Search results

 1. Tz_one

  Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

  Najua hawajagusia..ila BRT phase 5 might have been discused
 2. Tz_one

  Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

  anha[emoji23][emoji23] .nmekupata mzee kweli ..ni swala muhimu hawakuzingatia
 3. Tz_one

  Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

  Jengo liko Arusha hilo kaka..nahisi umechanganya na Maji house la Ubungo ..cause yote ni 17flrs
 4. Tz_one

  Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

  Its astonishing that..Mafuta House ..Benjamin Mkapa towers is 3 to 4 blocks away ..and has 21 floors alfu cheki height yake
 5. Tz_one

  Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

  450Meters
 6. Tz_one

  Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

  Nyie tu mnakuja Dar more than 10 times a week ..bado mnaenea Zanzibar na KIA almost everyday
 7. Tz_one

  Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

  Safi boss..umeelezea vizuri..hata mm naona ni compnay ambayo tunaweza fanya code sharing..ili Dar iwe hub yao ..so stop ya kwanza Africa inakuwa Dar ..then hapo Tuna supply ..au ikiwezekana tunawafta abudhabi ..ni wazo zuri kaka
 8. Tz_one

  Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

  Good idea..we need ICT intergration kuanzia primary school.....so we need change of syllabus ...pia we need zonal schools ziwe na sport academies kwenye zonal najua hio plan ipo
 9. Tz_one

  Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

  Elewaneni kirahisi UAE kuna Dubai na Abu dhabi . Etihad hub iko Abudhabi Emitates na Flydubai hub iko Dubai watu wengi hupitia Dubai kuliko Abudhabi Ethihad alikuwa na route ya abudhabi to Dar ..ila ameikatisha because it was not profitable .. Anashindana na Emirates na Flydubai ... So kama...
 10. Tz_one

  Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

  yeah good long term vision to serve Burundi, Congo , Rwanda..they better put it at kigoma
 11. Tz_one

  Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

  Plan ni kujenga Kigoma or Tabora there is a need thats a big zone
 12. Tz_one

  Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

  We are going to witness a rapid boost on social services which is crucial to the real development ..inayogusa wanachi wengi kwa Mpigo...Magu Alianzisha kwa majengo..the equipments are now following ..plus majengo mengine mengi kama EMDs na ICU
 13. Tz_one

  Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

  Tukiweza kupita hapa ..i hope tutapata timu rahisi..ikishindikana basi
 14. Tz_one

  Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

  Tumkanyage Congo sasa
 15. Tz_one

  Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

  Mkopo kutoka IMF Summary Tz inaenda kubadilika on social services Water New wells dams and water systems ..nmesahau specs..Magari ya kuchimbia visima na mabwawa Eduaction New 15000 Secondary Schools class rooms New 3700 primary school classrooms 25 New VETA 17 if not mistaken lecture...
 16. Tz_one

  Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

  Summary ya vitu nilivyoskia kwenye hotuba Transport Ujenzi wa meli nne na ukarabati wa moja mpya utaendelea mkataba ulishakuwa signed 2 lake victoria, 2 tanganyika ,1 indian ocean Hajagusia SgR phase 3 au 4 ..phase nyingne zinaendelea Msalato Int Airport soon Renovation of Mtwara, Iringa...
 17. Tz_one

  Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

  Amesema ila sio Dar ni Dodoma to Arusha Njia nne Dodoma to Singida njia nne Dodoma To Moro Njia nne Dodoma to Iringa njia nne its is a planned project
 18. Tz_one

  Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

  Dreamliner ni Boeing pia..sasa anamanisha boeing ipi...? ya mzigo yenyewe ni Boeing 767 freighter ..labda tupitie budget au tusubir ijayo
 19. Tz_one

  Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

  Nyie mnapiga nn ? hampigi loss?
 20. Tz_one

  Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

  Cheki hapo
Top Bottom