Search results

 1. Profee Essoree

  Semina elekezi online - decision making process and model

  Ndiyo maana ukaitwa Mtazamaji, ni kweli kaka upo sawa,ila fikiria ushauri wa Saharavoice!
 2. Profee Essoree

  Looking For WEBDESIGNER.

  kaka tupo kwa ajili ya solutions kama hizo,tembelea jigambe utapata contacts zetu,kuhusu experience humohumo angalia About Us then Our Team halafu utamaliza mwenyewe,tupo pamoja nawe kaka!
 3. Profee Essoree

  Nini Jigambe?

  Woyooooooo,kaka nimeipenda ipo poa!
 4. Profee Essoree

  Nini Jigambe?

  Silence means yes kaka,Mtazamaji amesomeka kwa advice yake thus y bado tunayafanyia kazi,mheshiwa Chief Lugina haina haja ya kuwakataa wanao bwana tunahitaji mawazo yako siunajua kaka bongo yenyewe tupo nyuma kwa mambo ya Tech. me ninauhakika humu kwa jukwaa la Tech. ndipo kwa kupata views...
 5. Profee Essoree

  Science kweli ni ngumu au hapa kwetu tu!!!

  Kaka ningesema watu wengi wanayakimbia ningemaanisha mimi si mTanzania,lakini hiyo lugha niliyotumia ni hekima kuonyesha najigamba kuwa mTz,upo kaka!
 6. Profee Essoree

  Science kweli ni ngumu au hapa kwetu tu!!!

  kaka wewe ni mmoja kati waloelewa nini kinatakiwa kizungumziwe,Hamy D bado hujafaham unachotakiwa ukifanye humu ndani,Ndetichia upo sawa kaka hiyo nayo sababu mojawapo,nimekupata Bujibuji tupo pamoja kaka!
 7. Profee Essoree

  Science kweli ni ngumu au hapa kwetu tu!!!

  Hili swala la watanzania wengi kukimbia masomo ya science inamaanisha wengi hatujiwezi kuyamudu ni magumu sana au ni mfumo wa Mitaala yetu ya Tanzania ndiyo inasababisha! Kwa hili kama mzalendo wa nchi unadhani nini kinasababisha wengi tuyakimbie!
 8. Profee Essoree

  Umeme na Kujiajili Kweli???

  Hivi hapa TanzaniaKwetu suala la kujiajili linaendana kweli na huu umeme wetu?
 9. Profee Essoree

  Habari Njema Wasomi!!!

  Jaribu kutembelea TanzaniaKwetu ujifunze mengi kutoka site zetu za bongo!
 10. Profee Essoree

  Bloggers, Advertisers na Publishers!

  Ebwana ipo system ya hapa TanzaniaKwetu kuwakutanisha Advertisers na Publishers pamoja bila manual work gonga hapa Jigambeads,na vilevile Bloggers na Advertisers gonga humu JigambeBlogs,jaribuni kupitia humo wadau!
 11. Profee Essoree

  Elimu yetu kwenye Internet itakuja wezekana???

  nizitoe wapi,me nataka nione idea toka bongo sio kila ki2 tunapaste!kama zipo we zimwage tu!
 12. Profee Essoree

  Wapi nitapata tovuti nyingi kwa ajili ya matangazo???

  nahitaji nifaham kama zitakuwa na nafasi au vp,naifaham jigambeads.com ila sijaipata vizuri,ww unaweza kunipa nyingine au unaifaham hii vizuri!
 13. Profee Essoree

  Wapi nitapata tovuti nyingi kwa ajili ya matangazo???

  Nahitaji kujua zaidi wapi nitakuta tovuti tofautitofauti za bongo ili nichague pa kuweka Tangazo langu!
 14. Profee Essoree

  Elimu yetu kwenye Internet itakuja wezekana???

  Hivi sisi kama wadau wa hapa TanzaniaKwetu suala la elimu kwa QT na Elimu ya juu,itafika siku kweli ikawezekana kuwa online?
 15. Profee Essoree

  Tovuti zetu bongo zinatusaidia nini?

  Hivi tovuti za hapa TanzaniaKwetu zinamsaada upande gani hasa kwa sisi watanzania! Ninyi wazalendo mnamchango gani?
 16. Profee Essoree

  Starehe kuliko kazi miyayusho!

  Me nahisi hapa TanzaniaKwetu kinachoturudisha nyuma ni starehe tu hakuna kingine! Hili wadau mnasemaje?
 17. Profee Essoree

  Nahitaji mawazo ya watanzania wenzangu!

  zingine unaweza kuzikuta ukitembelea TanzaniaKwetu,jaribu kutembelea na hiyo kwani zipo nyingi!
 18. Profee Essoree

  QT / Reseaters bongo Online.

  upo uwezekano wa kuintegrate system mbili pamoja ambapo hata wale wa vijijini wakatumia njia ya kawaida na informations zikaingia ndani ya net na waliotown ni option kutumia njia moja wapo,ingawa ni issue kubwa lkn ni endelevu,kwani mwana wa jamiiforum pamoja na hawa washikaji wa jigambeads...
 19. Profee Essoree

  Laptops bei poa,nahitaji wateja,nashindwa kuzitangaza!

  jaribu kufikiria kaka bongo ndogo hii km vp tunaweza kukutana tu!
 20. Profee Essoree

  Laptops bei poa,nahitaji wateja,nashindwa kuzitangaza!

  zipo nyingi kaka na bei zinatofautiana kutokana na aina na uwezo wetu watanzania,hata adroids zinapatikana we ni sms me nitakupa uhakika zaidi!
Top Bottom