha ghana

  Hello wakuu, Kama kuna Kiongozi ana namna ya kutuma fedha Ghana, na receiver akapokea kwa mobile money, naomba tujulishane
Top Bottom