Search results

 1. Profee Essoree

  Science kweli ni ngumu au hapa kwetu tu!!!

  Hili swala la watanzania wengi kukimbia masomo ya science inamaanisha wengi hatujiwezi kuyamudu ni magumu sana au ni mfumo wa Mitaala yetu ya Tanzania ndiyo inasababisha! Kwa hili kama mzalendo wa nchi unadhani nini kinasababisha wengi tuyakimbie!
 2. Profee Essoree

  Umeme na Kujiajili Kweli???

  Hivi hapa TanzaniaKwetu suala la kujiajili linaendana kweli na huu umeme wetu?
 3. Profee Essoree

  Habari Njema Wasomi!!!

  Jaribu kutembelea TanzaniaKwetu ujifunze mengi kutoka site zetu za bongo!
 4. Profee Essoree

  Bloggers, Advertisers na Publishers!

  Ebwana ipo system ya hapa TanzaniaKwetu kuwakutanisha Advertisers na Publishers pamoja bila manual work gonga hapa Jigambeads,na vilevile Bloggers na Advertisers gonga humu JigambeBlogs,jaribuni kupitia humo wadau!
 5. Profee Essoree

  Wapi nitapata tovuti nyingi kwa ajili ya matangazo???

  Nahitaji kujua zaidi wapi nitakuta tovuti tofautitofauti za bongo ili nichague pa kuweka Tangazo langu!
 6. Profee Essoree

  Elimu yetu kwenye Internet itakuja wezekana???

  Hivi sisi kama wadau wa hapa TanzaniaKwetu suala la elimu kwa QT na Elimu ya juu,itafika siku kweli ikawezekana kuwa online?
 7. Profee Essoree

  Tovuti zetu bongo zinatusaidia nini?

  Hivi tovuti za hapa TanzaniaKwetu zinamsaada upande gani hasa kwa sisi watanzania! Ninyi wazalendo mnamchango gani?
 8. Profee Essoree

  Starehe kuliko kazi miyayusho!

  Me nahisi hapa TanzaniaKwetu kinachoturudisha nyuma ni starehe tu hakuna kingine! Hili wadau mnasemaje?
 9. Profee Essoree

  Laptops bei poa,nahitaji wateja,nashindwa kuzitangaza!

  hdd 250gb/ram 2gb ni intel R CORE TM i3 ni HP PROBOOK na zingine nyingi; napatikana temeke / tandika 0717525251!
 10. Profee Essoree

  Uchaguzi 2015 kwenye net,je itakuaje!

  Ninyi mnaonaje tukifanya uchaguzi ujao kwenye net!
 11. Profee Essoree

  QT / Reseaters bongo Online.

  Hivi kwa nn usingekuwepo utaratibu wa kureseat hz paper online hili hawa ndugu zetu wa Makazini wapunguziwe mzigo! me nahisi wabongo tukishirikiana inawezekana km jamiiforum, michuzi, jigambeads, zoomtz na wengine wengi jinsi walivyoumiza kichwa na kuturahisishia maisha watanzania wa .com
 12. Profee Essoree

  Naomba waTanzania wenzangu mnieleweshe.

  Hivi hapa TanzaniaKwetu hii jigambeads itaweza kutusaidia sisi wafanyabiashara wadogowadogo?
 13. Profee Essoree

  Tunajiachia sana kuliko kipato chetu

  Sometimes serikali siyo ya kuilaumu! Mtazamo wangu: wapo ambao kipato chao ni kidogo lakini wanataka makubwa, jigambeblogs.... Hili ninyi mnasemaje!
 14. Profee Essoree

  Laptops shule za bweni ni sawa?

  Jamani suala la kukataza simu au laptops shule za bweni linashusha au linakuza elimu yetu? Mtazamo wangu. Kutokana na teknolojia ya sasa na vitabu havipatikani mashuleni si sahihi vitu hivi kukatazwa kwani notes nyingi zipo online! Hili ninyi wazalendo mnasemaje!
Top Bottom