Search results

 1. The Boldly

  Natafuta PS 2 used

  Wakuu Natafuta PS2 used. Kwa walioko Dodoma, tuwasiliane hapa
 2. The Boldly

  Msaada:Jinsi ya 'ku-skip" device verification kwenye Euro Truck Sim 2(android)

  Wakuu, Naomba kwa mwenye uelewa wa jinsi ya kuskip ule ujumbe wa "device verification" kwenye game la euro truck simulator 2 kwenye simu
 3. The Boldly

  Kuna mwenye Video au Audio za hotuba za Sokoine?

  Habari wakuu. Nauliza kama kuna mwenye video au audio ya sauti ya Marehemu Sokoine? Msaada kwa mwenye nazo....
 4. The Boldly

  Msaada swali la hisabati wakuu...

  Swali la 25
 5. The Boldly

  Wataalam wa Hisabati, swali hili

 6. The Boldly

  Msaada swali la hisabati

  Alpha alikula 1/4 ya mchele wake, kisha aliuza 1/3 ya mchele uliobaki.ikiwa alibakiwa na kg 60.Tafuta kg alizokuwa nazo. Cc Mwifwa
 7. The Boldly

  Msaada wa swali la umri

  Umri wa Osaka ni 1/5 ya umri wa baba yake.Miaka 8 ijayo umri wa Osaka utakuwa 1/3 ya umri wa baba yake.tafuta umri wa baba wa sasa.
 8. The Boldly

  Msaada swali hili la Hisabati

  >>>>Namba inaongezeka kwa asilimia 5 mpaka 651.Ni namba gani Hiyo?
 9. The Boldly

  Jinsi ya kusajili tovuti

  Wakuu Nataka kusajili tovuti hivi karibuni.Ni hatua gani za kufuata ktk usajili wa tovuti?
 10. The Boldly

  Simulizi:The President and I(Mimi Na Rais)

  Imeandikwa na Lello Mmassy UTANGULIZI Naitwa Joseph Kaduma Ndani Ya Serikali Ya Nchi Ya STANZA Watu Hupenda Kuniita Joe.Nina Nusu Saa Tu Ya Kuamua Kati Ya Maisha Yangu,Familia Yangu Na Utajiri Wangu Ama Uhai Wa Rais. Rais Anaeongoza Zaidi Ya Watu Milioni 70,Mwenye Ulinzi Zaidi Ya Ma Rais...
 11. The Boldly

  Ujumbe Wa Mama Kwa Mwanawe

  *UJUMBE WA MAMA KWA MWANAE KIPENZI* 🤔🤔🤔 *"Mwanangu sikwambii uache kusoma au uache kazi lakini ukikutana na Fursa nzuri usiiache kamwe."* *"Mwanangu utamaliza Chuo baada ya Miaka 25..."* Jumla ya ada yako tangu unaanza shule mpaka unamaliza ni *Milion 16,800,000/= Tshs*. Tanzania itakupa...
 12. The Boldly

  Jinsi gani naweza kutafuta simu iliyopotea kwa kutumia IMEI?

  Wakuu ni kwa namna gani naweza kuitafuta simu ilipotea kwa kutumia IMEI Number?
 13. The Boldly

  Amir Fidel Castro (1926-2016)

  Tawala za kijamaa zilianguka kote duniani , lakini Castro aliendelea kupeperusha bendera nyekundu karibu na maadui wake wakubwa, Marekani. Kiongozi huyo mwenye utata alisifiwa na wafuasi wake kama kiongozi wa ujamaa, askari mwanasiasa ambaye aliirejesha Cuba mikononi mwa watu. Lakini...
 14. The Boldly

  Tunaohitaji Mitaji ya kuanzishia biashara tukutane

  Post deleted by author
 15. The Boldly

  Nimehama rasmi Manchester United na kujiunga na Liverpool

  Post deleted by author.
 16. The Boldly

  Tuchel na Cakir ndio wanaoijua Anfield, siyo Neymar

  USIKU! Yes Usiku wa Alhamisi ya April 14, 2016 ndio usiku pekee wa kusisimua kuwahi kutokea katika dimba letu la Anfield. Usiku uliokuwa na jasho, damu na machozi. Usiku wa vita. Usiku ambao Borrusia Dortmund yake Thomas Tuchel ilikutana na maajabu ambayo AC Milan na West Ham kwa nyakati...
 17. The Boldly

  Ni member gani wa kike unayempenda zaidi?

  Post deleted by author.
 18. The Boldly

  Nini kinakukera kwenye Makundi ya WhatsApp?

  Makundi ya mitandao ya kijamii ya WhatsApp huwa yanawasilisha umoja wa watu kuwa na malengo yanayofanana. Lakini hali inakuwa tofauti kwa sababu inaonekana kwamba wengi wanashindwa kufuata kanuni walizojiwekea. Hii inatokea pale ambapo mtu anaingiza maongezi ambayo sio muhimu kwa wakati huo au...
 19. The Boldly

  Je, Paul Makonda anapendelewa?

  RAIS wa Tanzania, Dk. John Magufuli anasifika kwa kuchukua maamuzi magumu, kukemea, kufuatilia na kuwaondoa viongozi akiutendaji au namna yoyote ile katika serikali tangu alipoingia madarakani mwaka 2015. Wapo viongozi wengi waliokumbana na makali ya Magufuli. Kuanzia mawaziri, wakuu wa mikoa...
Top Bottom