Search results

 1. thetallest

  Kuna Mtanzania bado anaamini nchi hii ni masikini na inahitaji misaada zaidi kujikwamua?

  Kuna kukopa kwa ajili ya anasa, Magufuli alikopa kwa ajili ya ustawi wa Taifa
 2. thetallest

  Kuna Mtanzania bado anaamini nchi hii ni masikini na inahitaji misaada zaidi kujikwamua?

  Soma kitabu kimoja cha Walter Rodney,uamshe ubongo wako ,kinaitwa "How Europe underdeveloped Afrika ",upate madini ,huyu jamaa walim- assassinate ,baada ya kuwapa makavu
 3. thetallest

  Kuna Mtanzania bado anaamini nchi hii ni masikini na inahitaji misaada zaidi kujikwamua?

  Nakuhakikishia uhakiki haukusumbua kwa wafanyabiashara wakweli,unamwaga tripu 10 za mawe halafu ulipwe pesa ya tripu 30 harakaharaka,hili lilifanikiwa awamu ya nne ,mwamba alipoingia alikuwa ni mkali wa double check na ndio principle ya mwana mahesabu yoyote yule makini
 4. thetallest

  Kuna Mtanzania bado anaamini nchi hii ni masikini na inahitaji misaada zaidi kujikwamua?

  Unabaki kuwa ni mtazamo wako ,na ni wa kindezi kweli
 5. thetallest

  Kuna Mtanzania bado anaamini nchi hii ni masikini na inahitaji misaada zaidi kujikwamua?

  Halafu hivyo vyandarua mkawa mnavulia samaki
 6. thetallest

  Kuna Mtanzania bado anaamini nchi hii ni masikini na inahitaji misaada zaidi kujikwamua?

  Noma sana ,wanajisifu kwa sasa eti misaada imefunguka kweli [emoji23]
 7. thetallest

  Kuna Mtanzania bado anaamini nchi hii ni masikini na inahitaji misaada zaidi kujikwamua?

  Pia fahamu kwenye kuhakiki serikali iliokoa pesa nyingi sana ,upigaji ni jadi nchi hii
 8. thetallest

  Madhara ya Kutumia Neno "GAIDI" Katika Siasa Zetu ni Kuichafua Nchi.

  Kwani marekani hakuna magaidi?,acheni ufala
 9. thetallest

  Madhara ya Kutumia Neno "GAIDI" Katika Siasa Zetu ni Kuichafua Nchi.

  Balile ni nani ?,aache ujinga,hatujali nje wanasemaje,gaidi lazima ashughulikiwe,kama chadema wamemtuma huyo ni fala sana
 10. thetallest

  Kuna Mtanzania bado anaamini nchi hii ni masikini na inahitaji misaada zaidi kujikwamua?

  Nchi sio masikini, nchi inakosa viongozi wenye maono ya kutuvusha
 11. thetallest

  Rais Samia amefanya vizuri ndani ya miezi saba madarakani

  Haya masifa hayaa!, ngoja nicheke
 12. thetallest

  Usiseme 'umejenga' sema Serikali imejenga, tumpunguzie majukumu Rais

  Achana na marehemu asieweza jitetea,tunazungumza sasa,tabia hii ikome ,wewe ni mmoja wa waimba mapambio
Top Bottom