Search results

 1. A

  MUONGOZO WA KUNUNUA LAPTOP

  Habari za size naomba msaada wa computer nzuri bajeri yangu ni kati ya 400$ to 500$ kama used iwe good condition karibuni
 2. A

  Msaada ndugu zangu nataka kununua Laptop

  Habari za muda huu baada ya wezi kuniibia laptop yangu ambayo nilikuwa naitegemea kwa kazi zangu za online na ufundi wa simu muda mwingine. leo tena narudi kwenu kuomba ushauri wa laptop nzuri kwa bajeti ya kati ya USA $400 hadi 500$ kwa upande wangu mm napendaga sana laptop za HP na laptop za...
 3. A

  Naombeni msaada kwenye hili la Window 11

  Habari za muda huu. Baada ya pc health check kundolewa kutokana na mapungufu siku za nyuma hatimaye microsoft wame irudisha tena huku bado siku kadhaa tu ili window 11 itoke rasmi tarehe 2
 4. A

  Msaada wa kufanya T smart kuwa router

  Habari za muda huu naomba kujua jinsi ya kufanya Simu za T smart ziwe kama router ili nitumie kwa internet
 5. A

  Msaada note za Physics za O level

  Habari za muda huu na shida na notes za physcis za o level form 1 hadi form 4 ila na shida ya haraka zaidi notes za form 1 na form 2 nakama kuna past paper naomba.
 6. A

  Msaada number za Azam Media

  Habari nimefanya malipo siku ya pili leo kwenye dish la azam lakini channel hazionyeshi kama kuna mtu ananumber za azam namuomba ili niulize nini tatizo
 7. A

  Msaada wa jina la hii dawa

  Habari za muda huu ndugu zangu kuna dawa za malaria zenyewe zina kaa 3 unakunywa mara moja tu kama SP jina lake nimelisahau kiufasaha kabisa lakini nachokumbuka inaitwa kama “lasne” kama sijakosea box lake kwa nje kunapicha ya mbuu kama vile la SP
 8. A

  Msaada kati ya hivi kipi nijifunze na kwanini?

  Habari za muda huu ndugu zangu mimi ni mwanafunzi wa chuo na kwasasa chuo tumefunga kwa muda wa miezi kama miwili katika pita zangu nikakutana hizi mambo natamani nijifunze skills kama 3 au 4 kwa muda huu nilipo home ili nisikae bure. Ushauri naomba kati ya hizo kipi nianze kujifunza?
 9. A

  Nitapata wapi viatu vya namna hii?

  Mwenye kuja bei za hivi viatu na wapi na weza kuvipata kama unaweza hata number nipe
 10. A

  Simu yangu inakataa ku-update kwenda ios 14.7.1

  Habari za muda huu simu yangu inakataa kubonyezeka hayo maandishi ya kuupdate ili nipate ios ya 14.7.1 nimesha connect na WI-FI. halafu kingine hizo mb 900 naona kama ndogo maana mm naios ya 14.6 ili niende ya 14.7.1 hapo lazima kuwe na GB zaidi ya 2. Kuhusu kutumia itunes kuupdate maeneo...
 11. A

  Laptop yangu bios inasoma legacy na secure boot ipo unsupported

  Habari za muda huu leo nilikuwa najiuliza kwanini pc yangu haipate update ya window 11 ingali vigezo vyote vinavyo kama TPM 2 generation ya 8 RAM 8 na kila kitu sasa ikanibidi nichunguze zaidi nikaja kuona kumbe BIOS ni legacy na bios ni unsupport ningependa kuulize je kunauwezekana...
 12. A

  Msaada wa iphone xs max ya USA vs iphone xs max ya China

  Habari za muda huu ndugu zangu nilikuwa na shida moja ya kufahamu je kunatofauti gani kati ya iphone zinazo toka USA na hizi iphone kutoka nchi zingine?? Mfano mm nilikuwa nataka iphone ya XS MAX from USA(LL)256GB used. Muuzaji alinitajia bei ya 1.3M ila nilivyouliza iphone from china muuzaji...
 13. A

  Msaada wa ushauri kuhusu huyu mdogo wangu wa CBG

  Msaada na mdogo wangu amesomea CBG na matokeo yake ni kama ifuatavyo CHEM B BIOLOGY C GEO B BAM C GS B ILA FORM 4 ALIKUWA NA F YA MATH ILA ALIKUWA NA BIOLOGY B GEO C CHEM B NA MENGINE YOTE NI C KASO HILO MATH TU NDIO F NAOMBENI USHAURI WA COURSE NZURI KWA CBG ? Kwa upande wangu mimi nili...
 14. A

  Msaada wa kutengeneza HPI (History of presenting illness) kwa mtu mwenye kidonda

  Naombeni msaada wa kutengeneza HPI kwa mgonjwa mwenye kidonda/ anayevuja damu kama una mfano wa hiyo kesi naomba. Asante.
 15. A

  Msaada kuhusu window 11

  Habari za muda huu wana JF, ngoja niende kwenye maada baada ya leo hii kuwa na event ya window 11 nilizania wataachia leo hii official ili tutumie ila niliposikia kuwa. Mpaka mwakani 2022 mwanzoni ndio zitaanza kupatikana. Lakini kabla ya leo kulikuwa kuna window 11 ambayo ilikuwa leakage...
 16. A

  Samsung A 52 vs Samsung Note 9

  Mafundi wa hizi kazi nisike nikapigwa tena leo nimekuja mapema kuna Samsung A52 RAM 8 na Samsung note 9 ipi simu kali na kwanini??
 17. A

  Msaada wa joining instruction Iyunga Boys, Mbeya

  Naombeni msaada na shida na joining instruction shule ya iyunga mbeya kitado cha 5 kwa mwaka 2021/2022. Nimeingia tamisemi naona inagoma.
 18. A

  Msaada wa kuunganisha simu yenye vpn na pc kwa kutumia hotspot

  Habari za muda nipo sehemu ambayo internet speed yake ni tatzo ina soma 3G ambayo haina nguvu jana nilidownload VPN ingawa kwa shida nilivyo iwasha speed ya internet ikaongeza yaani hata YOUTUBE na weza ingia wakati zamani hata Whatsapp tu picha kudownload ilikuwa ni shida. Sasa nataka...
 19. A

  Naomba kujuzwa jina la hili game

  Mwenye kujua jina la hili game? Nakumbukaga nilichezaga zamani sana kwenye pc na kama una mage mengine ambayo latest ya mtindo huu naomba pia majina.
 20. A

  Samsung A51 vs Oppo reno Z

  Mafundi wa mambo kati ya samsung A51 na oppo reno Z ipi ni kali, nimepitia online naona oppo kama vile wanambeba hivi??
Top Bottom