Search results

 1. Education Mentor

  Saikolojia: Fahamu Ugonjwa wa Bipolar Disorder (Kanye West)

  Habari wasomaji wangu, wa makala za jifunze saikolojia. Basi leo nimeleta somo kuhusu ugonjwa wa saikolojia unaofahamika kama Bipolar Disorder. Pengine wengi wetu neno ili au msamiati huu ni mpya kabisa kuusikia au wengi waliousikia lakini hawakuweza ingia kujifunza kuelewa Bipolar ndio ukoje...
 2. Education Mentor

  Saikolojia: Kushindana na wanaobeba Chuki

  SAIKOLOJIA: KUPAMBANA KUSHINDANA CHUKI Katika somo la leo najaribu kuangazia Saikolojia ya kuhusu chuki ambao katika Ulimwengu wa leo uliotaharuki kwa visasi na ukatili kutokana na tatizo hilo. Lakini kuhusu chuki si kwamba tu imekuwepo katika ulimwengu huu tu ni jambo ambalo limekuwepo kwa...
 3. Education Mentor

  Saikolojia: Fahamu tatizo sugu la wasiwasi (Sehemu ya pili)

  Saikolojia: Fahamu tatizo sugu la wasiwasi (Sehemu ya pili.) Baada ya kujifunza somo hili kuhusu wasiwasi sugu (Anxiety Disorder) katika sehemu ya kwanza basi leo tumalizie sehemu ya pili ya muendelezo wake na sehemu ya Mwisho. Katika sehemu ya kwanza tuliangalia Tafsiri ya Anxiety...
 4. Education Mentor

  Saikolojia: Fahamu tatizo sugu la wasiwasi (Anxiety disorder)

  Saikolojia: Fahamu tatizo sugu la wasiwasi (Anxiety disorder). Imenisukuma wakati huu kuandika kwa ajili ya makala hii kuhusiana na somo la Hofu au uoga kupitiliza na wasiwasi kutokana tatizo hili limekuwa halisikiki lakini lipo kila itwapo leo katika jamii zetu na wapo wengi baadhu yetu...
 5. Education Mentor

  SAIKOLOJIA: Wema wa mwanzo hufunikwa na ubaya wa mwisho. (Mfahamu Dr. Fitz Haber mshindi wa Nobel prize 1918)

  ‘Hupo msimu wa mvua na mafuriko katika maisha ambapo sisimizi hugeuka chakula cha samaki, pia hupo msimu wa kiangazi na ukame samaki nao hugeuka chakula cha sisimizi” (Mabaya ya mwisho hufanya wema wa mwanzo usikumbukwe) Habari za kipindi kirefu mpenzi msomaji na mfuatiliaji wa makala za...
 6. Education Mentor

  Wakenya hii sasa too Much

  Ilianza maneno Mlima Kilamanjaro ikaja Oldupai Gorge wakaibukia ktk BRT mwendo kasi hipo Kenya na sasa wamekuja na hii kubeba hadi bendera yetu........nadhani after 50 years later Watasema Nyerere na Magufuri alikuwa mkenya pia.......Badilikeni sasa enough is enough 😂😂😂
 7. Education Mentor

  Mzee Christopher S.Tumbo mpinzani wa Serikali ya awamu ya Nyerere

  Wengi mmenizoea kupitia uzi wa saikolojia na maisha lakini nadhani huu ndio uzu wangu wa mwisho humu JF kuanzia sasa nitajikita katika Blog yangu ambayo link nimeweka katika profile yangu. Leo nimeibukia uzi wenye maudhui ya historia kidogo kutokana na mchango wa mbali yetu katika maendeleo na...
 8. Education Mentor

  Saikolojia: Hisia, akili na Sheria ya Mvuto (Kupenda, kupendwa, kupendana)

  Kweli hipo sheria flani katika ulimwengu ambayo inafanya kazi katika upendo wa mahusiano kwa njia ya hisia na akili. NB: Sheria ya mvuto ujulikana pia kama "Law of attraction" Namna inavyofanya kazi ni kwa namna nyingi sana mojawapo tunaita soul ties yaani muunganiko wa kiroho au nafsi mfano...
 9. Education Mentor

  Huu mgogoro unausuluhisha vipi? (Uzoefu - Hekima na Busara, wanasaikolojia wenzangu)

  Huu mgogoro unausuruhisha vipi? (Wenye Uzoefu <Hekima na Busara> na pia wanasaikolojia wenzangu)) (Kuna msemo unaosema hivi when trust is broken sorry mean nothing) Nimepitia kesi nyingi za ndoa kufahamu chanzo cha migogoro hiyo lakini nilichokigundua chanzo kikuu ca migogoro ya ndoa ni...
 10. Education Mentor

  Saikolojia: Waelewe Wanaume (Understand Men)

  Waelewe/Wafahamu Wanaume (Understand Men) Habari za muda kidogo wasomaji wa makala ninazoziandika hasa kuhusu saikolojia na maisha karibu katika makala inayohusu kuwaelewa wanaume. Niombe radhi kwa kushindwa malizia makala kama mbili sababu kubwa ni baada ya kupata ushauri kutoka kwa wasomaji...
 11. Education Mentor

