Search results

 1. Kibra49

  Waliochaguliwa Chuo cha Ushirika Moshi (MOCU) 2020/2021

  List ya waliochaguliwa round ya kwanza io apo
 2. Kibra49

  Waliochaguliwa MOCU 2019/2020 tukutane hapa tujiunge whatsapp kwa updates zaidi

  Waliochaguliwa MOCU tukutane hapa kwa updates zaidi
 3. Kibra49

  HABARI WADAU NAOMBA KUJUA HILI SHIRIKA LINAITWA TASAF NIMEPITIA MTANDAONI NIMEONA LINASAIDIA WATU WAOTOKA KATIKA FAMILIA ZA KIMASKINI KUTOA MIKOPO

  Nimejaribu kupitia mwongozo wa Bodi ya mikopo ya elimu ya juu nkaona ili shirika kwamba kama unatoka familia ya kimaskin yan iwezo wa chini basi uambatanishe namba ya TASAF naomba kwa anaejua atujuze tunawezaje kujinunga na kupata izo namba
 4. Kibra49

  Ipi ni shahada nzuri kati ya 'Accounting' na 'Banking and Finance'

  Habari wana JF naombeni mnijuze kuhusu hizi kozi mbili utofauti wake, wigo katika kazi pia ipi ni nzuri kuisoma
 5. Kibra49

  Help please: Industrial training for automobile engineering

  Msaada wadau nataka kwenda field ya automobile naombeni ushauri mahali pa kupeleka
 6. Kibra49

  Kwa wanaosoma NIT na waliochaguliwa NIT mwaka huu tukutane hapa

  Wadau nimeamua kanzisha huu uzi ili tuweze kubadilishana mawazo kwa ambao wanaingia mwaka huu na ambao wapo tayari katika masomo ili tuweze kujua tusicho kifahamu ili tuweze kutoboa.
 7. Kibra49

  Huu hapa muongozo kuhusu kozi unazochagua

  Kwa wale ambao bado hawajajua ni course ipi inawafaa na ni wapi itawapeleka basi soma hiyo pdf uweze kujua zaid, its is helpful.
Top Bottom