Search results

 1. madindigwa

  Tunauza feni nzur za kuchage na umeme

  Tunauza feni za kuchage pia zinatumia umeme Zina redio USB bloototh ziko vr kwa matumizi ya yumbani na oficn zinakaa masaa6 bila kutumia umeme unaweza kuichage tupo kariakor mtaa wa msimbaz kwa mawasiliano piga no 071252520/0785970087 bei ni 75000/tuu
 2. madindigwa

  Uzi wa kuomba msamaha / kusameheana

  Wakuu habari zenu, binafsi mi mzima wa afya njema kabisa namshukuru Mungu, muumba wa mbingu na nchi. Imekua ni ngumu sana kwa sisi binaadam kuombana msamaha, au kusameheana,au kusamehe, pasipo kuomba msamaha. Msamaha unashinda sukari na maziwa kwa utamu. Wengine huthubutu hata kusema kuomba...
 3. madindigwa

  Azam TV acheni ubabaishaji

  Habari wanajamvi, hii inahusu TV yetu pendwa ya Azam Kuna tamthilia inayoendelea ya Victoria mmetuaminisha kwa matanzgazo mengi ni ya Kiswahili na sisi tukaamini hivyo. Tumelipia ili tusikie kwa lugha yetu pendwa ya Kiswahili hasa kwa sisi wengine wenye Kiingereza cha kuunga unga sasa imebaki...
 4. madindigwa

  Jamii forum AWARD

  Hebu tuchangie michango ya members wa humu jamvini mtaje member wako na sifa zake tuone nani mchindi (1) member maarufu kuliko wote (2)member mpenda sifa kuliko wote (3)member mchangiaji kuliko wote (4)member Mwenye hekima kuliko wote (5)member msumbufu kuliko wote (6)member Mwenye...
 5. madindigwa

  Uzi kwa wale tuliofilisika

  Kama kichwa cha habar kinavyo jieleza tufarijiane tupeane moyo naanza na mimi mwenyewe binafc ni kujana wa makamo ambae cjafikisha umri wa miaka 40 Nilikua na ofic kariakor kodi ml 1 kwa mwezi nilweza kumudu kuilipa nilikua na viwanja kadhaa magar mawili ya kutembelea Nilimiliki nyumba moja na...
 6. madindigwa

  Kwako Dr Mshindo Msola

  Habari ya muda huu mwenyekiti wetu mpendwa Leo kwa Mara ya kwanza tumeshuhudia team yetu ya Yanga imefungwa na team kutoka mkoani Baada ya miaka 7 kupita Huu si mwanzo mzuri kwako mwenyekiti nakupa habari kama hujalichukulia kwa Uzito suala la mgogoro la task force hali itakua mbaya saana...
 7. madindigwa

  Maskini simbaa

  Duh nawahurumia sana hawa jamaa cjui wataishije
 8. madindigwa

  Tetesi: ROSTAM AZIZI karibu Yanga afrika

  Hongeren sana wanachama wenzangu wa dar Yanga afrika kwa kumaliza uchaguzi salama na naunga mkono uteuzi wa mwenyekiti na makamu mwenyekiti, Yanga sasa ni imara kama chuma sasa ni wakati wa watu kama rostam azizi kuwekeza Yanga tunakukaribisa kwa moyo mkunjufu Na wengineo pia wenye nia njema na...
 9. madindigwa

  Kama wewe ni Muhenga kama mimi tupia msemo wowote wa zamani hapa

  Mfano :mambo vp dole halina ukucha Makalio :wowowo Shilingi tano :dala Acha niwaachie na wahenga wenzangu Sent using Jamii Forums mobile app
 10. madindigwa

  Kaka Masdi uliishi maisha ya maswahaba katika karne hii ya 21

  Ilikua siku ya alhamis yapata majira ya saa 4 za usiku wakati nimejipumzisha nyumbani baada ya mizunguko mingi ya kutafuta riziki, ndipo nilipopokea simu kutoka kwa jamaa yangu na ndugu wa karibu Alkm vipi hali yako, una habari yotote? Nikamjibu hapana ndipo akaniambia ndugu yetu kipenzi kaka...
 11. madindigwa

