Search results

 1. Tz_one

  Kozi Za Afya kwa Mwaka wa Masomo 2021/22

  Tunatangza Kozi za Afya kama hii picha inavyoelezea hapa chini..karibuni
 2. Tz_one

  Tanzania Tops EA in commitment to reduce inequality

  We are spending more than our neighbours kwenye education and health ... Plus other sectors
 3. Tz_one

  Kinyerezi 1 Extension Project (185Megawatts) Kukamilika mwaka Huu

  Wote tunatambua kwamba serikali ina mpango wa kuacha kutumia mafuta kuzalisha Umeme na kuanza kutumia Maji na Gesi asilia ...kama wewe ni mfwatiliaji mzuri basi utakuwa unajua mitambo ya umeme ya Kinyerezi ..mpka sasa iko Miwili amabyo ni Kinyerezi 1 (150Megawatts) Kinyerezi 2 (240 Megawatts)...
 4. Tz_one

  Dar es Salaam Na Zanzibar(Stone Town) .kuna uhaja wa serikali kujenga cruise ship terminal

  Cruise terminal ...ni jengo liliojengwa pembezoni mwa bahari lenye uwezo wa kuhudumia cruise ship..hizi cruise ship husafirisha sana watalii kutoka maeneo mbali mbali duniani ..na hutia nanga kwenye bandari mbali mbali na watalii hushuka na kwenda kutalii maeneo hayo kisha hurudi na kuendelea na...
 5. Tz_one

  Kenya Kwanini Njaa bado ni Tatizo..?..

  Msiseme hamna arable land ya kutosha ..mnayo ila mwepa capitalist individuals walime cash crops na avocados...hapa ndo unaona shida ya serikali kutomiliki ardhi ..full capitalism yan hamna huruma....kweli karne hii ni ya watu kufa na njaa ?mnaongoza ku export flowers,avocados,tea ...watu wa...
 6. Tz_one

  Tanzania Investment Centre (TIC), tafuteni Makampuni makubwa yaje kuwekeza Tanzania

  Ujenzi wa Reli unaendelea kwa kasi nzuri na pia Serikali imenunua ndege kwa ajili ya ATCL bila kuwa na wafanyakazi wengi na wenye kipato. Hii miundombinu haitatumika kwa ufanisi na kiwango chake, tuna Reli ya Tazara ambayo inauwezo mkubwa wa kusafirisha mizigo kwenda Zambia ila bado kiwango...
 7. Tz_one

  Tanzania Is More Developed Than Kenya ..Discuss

  World economic forum wamesema GDP sio njia sahihi ya kupima ukuaji wa uchumi ...ila Inclusive Wealth index ndo njia sahihi..na Tz ni ya 3 Africa kwenye ranking za most inclusive economy kwa mwaka 2017 na 2018 ..That means Tz is more developed Than Kenya ...Kenya ilishika nafasj ya 10 mwaka 2017...
 8. Tz_one

  What to do in your African towns and cities

  The purpose of this forum, is for you to show us activities to do ,when we have visited your african town or cities , mostly the places to visit for the purpose of resting(hotels,resort,) ,enjoying(clubs,parks,lounges) ,getting educated(cultural centre ,museums) and having fun, shopping (malls...
 9. Tz_one

  Jiunge na Msongola Health Training Institute

  Ni Chuo kilichopo Dar es Salaam Tanzania Kiko registered na NACTE Kimeanza mwaka jana na kina mazingira mazuri ,vifaa vizuri na vya kisasa, maji ,umeme, na walimu wa kutosha wa kuhudumia wanafuzi wote waliopo chuoni kuhakikisha wanapata elimu nzuri na sahihi ,kwa ajili ya kuhudumia Wa...
 10. Tz_one

  Kuna uhitaji wa exhibition hall kubwa Tanzania na pia indoor stadium na performance theatre

  1.Uhitaji wa Exhibition hall na Theatre Tanzania ni moja ya nchi zinazofanya vizuri kwenye swala la muziki yan bongo fleva na movie yan bongo movies ..sekta hii imeajiri vijana wengi na pia ni moja ya sehemu nzuri kwa ajili ya kutengeneza ajira kwa watu ..nchi kama south Africa kwa africa..inazo...
Top Bottom