Search results

 1. Education Mentor

  Msaada wa jinsi ya kusamehe na kuachilia

  https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1439853/
 2. Education Mentor

  Saikolojia: Fahamu Ugonjwa wa Bipolar Disorder (Kanye West)

  Habari wasomaji wangu, wa makala za jifunze saikolojia. Basi leo nimeleta somo kuhusu ugonjwa wa saikolojia unaofahamika kama Bipolar Disorder. Pengine wengi wetu neno ili au msamiati huu ni mpya kabisa kuusikia au wengi waliousikia lakini hawakuweza ingia kujifunza kuelewa Bipolar ndio ukoje...
 3. Education Mentor

  Saikolojia: Fahamu tatizo sugu la wasiwasi (Anxiety disorder)

  ipo link hapo juu itakuunganisha usome sehemu ya pili....karibu Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 4. Education Mentor

  Saikolojia: Kushindana na wanaobeba Chuki

  cc : battawi , fyddell , CHAULA RICH , Changamka Mirlz B Matthew
 5. Education Mentor

  Saikolojia: Kushindana na wanaobeba Chuki

  SAIKOLOJIA: KUPAMBANA KUSHINDANA CHUKI Katika somo la leo najaribu kuangazia Saikolojia ya kuhusu chuki ambao katika Ulimwengu wa leo uliotaharuki kwa visasi na ukatili kutokana na tatizo hilo. Lakini kuhusu chuki si kwamba tu imekuwepo katika ulimwengu huu tu ni jambo ambalo limekuwepo kwa...
 6. Education Mentor

  Saikolojia: Fahamu tatizo sugu la wasiwasi (Sehemu ya pili)

  Saikolojia: Fahamu tatizo sugu la wasiwasi (Sehemu ya pili.) Baada ya kujifunza somo hili kuhusu wasiwasi sugu (Anxiety Disorder) katika sehemu ya kwanza basi leo tumalizie sehemu ya pili ya muendelezo wake na sehemu ya Mwisho. Katika sehemu ya kwanza tuliangalia Tafsiri ya Anxiety...
 7. Education Mentor

  Saikolojia: Fahamu tatizo sugu la wasiwasi (Anxiety disorder)

  kuwa na Hofu ni kawaida mfano Hofu ya Mungu tunasema ni normal lakini Woga wa Mungu ni abnormal Machale huambatana au kubeba tahadhari katika tendo au uamuzi na sio uoga au kuogopa Wasiwasi soma nimeelezea vizuri ktk tafsiri na mifano yake ila unapoendelea ndio huzaa woga ni misamiati...
 8. Education Mentor

  Saikolojia: Fahamu tatizo sugu la wasiwasi (Anxiety disorder)

  Ni tofauti ingawa Anxiety pia inaweza changia kuzaliwa kwa depression
 9. Education Mentor

  Saikolojia: Fahamu tatizo sugu la wasiwasi (Anxiety disorder)

  Usijali mkuu sehemu ya pili ntagusia hilo
 10. Education Mentor

  Saikolojia: Fahamu tatizo sugu la wasiwasi (Anxiety disorder)

  Saikolojia: Fahamu tatizo sugu la wasiwasi (Anxiety disorder). Imenisukuma wakati huu kuandika kwa ajili ya makala hii kuhusiana na somo la Hofu au uoga kupitiliza na wasiwasi kutokana tatizo hili limekuwa halisikiki lakini lipo kila itwapo leo katika jamii zetu na wapo wengi baadhu yetu...
 11. Education Mentor

  Nimetengeneza game nakuliweka Play Store

  Graph yupo sahihi....... Sent using Jamii Forums mobile app
 12. Education Mentor

  Ni nini hasa itapelekea mwanaume uliyenaye akupe heshima ya ndoa?

  Heshima na upendo unayonionesha na mazingira yatayonifanya nikakuamini basi.....hapo wanaume hatuna ujanja Sent using Jamii Forums mobile app
 13. Education Mentor

  Mke kumshonea mume wake mashati ya vitenge

  i.Upendo ii.Utambulisho mahusiano (He is mine, She is Mine) Sent using Jamii Forums mobile app
Top Bottom