Search results

 1. Jamsuldash

  Msaada wako ni muhimu sana. . .

  Kwenye game la FIFA 2014 nikitaka Suarez amng'ate mchezaji mwenzake nabonyeza buttorn ipi?
 2. Jamsuldash

  Nani mwenye akili nyingi?

  Baada ya kubishana kwa muda mrefu, mbongo na mzungu wakafikia hapa Mzungu: nakuuliza swali ukikosa unanipa sh 500 na wewe utauliza nikikosa nakupa sh 10,000. Mbongo: poa anza mambo. Mzungu: ni mnyama gani anaweza kaa muda mrefu bila kula chakula na anaweza fikisha muda gani katika hali...
 3. Jamsuldash

  Huyu ndio mbongo sasa!

  Ukuta wa ikulu uliharibika, wakandarasi waliitwa na kuambiwa atakayejenga kwa ubora mkubwa ila kwa bei nafuu ndiye atakayepewa kazi. Mjerumani: nitajenga kwa mil 90 yaani 40 ya vifaa, 40 ya wafanyakazi na 10 ndio faida yangu. Mchina: nitajenga kwa mil 70 yaani 30 ya vifaa, 30 ya wafanyakazi na...
 4. Jamsuldash

  Msaada: kutunza data ndani ya flash drive/memory card

  Nina memory card ambayo ukiiweka kwenye simu ama computer inahitaji niiformat kabla sijaanza itumia. Nami nina vitu ambavyo ninahitaji nivitoe kabla sijaiformat. Naombeni msaada wa jinsi ya kutunza na kuzipata data zangu. . .
 5. Jamsuldash

  Mchaga v/s Mmakonde

  Wamakonde wawili waliingia bar huku hawajui cha kuagiza, ghafla wakaingia wachaga wawili na kuagiza "aisee muhudumu tuletee kilimanjaro mbili za baridi". Bila kuchelewesha wamakonde nao wakaagiza "na chichi tuletee Ntwara mbli za vuguvugu"
 6. Jamsuldash

  Ungekoga na mama yako ingekuaje. . .

  Mtoto alikuwa anaoga na baba yake kwa bahati mbaya akateleeza shaaa. . . Katika harakati za kujiokoa akadaka nanilii za baba yake, baba akafunguka ungekoga na mama yako ungekamata nini mshenz mkubwa wewe. . . .pumbavvvu. . .
 7. Jamsuldash

  Duh, haya majina nayo. . .

  Kulikuwa na mkutano wa walimu kutoka shule kadhaa za sekondari hapa Tanzania ambazo ni Mzumbe, Kibaha, Senge, Kilakara, Mirambo na Galanosi basi ukaja wakati wa kuwapanga walimu MC akaanza wale walimu wa Mzumbe wakae hapa, wa Kibaha pale, wa Mirambo hapo, wa Galanosi wakae huku mbele pamoja wa...
Top Bottom