Search results

 1. Kweli

  Tafadhali jihadhari na tapeli huyu wa Instagram!

  Kuna matapeli maarufu kwenye mtandao wa Instagram, hii account yenye jina la zanzibar_electronics_og ni matapeli ambao ukiangalia utadhani ni wafanyabiashara wakubwa kulingana na followers. Lakini hawa ni matapeli ambao hawana duka physically na wala hawana bidhaa yoyote, wanawaibia watu kwa...
 2. Kweli

  Nauza compressor maalum ya kutumika kwa Dentist au Maabara.(Lab)

  Ninauza compressor used ila haijatumika sana hii ni maalum kwa matumizi ya Maabara na kwa madaktari wa meno, Aina JUN-AIR Model: OF1202 - 40BD, bei ni Millioni 1, hii compressor bei yake iliponunuliwa ni millioni 10 na imetumika masaa machache tu. Naambatanisha picha, nipigie 0715263396 au DM...
 3. Kweli

  HTC one M7 boxed original 32GB, Unlocked

  Nauza simu yangu HTC one M7 unlocked, imetumika kama miezi 4 iko katika hali nzuri sana screen protector, haina mchubuko. Ipo kwenye cover ya aina ya otter. Bei laki tatu na nusu. Niko Dar. 0672156295, Karibuni.
 4. Kweli

  Huswei Ascend Y330 unlocked

  For sale inauzws Huawei ascend y330 ni used imetumika wiki 2 tu UK. ni kama mpya haina michubuko ni simu na chaji tu bei Lakini moja 100.000tshs niko posta Dar. Nipigie 0672156295 Ahsante.
 5. Kweli

  Kwa wale wanaohitaji kununua electronics from Ebay and Amazon UK ?

  Wanajamii kwa wale wanaohitaji hii huduma wafuate uzi huu. https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-biashara-na-uchumi/829723-not-a-member-and-need-to-buy-electronics-from-ebay-and-amazon-uk.html#post12333288
 6. Kweli

  Not a member and need to buy electronics from eBay and Amazon UK?

  Forum Members, I am willing to help members who want to buy electronics i.e, Smartphones, Tablets, laptops, netbooks, cameras, camcorders and other gadgets including chargers, LCD screen, adaptor etc, from Ebay and Amazon but for one reason or another are prevented from doing so. I have been a...
 7. Kweli

  Boxed Huawei Y330 Unlocked from UK 100.000 Tshs.

  Huawei y330 ni unlocked iko ndani ya box kamili ni manufacture refubished means ipo kama mpya haina mikwaruzo Quick sale laki moja. Nipo maeneo ya kariakoo. 0715510505.
 8. Kweli

  Natafuta 4G unlocked modem niko Dar!

  Nahitaji modem asubuhi hii fasta iliyokuwa unlocked aina ya Huawei au yoyote yenye speed. Niko maeneo ya lumumba kariakoo. 0715510505.
 9. Kweli

  Print on demand, screen printers and heat tranfers vendors

  Wakubwa mimi ni mjasiriamali mdogo nafanya biashara yangu ya kutengeneza tisheti na kuuza mtandaoni, kwa sasa niko nje na nilikuwa na mpangp wa kurudi na kuendesha biashara yangu nyumbani, nimehangaika kutafuta printers wa mifumo hii mitatu direct to garment, screen printer na watengenezaji wa...
 10. Kweli

  Msaada: natafuta room for 1 month only Mombasa

  Wanajamii, Nina mdogo wangu wa kike yupo Mombasa kwa kozi ya mwezi mmoja ninamtafutia chumba cha kupangisha maeneo ya mjini Mombasa ama umbali usiozidi maili 4 na mjini, sehemu iwe ni ya utulivu ni vizuri zaidi ikiwa ni ya kushare na wanafunzi. Uwezo wa kulipa hadi 1000Kshs kwa siku ama...
 11. Kweli

  Smartphones quick sale!!!

  Androids Smartphones zinauzwa, zimetumika kidogo. 1.HTC Wildfire s bei Tzshs. 200.000. 2. HTC Wildfire bei ni Tzshs. 180.000 3. Orange San Fransisco bei Tzshs. 180.000. Simu zote ziko katika hali nzuri sana. Nipo Dar maeneo ya mtaa wa Jamhuri, karibu na Bilicanas. tuma sms ama nipigie kwenye...
 12. Kweli

  Nokia, Samsung, HTC for sale

  Ninauza simu smartphones, zipo 3 1.HTC tattoo bei 130.000 Tshs. 2. samsung galaxy mini (GT-S5570) bei 150.000 Tshs. 3.Nokia Xpress 5230 bei 120.000 Tshs. Simu zote zimetumika (UK) lakini zinapiga kazi bila ya matatizo yoyote, napatikana Dar 0714106262. Thanks.
 13. Kweli

  Kweku Adoboli - Mtuhumiwa wa upotevu wa dola bilioni 2

  ZURICH—UBS AG was rocked early Thursday by its disclosure that a rogue trader racked up about $2 billion in losses, an announcement that came hours after British police arrested a man on suspicion of fraud. A person familiar with the matter said the man arrested is Kweku Adoboli, a London-based...
 14. Kweli

  Watoto wetu wanasoma kweli?

  Let's start with the good news. If you are a final year (St 7) Primary School student in Bukoba Urban, with parents who completed secondary education and who are not very poor, you went to pre-school and your family speaks Swahili at home, then you have a 95% chance of being able to completed...
 15. Kweli

  Ms Serena Williams - New ball please!

  Game Ms. Williams - Ms Williams is now leading by 2 Sets.............
 16. Kweli

  Bow Wow kwa kafunuka ana mtoto ila grammar dah!!

  Dogo Shad Moss aka Bow wow ameanika kwenye website yake habari njema kwamba ana binti wa miaka 3, huyu dogo born and bred Unyamwezini na alikuwa na private tutor anayemsomesha tangia ana umri wa miaka 7, nimeshangaa kuona muandiko wake ndio huu, naona Kanumba wetu kumbe ana afadhali sana.
 17. Kweli

  google + invite

  Wakuu jamvini naomba yoyote aliyebahatika kupewa invite na kutumia google + anipe invitation na mimi. Tafadhali ni-pm nitakupatia email yangu.
 18. Kweli

  Baba Yo Yoo akiwapagawisha mabinti Mzalendo Pub!

  Hii ndio ile mutu ya Kenya? Mmasai apagawishwa na vimwana - Global Publishers
 19. Kweli

  Chinese cheap goods - End is near!

  Kuna huyu bwana Bruce Rockowitz. ni exporter mzuri wa biashara za ubwete za Mchina, yeye ameashiria kumalizia hii biashara ubwete kutokana na mabadiliko ya kimaisha kusini mwa China, sehemu ambayo asilimia kubwa ya hizi bidhaa zinatengenezwa. Sababu alizosema ni pamoja na uzalishaji kuwa...
 20. Kweli

  Umechoka kutumwa, ujasiriamali unautaka lakini bado Muoga? Ushauri ....

  Linapokuja suala la kuingia kwenye Ujasiriamali wengi wetu tuna kawoga na hatupendi kujaribu lakini jee usipojaribu utawezaje? Wengine wetu bado tuna mindset ya kuajiriwa, wako tunaosubiri wakati muafaka na biashara ya uhakika, wengine tunaogopa kufilisika na majanga mengine. Kwaufupi tume-base...
Top Bottom