Search results

 1. Rayz of Diamond

  Kocha saintfiet huyooooo yemen...

  Aliyekuwa Kocha wa Yanga Tom Saintfiet amekuwa Kocha mpya wa Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu YEMEN.. Source: Super Sports
 2. Rayz of Diamond

  Ujumbe wa antivirus katika wimbo mpya wa tmk 'kichwa kinauma...'

  Kwa wale ambao mmeshasikiliza Wimbo mpya wa TMK unaoitwa KICHWA KINAUMA msikilizeni virusi Chegge Mashairi yake yanaendana na kilio cha VINEGA....ingawa sidhani kama Chegge yupo kwenye movement ya VINEGA lakini mistari yake inasema hivi: "...Kichwa kinauma, kila nikijituma badala ya kwenda...
 3. Rayz of Diamond

  Profesa mwandosya akana kufa....

  Nimefuatilia MAHOJIANO LIVE RADIO 1/ITV NA MWANDOSYA mda si mrefu walikuwa wanaongea nae (Profesa Mark Mwandosya) kwa njia ya Simu anasema anaendelea vizuri tofauti na hali aliyokuwa nayo wakati anapelekwa huko India na bado yupo Hospitali....anaamini atarudi nyumbani TZ mda si...
Top Bottom