Search results

 1. BINTI77

  Ni kweli usiposex mda mrefu unaumwa kiuno?????????

  Wadau naombeni msaada kwa hili,sielewi kama ni kweli usiposex mda mrefu kiuno kinasumbua au yanakuwa ni maradhi mengine tu,
 2. BINTI77

  Jinsi ya Kupata watoto Mapacha kwa njia ya kawaida

  Mabibi na mabwana natumaini hamjambo kabisa. Mwenzenu niko hapa nkwa heshima na taadhima nina hitaji msaada wa kitaalamu kutoka kwenu. Shida yangu kubwa ni kuwa nahitaji mnisaidie kama ipo njia ya kitaalamu nayoweza kutumia ili nipate watoto mapacha wa jinsia tofauti. Ninahitaji wala sifanyi...
 3. BINTI77

  Wanaume someni hii

  Lindi la wanaume kukataa watoto na wengine kuwatelekeza linazidi kuchukua chat,tatizo lenu nini hasa? Kama hujawa tayari si uache kuliko kutelekeza mama na mtoto? Inaumaaaaaaaaaaaaa.
 4. BINTI77

  Habari

  Hodi mabibi na mabwana,naombeni mnipokee jamvini kwenu.
Top Bottom