Search results

 1. Money Penny

  Je, Tendo la ndoa haliwezi kufanyika mpaka umeme uwake?

  Jana nilitoka out bwana nikiwa out basi wakaja akina mama wamejitoa out wana vikoba (nadhani pesa ilikuwa imepatikana wakaamua kujirusha) katika kuongea ongea kwao mara umeme ukazima Mama mmoja wa kwenye hicho kikundi bwana acha alalamike; Mama mmoja: Yaani huu umeme wa TANESCO umeniboa sana...
 2. Money Penny

  Kwanini wanawake wengi kwenye ndoa wanaongoza kudanga siku hizi?

  So juzi TULIKUWA Juliana na marafkizangu wamenitoa Early Birthday .... Huwa sipendi kwenda Juliana maana Juliana ya skuhizi sio kama ya zamani, Ile ya zamani ilikuwa classy, cool, nice, skuhizi madanga Kila sehemu 9 Kumi, Juliana skuhizi kumejaa wake za watu, wanaojiuza sijui au wanadanga...
 3. Money Penny

  Kati ya penzi la mzee au penzi la kijana lipi limanoga zaidi?

  Jana nilikuwa airport napata huduma, katika kusubiria huduma kukawa na malumbano Kati ya binti mmoja na Mzee mmoja Mzee: akawa anamtania Huyo binti kuwa amuoe wawe wapenzi, atampatia Mapenzi ya Raha, kupetipeti aachane na vijana, vijana NI stress, amkubali atamlea binti kama Yai, tena Mimi NI...
 4. Money Penny

  Kuolewa imekuwa muujiza au bahati?

  Nipo hapa saloon nimemleta biharusi saloon anaolewa leo kama mjumbe wa kamati kuu 😂😂😂😂 Katika kupiga piga Stori na mwali hapa saloon naona Hadi huruma Money Penny: mkwe wangu, unapenda Mungu Akubariki na watoto wangap? Wa kike au wakiume? Biharusi: mmmh kwakweli hapo sijajua, maana skuhizi...
 5. Money Penny

  Mpenzi wangu kagoma kuzama chumvini kwasababu ya cheo chake kazini

  Mlalamikaji: Money Penny bwana huku kwenye ndoa yangu changa kuna shida mno Tumefunga harusi mwezi uliopita, Eti mume kagoma kuzama chumvini kwasababu yeye ana cheo kazini NI Boss kubwa mimi namwuliza kuzama chumvini na cheo kazini kinaingiliaje hataki kusema Money Penny: haya mambo kwanini...
 6. Money Penny

  Mpenzi wangu JAMES BOND, naumia Kwa kufa kwako, nilikupenda tangu utotoni

  Mara Paaap nafungua Instagram naambiwa James Bond Amekufa🙆 Uuuuwi jamaani kwanini umekufa weweee Mwanzilishi wa Sinema za James abond Duniani na Owner WA Copy Right ya James Bond Movies, Dead and Gone today😭 Pumzika Kwa amani ya Bwana na Mimi nitaendelea kukupenda kama Money Penny
 7. Money Penny

  Usiombe ukatolewa out na Mwanaume Mhasibu

  Jamani wahasibu wenzangu mnafeli wapi? Nipo na mrembo kawe Leo, mara akapita Kaka mmoja rafkiangu akasonya. Nikamwuliza shida nini, jibu nililojibiwa sikuamini Mrembo: huyu Kaka bwana alinitoa out weekend, nikaenda nae huko Kwa hotel, tumeongea vizuri, tumekuwa, tumekunywa, tumefurahi...
 8. Money Penny

  Swali la tendo la ndoa kwa Mchungaji kwenye mafundisho ya ndoa

  Shogangu anaolewa bwana, Leo ananihadhithia jinsi gani walivyoenda kwenye mafundisho ya ndoa halafu mchungaji akawa anazugazuga alipomwuliza swali na KUMFOKEA😂 Shogangu: mchungaji samahani, maana tangu mafundisho yalipoanza na leo tunamaliza, na kila kitu unasema ni dhambi tukiwa kwenye kufanya...
 9. Money Penny

  Bao kwenye tendo la ndoa sasa kulipiwa

  Leo nimeskia kituko cha ajabu Sana kimenifanya niandike huku Nipo zangu oysterbay na Marafiki tuna chill kwenye kijiwe chetu, mara rafkiangu akapigiwa simu na Huyo bwanake tusiemjua😓 Walipomaliza kuzozana kwenye simu, nikamwuliza shida iko wapi, akasema Huyo bwana alimpigia NI mume WA MTU, na...
 10. Money Penny

