Search results

 1. Dr.Chichi

  urgent: kwa wadada mnaoishi moshi

  Habari zenu jamani.kutokana na mambo ya kazi sijamuona mama watoto kwa kitu kama mwezi hv.sasa nipo moshi kwenye seminar na inaisha leo na ningependa kumnunulia zawadi ya chupi au lingerie lakini sijui wapi kwa kuanzia.naombeni anayejua duka zuri kwaajili ya hv vitu anijuze pamoja na mtaa ambao...
 2. Dr.Chichi

  kwanini muenjoy mjini tu?????

  maisha ya raha popote pale
 3. Dr.Chichi

  comrade ulimboka na pinda

  our hero
 4. Dr.Chichi

  tumethubutu,tumeweza na tunasonga mbele

  life goes on
 5. Dr.Chichi

  hali halisi

  hapa daktari amesha discharge zaidi ya nusu ya wodi na bado pana congestion.mnaosupport serikali unajisikiajemkeo,dada yako au rafiki yako akikaa kwenye mazingira haya?
 6. Dr.Chichi

  mheshimiwa pinda:ratiba yangu ya leo

  baada ya jana kutuonesha kweli umepinda na ukatumia vitisho kuturudisha kazini nimeona nikuelezee ratiba yangu ya leo. Nimeamka saa tatu kasorobo asubuhi nikakaa kwenye computer kuprint cv.by saa nne nilifika mwenge nikaenda uchochoro fulani kupata supu na chapati.nikapeleka cv kwenye private...
 7. Dr.Chichi

  Mgomo wa madaktari

  kwa wale wanaoptosha habari kuhusu mgomo wa madakitari either kwa makusudi au bila kuelewa kila hospitali tumeacha mtu wa kwaajili ya emergency cases.sisi sio wauaji,tunaelewa anayeumia ni mtanzania wa kawaida na kwa sasa tutajitahidi kadiri ya uwezo wetu kuokoa maisha ya wale wanaokua...
 8. Dr.Chichi

  Kweli mganga hajigangi

  Wanajf toka juzi naumwa malaria na pneumonia,ishu inakuja kwenye kutumia dawa.mimi huwa ni mkali sana sana kwa wagonjwa wangu kuhusu suala la dawa hata wakiniambia zinawashinda.sasa na miye nimeandikiwa madawa hayo hayo na kusema ukweli yanaudhi ile mbaya alafu ishu inakuja kwenye kuchoma...
 9. Dr.Chichi

  osama noma

Top Bottom