Search results

 1. amaizing

  Wa mwisho ndio mshindi

  Tamu ni muendelezo wa utamu Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 2. amaizing

  Pongezi kwenu Mdee na Bulaya kwa kuzungumzia mifuko ya Hifadhi ya Jamii Bungeni

  Serikali ipitie upya pia fao la kujitoa..haiwezekan mfanyakazi wa taasisi binafsi asiruhusiwe kuchukua mfao yake pindi akiacha kazi au mradi anaoufanyia kazi ukiisha eti asuburi umri wa kustaafu..hii inatuumiz Sana waajiriwa wa taasisi binafsi[emoji3064] Mshahara wangu, Makato yametoka katika...
 3. amaizing

  Wa mwisho ndio mshindi

  Maombolezo haya yanaumiza sana Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 4. amaizing

  Sijaona umuhimu wa sekretarieti ya ajira kurudia majina ya waliopata kazi katika matangazo mapya ya kazi

  Wamenitumia email kuitwa kwa interview na number ya usahili Cha ajabu kwa list ya selected candidates namba hiyo hiyo iko na jina la mtu mwingine na langu halipo... Hii ni tatizooo
 5. amaizing

  Makapuku Forum

  Duuuu..nashkuru Sana.. maisha yanatupeleka mbio Hadi hatuonan mitaa hii shem
 6. amaizing

  Makapuku Forum

  Mc you bro
 7. amaizing

  Makapuku Forum

  Dah makapuku forum...kitambo sanaaaa
 8. amaizing

  Mambo 10 ya kuzingatia kabla ya kuvuka miaka 26

  We umewaona hao wife materials????
 9. amaizing

  Bodi ya mikopo hii imekaaje? Pamoja na kuanza kulipa tangu 2014 deni langu limeongezeka

  Sio kwamba tunawafuata..ila kwa waajiri wengi kwa Sasa ukisign mkataba wa ajira lazima wapeleke jina lako bodi ya mikopo kuhakiki Kama una den au la.. Kuna waraka walipewa na auditors wanazingatia Sana Hilo..kwa hyo whether you like au hapana itabidi ulipe tu Deni[emoji1][emoji1][emoji1]
 10. amaizing

  Bodi ya mikopo hii imekaaje? Pamoja na kuanza kulipa tangu 2014 deni langu limeongezeka

  Wasiliana na office ya zonal .. Mfano iringa, dodoma zonal yao ni dodoma.. Address zao waweza zipata kupitia. Website yao.. Pia njia rahisi niliyokuwa natumia kuwasiliana nao ni email, na nacopy mkurugenzi wao,Hadi officer wa chin.. Imenisaidia Sana kupata statements za Uhakika Nilikuwa na Deni...
 11. amaizing

  Najiuliza kuhusu ukimya, pale ambapo pande mbili zinapopingana mmoja akaamua kunyamaza

  Mkuu sio ngumu Sana ni vile unatune mihemuko yako na kuamua kukaa kimya, hata mtu aongee vipi wewe unakaa kimya..Ukimya si siraha hatari Sana
 12. amaizing

  Uchaguzi 2020 Mtia nia Udiwani CCM adondosha kibuyu chenye dawa

  Duuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 13. amaizing

  Rupia: Hazina ya Mjerumani

  Kaa mbali na hao wazee mkuu Utafirisika hadi senti ya mwisho..tumedhurumiwa nyumba kisa mambo haya yasiyo na faida..mzazi wangu aliingia kwenye hizo biashara hakuna alichofanikwa zaidi ya kuwa maskini tu Kaa nao mbali mkuu
 14. amaizing

  Asante Mungu, deni la HESLB limekwisha

  Nashkuru sana ..jumatatu ntafanyia kazi hili
 15. amaizing

  Asante Mungu, deni la HESLB limekwisha

  Hakikisha unapata risiti zako zote za marejesho ya kila mwez kutoka kwa muajiri wako..hii itakusaidia in case baadhi ya marejesho yasipoonekana kwenye outstanding loan statements kutoka bodi ya mikopo
 16. amaizing

  Asante Mungu, deni la HESLB limekwisha

  Ingia website ya HESLB utapata contacts za zonal uliyopo Zonal zimewekwa kimikoa Japo ni wagumu sana kujibu email ila unacopy had mkurugenz wao tena kwa kuwasumbua ndio utajibiwa N.a. mara nying statements wanazotuma zinakuwa hazioneshi michango yote,ni jukumu lako kuwasumbua had waone kero
 17. amaizing

  Asante Mungu, deni la HESLB limekwisha

  Wasiliana na zonal offices kwa sehem uliyopo wao watakupa clearance certificate. Mie nimemaliza mwez wa pili bad luck nilichelewa kutumiwa clearance certificate hivyo ofisini kwangu wakaendelea kunikata, nilikatwa mwez March na April so ni zamu yangu sasa nawadai bodi ya mikopo japo sina uhakika...
Top Bottom