  Money Penny Mpenzi, naomba namba yako ya simu

  To be honest nimemiss Sana JF na kuandika HADITHI Kwa website yangu na Kuongea YouTube, tulieni Wana ngoja upepo upite nitarudi Novemba NIMEKUWA buzy mweeee, Hadi utanihurumia💃 Anywho naskia mabaharia huku mnalalamika natoa namba feki, kuna Faza anapokea simu na KUWAFOKEA 😂😂😂, poleni mweee...
 11. Money Penny

  Pipe kama Pipe, huwa haina huruma na kuremba

  Nipo na machalii yangu fulani hivi hapa tunaelekea ofisini. Moja ya mazungumzo NI Kwanini wanaume mnachepuka Chalii 1: Kama mke wa fulani yaani ni mzuri, anaupendo, ana huruma, mcheshi, mtanashati lakini sielewi kwanini mumewe ana chepuka tena live bila chenga Hadi huruma Chalii 2: Madogo...
 12. Money Penny

  Alichonifanya mume wangu baada kurudi toka safarini

  Money Penny: shoga vipi mbona shingo imejaa rangi nyekundu Nani kakung'ata?! "Shoga: mume uyo, kani-ng'atang'ata Jana alipotokea safari Karudi toka safari, sijaonana nae Miezi 6 tangu aondoke, kufika na kufika ananikumbatia mara aning'ate mara aniulize kama nimemmiss Nikamwambia nimemiss...
 13. Money Penny

  Mahari na Tendo la Ndoa vina uhusiano gani?!

  Money Penny me bado sijaelewa, kwani Mahari na Tendo la Ndoa vinaingiliana vipi?! Money Penny: kwanini?! Mdau: huyu bwana amenilipia mahari milion 8, lakini tangu tufunge ndoa NI kama ananilioiza mahari aliolipa Money Penny: analipizaje sijaelewa Mdau: huko kitandani ananifanya Kwa nguvu...
 14. Money Penny

  Ushawahi kufiwa na mpenzi wako wakati mnafanya Mapenzi?

  Nipo namsikiliza Mtu anasema kuwa wakati mnafanya Mapenzi, dyu dyu ukiingia kwenye sehemu za siri za mwanamke, na mambo yakakolea, wakati mwingine dyu dyu unazama inagoma kutoka kwahiyo ule mizunguko wa damu na presha na nini Mtu anaweza akafa Sa nimelala hapa, najaribu kupata picha ivi wakati...
 15. Money Penny

  Ushawahi kuwa na msichana mwenye sehemu za siri fupi?

  Tukiwa njiani tunatoka kazini na masela wangu, wakaanza kumtania mmoja WA masela wanamwuliza mbona umepoa Sana? Katika kumdadisi dadisi akafunguka kuwa alimpata demu mkali kwenye msiba, lakini hakumfurahia. Baada ya kumhoji kwanini, Msela akafunguka Msela: Yani nyie acheni Tu, kuna demu...
 16. Money Penny

  Penzi la Manka limenichanganya lakini namvumilia ingawa anasumbua Sana kwenye tendo

  Nipo na baalia wangu hapa tunapata vyombo Kwa baa ya Juliana🔥 Ananipa Stori kuwa amempata mrembo mmoja anaitwa Manka😂😂😂 Nikampongeza maana jamaa amekaa muda mrefu (Miaka 2) bila kuwa na demu maana alivurugwa Kilichonifanya afunguke Juu ya penzi la Manka ni vituko alivyokutana navyo wakati WA...
 17. Money Penny

  Mwanaume Bora anipige kwa 'dyudyu' kuliko ngumi

  Kama nilivyoandika ndivyo nilivyomaanisha Kusema kweli me naonaga Mapenzi ambayo hayajawekwa kwenye mtandao yanakuwaga ya kweli kuliko haya ya mitandao Pia hakuna wanawake wanaopata tabu sasa mjini (Bongo) kama ma-slay queen's👸 Wanaume wetu WA kitz hawajazoea saaana mitandao, unapomuweka...
 18. Money Penny

  Demu gani ni rahisi kumkamatia? Anayekunywa pombe au asiyekunywa pombe?

  Kama kawaida road trip yetu na vijana wangu, wakawa wanabishana wanasema hivi "Demu asiekunywa pombe sio rahisi kumtongoza, kumvua chupi na kumla. 🙆 Demu anaekunywa pombe ni rahisi sana kumvua chupi, kumla unavyotaka ukimpa chupa 3 za mnyama au konyagi ya 700 na nyama za kutosha" Sasa sijui...
 19. Money Penny

  Wanawake wanaoishi Sinza wana shida gani?

  Jana tukiwa kwenye foleni zetu za Dar kurudi nyumbani, mmoja ya mshikaji wangu akatuambia amepata mpenzi. Tukamfurahia na nini, tukamuuliza anaishi wapi, akasema anaishi SINZA🙄 Wenzangu 4 kwenye gari wakaanza kuwaka na kuguna "Dah! Mwanamke wa Sinza achana naye, hafai. Pale huna mwanamke" na...
Top Bottom