  Watanzania tunapenda sana misifa

  Haya matangazo ya kujipa matumaini mi sifa yataisha lini kwa hizi Team zetu za taifa na vilabu vya simba na yanga Jana naangalia azam tv mpaka Al manusura nivunje tv kwa upumbavu niliokua nauona kuipamba team yetu ya taifa.kwa Kweli inauzi sana namuona msaga sumu anawapa ma ujiko na...
 12. madindigwa

  Tabia mbaya

  Kulala bila kuoga ni tabia mbaya Kulala bila kupiga mswaki tabia mbaya Kuamka bila kuoga tabia mbaya Kuamka bila kupiga mswaki tabia mbaya Kwenda choo bila maji na kutumia toilet paper na maji yapo tabia mbaya Kufuga mikucha kama jini tabia mbaya Kuwega ma wigi kuchwan tabia mbaya Kuvaaa tyt...
 13. madindigwa

  Ukija kugundua utafanyaje

  Anakua mkeo au mpenz wako unaona hii kitu utafanyaje Sent using Jamii Forums mobile app
 14. madindigwa

  Wanawake sugueni makalio yenu yanasugu

  Habari wakuu hamjambo najua kwa wanaume yashawatokeeni saana unakuta mwanamke anabonge la mzigo akipia watu macho kodoo. Binafc kuna manzi nilimfukuzia kama mvua mbili ananizungusha tuu. Siku moja kajaa anga zangu nikasema leo nafaidi balaa basi bwana huku na huku huku na huku kavua dah, hayo...
 15. madindigwa

  UZI MAALUM.kwa wale tulotoka mikoani Kuja dar

  Nakumbuka ilikua mwaka 2004 tarehe 16 mwezi 4 ndio nilikua new arrived.katika hili jiji lenye kila Aina ya mambo, siku ya tarehe ya safari ukweli sikulala hata kidogo Kwa hofu ya kuchelewa usafiri.nililala usingizi wa mag'amug'amu na ndoto fupi fupi hasa kuhusu jiji dar ambalo binafsi nilikua...
 16. madindigwa

  Siipendi hii kauli; Sisi tulimpenda ila Mungu amempenda zaidi

  Ndugu zangu hii kauli ukweli huwa inanikera saana kama sio kuniudhi. Mungu anachukua walevi wachawi wazinifu wanafiki washirikina wote hao Mungu anakua amewapenda zaidi? Hata kama Mungu hakupendi utakufa tuu. Hii kauli hasa naona inatumiwa saana na ndugu zetu wakristo sasa nashindwa kuelewa ni...
 17. madindigwa

  Uliwahi kudanganywa na kumtumia msichana nauli halafu hakuja?

  Na hawakuja tukutane hapa. Ukweli inauma saana hawa wasichana wa fb nilikutana na mdada mmoja tu Kawa marafiki mwisho tukabadirishana mawasiliano ya simu. Basi bana kuchat na nini mwisho tukaanza kutongozana hatimae nikajiona mshindi baada ya kukubaliwa. Mtoto anakaa Arusha mie Dar huko na...
 18. madindigwa

  Wanaume tuwadanganye sana wanawake

  Binafsi naona hasa kwenye masuala ya mapenzi kua mkweli kwa kila kitu unaonekana huna maana.Mimi lazima nimdanganye mwanamke nishajifunza wewe akikuambia nataka simu hata kama huna uwezo wa kununua mwambie utapata. My dear nataka gari mwambie mwaka huu hauishi utapata, nataka Kiwanja mwambie...
 19. madindigwa

  Tulio wakimbia wapenzi wetu wakati bado tunawapenda tukutane hapa

  Habar wanajamvi nakumbuka kitambo kidogo niliwah kukutana na msichana mmoja mrembo saana maeneo ya kinondon.binafc nilivutiwa saana na urembo wake wa Ki mis sikusita kurusha ndoano na ikanasa.baasi bwana mdogo mdogo tukaanza chat za hapa na pale c unajua tena mambo ya mapenz nikaenda home kwao...
 20. madindigwa

  Ulishawahi kugomewa na 'dushe' wakati unataka kufanya mapenzi?

  Inakera na inahuzunisha sana nimejiandaa katikati ya gemu dushe limenigomea, aisee wakuu hii kitu mbaya sana mbaya zaidi shutuma zikaanza oh wewe huna mapenzi na mimi mtu chozi. Aisee hatari jamani basi bwana niliathirika kisaikolojiaa sana kama wiki hivi najiuliza kweli nitaweza ila dushe...
Top Bottom