  Saikolojia: Waelewe Wanaume. (Understand Men)

  Waelewe/Wafahamu Wanaume (Understand Men) Habari za muda kidogo wasomaji wa makala ninazoziandika hasa kuhusu saikolojia na maisha karibu katika makala inayohusu kuwaelewa wanaume. Niombe radhi kwa kushindwa malizia makala kama mbili sababu kubwa ni baada ya kupata ushauri kutoka kwa wasomaji...
 12. Education Mentor

  Saikolojia: Je Nimlipizie kisasi au nimsamehe?. (Vita visivyoisha vya Afghanistan)

  Je Nimlipizie kisasi au nimsamehe?. (Case study: Vita visivyoisha vya Afghanistan) “.Kabla haujaanza safari ya kwenda kulipa kisasi anza kuchimba makaburi mawili...” Confucius (Kuna anenaye bila kufikiri, kama kuchoma kwa upanga). Kisasi ni kitu kinachoweka hisia ya ahueni katika mioyo ya...
 13. Education Mentor

  Saikolojia: Fahamu magonjwa ya kisaikolojia, dalili,tabia na mifano.(Case study Tanzania)

  Saikolojia: fahamu magonjwa ya kisaikolojia common tanzania na tabia zake. Fahamu magonjwa ya akili ambayo yapo katika jamii zetu na dalili zake. Habari za leo msomaji wangu wa makala zinazohusu saikolojia na maisha kwanza nikiomba radhi kwa kushindwa kuiposti sehemu ya mwisho ya makala...
 14. Education Mentor

  Saikolojia: Jifunze mambo yatakayokusaidia kuwa na maisha yenye furaha (sehemu ya pili)

  SEHEMU YA PILI ZIFAHAMU SABABU ZINAZOWEZA KUKUSAIDIA KUKUJENGA ILI KUYAFURAHIA MAISHA. Katika sehemu ya kwanza niliangazia sana “baadhi tu” ya maeneo ambayo tunakuwa tunayatarajia sana kama ndio sababu kuu sana kuja kutupa maisha mazuri na yenye furaha. Na nikitoa mifano halisi na tafiti...
 15. Education Mentor

  Saikolojia: Jifunze mambo yatakayokusaidia kuwa na maisha yenye furaha (Case study Finland)

  SEHEMU YA KWANZA Saikolojia: Jifunze mambo yakayokusaidia kuwa na maisha yenye furaha duniani ( na fahamu vigezo vilivyotumiwa kuichagua Finland kuwa nchi ya kwanza (Juu) kwa watu wenye furaha na Tanzania ya tatu (kutoka mwisho). “..Katika makala hii nimejikita kuchambua vigezo vilivyoifanya...
 16. Education Mentor

  Saikolojia: Sababu zinazosababisha magonjwa ya akili ambazo wengi hawafahamu. (psychological disorder)

  “Know yourself is beginning of all wisdom” <Aristotle> 1. MWANZO Kwanza ningeliweka wazi hili suala kabla ya kuendela na makala hii fupi Ijapokuwa magonjwa ya akili ni magonjwa tu kama mengine ya mwilini na mengi tu yanatibika. Nakumbuka kuna ndugu mmoja wa karibu kabla sijaenda kusomea...
 17. Education Mentor

  Saikolojia: Fahamu tabia ya hasira, madhara yake na namna za kuishinda

  "In the midst of great joy, do not promise anyone anything. In the midst of great anger, do not answer anyone's letter." —Chinese proverb 1. MWANZO Kama binadamu kila mmoja wetu kwa namna tofauti tofauti tuna mapito mengi sana ya kujifunza kuhusu maisha kiuhalisi na mashuhuda wazuri wa namna...
 18. Education Mentor

  NEAR DEATH EXPERIENCE: ( Hali inayompata Binadamu anapokaribia Kufariki Dunia)

  NEAR DEATH EXPERIENCE: ( Hali inayompata Binadamu anapokaribia Kufariki Dunia) Near Death experience ni scientific topic ijapokuwa ina maudhui ya kiimani Ni muda kidogo umepita tangia nilipokutana na tukio hili limeacha alama ambayo siwezi kusahau sina lengo la kutisha mtu lakini kusudi langu...
 19. Education Mentor

  Mambo matano muhimu ya kuzingatia katika uchaguzi wa course/taaluma kabla ya kuingia au kuanza chuo

  1.Mpe Mungu nafasi akupe siri ya kipawa/ujuzi unao ambao ndio kusudi ulilobebeshwa katika Ulimwengu Huu. Mwenye kukiweka kipawa/ujuzi huo ni Mungu. Kaa vizuri na utengeneze na Mungu wa Mbinguni ili akujaliwe wakati huu kujua Kipawa/ujuzi wako wa asili hasa unapofanya uchaguzi wa...
Top Bottom