Search results

 1. chaUkucha

  Naomba kujuzwa dawa ya jino bila kun'goa

  Nasumbuliwa na jino linauma balaa sitaki kulin'goa maana mapengo niliyonayo yanatosha, alafu Kuna mtu kanitisha kaniambia ukienda kun'goa jino umri huu 30+ unaweza kupata shida kwenye macho. Kama Kuna mtu anajua dawa ya jino anisaidie jana sijalalaa, nikila chakula cha moto maumivu maji ya...
 2. chaUkucha

  Maajabu ya mdudu Mende

  1) Mende anaweza kuishi kwa wiki nzima bila ya kuwa na kichwa 2) Mende anaweza akazuia pumzi zake kwa dakika 40 bila ya kufa 3) Mende anaweza kutembea zaidi ya maili 3 ndani ya saa moja 4) Ina aminika kuwa Mende alikuwepo tokea miaka milion 280 iliyopita 5) Kuna zaidi ya aina 4,000 za mende...
 3. chaUkucha

  Usishangae sana kashangae kwa mpalange

  Haya maneno yanatamkwa sana na watoto wa mjini siku hizi. Zamani ilikuwa ukimuona wakuja anashangaa shangaa wenyeji au wazawa walikuwa wanasema acha kushangaa wewe mbwiga kashangae feri shilingi inazama lakini meli haizami. Siku hizi mambo yamebadilika sio feri tena kwenye maajabu! Maajabu...
 4. chaUkucha

  Hiki ndo chanzo cha kijana kufa masikini

  VIJANA WA KIUME 1. Yuko tayari kubishana na hata kupigana kisa Simba na Yanga 2. Yuko tayari kubishana na kupigana hata kisa Daimond na Alikiba 3. Yuko tayari kulala njaa aende kwenye fiesta akaambiwe uko tayari, nyoosha mikono juu, mara kushoto kulia etc. 4. Yuko tayari kumuomba mtu hela ya...
 5. chaUkucha

  Kwanini machozi yana ladha ya chumvi?

  Ukiona mtu mzima analia ujue kuna jambo! Kila mtu humu amewahi kulia awe mtoto, kijana au mzee. Mimi sijalia muda mrefu sana, ila nakumbuka mara ya mwisho nililia sana mpaka machozi yakaingia mdomoni nikaonja ladha ya chumvi chumvi. Machozi ya furaha au ya huzuni kwanini yawe na ladha ya...
 6. chaUkucha

  Gas ipi inayotumika kugandishia kwenye friji?

  Ni aina gani ya gas inayotumika kugandisha vitu kwenye friji? Je ni hii tunayotumia majumbani? Najua humu kuna wataalamu wa kila aina watuelezee tusiojua. Nawakilisha.
 7. chaUkucha

  Hamisa Mobetto si Faith Evans

  Faith Evans alikuwa mke wa rapa Notorious BIG ambaye alitambulika kuwa hasimu wa Tupac Shakur. Hamisa Mobetto alikuwa mpenzi na aliishi kinyumba na Diamond Platnumz ambaye inafahamika ni hasimu wa Alikiba. Faith katika ndoa yake na BIG amepata mtoto mmoja, C J Wallace. Hamisa katika mapenzi...
 8. chaUkucha

  Kusalimiana kwa kushikana mikono

  Mimi saiv sitaki kabisa kusalimiana na mtu alafu anishike mkono hasa nisiyemjua watu sio wema, akinipa mkono wake narudisha wangu nyuma! Sent using Jamii Forums mobile app
 9. chaUkucha

  Yajue maswali magumu duniani

  1. Ni mnyama gani anayeweza kunya msumari? Jibu: Mamba 2. Binadamu ana jumla ya nywele ngapi kichwani? Jibu: 100,000 hadi 150,000 3. Ni mnyama gani ana damu ya blue? Jibu: Pweza 4. Mnyama gani anataga yai na kutoa maziwa? Jibu: Kinyamadege (playpus) 5. Rangi gani inamfanya nyoka kukasirika...
 10. chaUkucha

  Baba mama na mtoto (BMW)

  Baba mama na mtoto wao wamelala ghafla usiku Mtoto: mama nataka nikakojoe Mama: chukua tochi ukakojoe Mtoto akanyoosha mkono anatafuta tochi kumbe baba kalala uchi mtoto akashika naniihino ya baba yake akidhani tochi. Baba (kwa upole) wacha hio hainaga betri. Sent using Jamii Forums mobile app
 11. chaUkucha

  Speed ya internet huku Mbeya ni nzuri tofauti na Dar es Salaam

  Dar internet ya TTCL inakata kata sana na speed yake ni ndogo sana kwanini? Lakini huku Mbeya nimekuja jana lakini nimeona tofauti kubwa ya speed ya internet ukilinganisha na Dar hii ina maana gani huku Mbeya kuna nini? Sent using Jamii Forums mobile app
 12. chaUkucha

  Nauza friji

  Friji used aina ya Samsung linauzwa Linagandisha Bei 350,000 Ilala 0762 854563 Sent using Jamii Forums mobile app
 13. chaUkucha

  Popcorn machine inauzwa

  Mobile gas popcorn machine for sale Kunduchi Bei ni 500,000 0762 854563 Sent using Jamii Forums mobile app
 14. chaUkucha

  Nauza kitanda cha mtoto na vifaa vinginevyo

  Kitanda cha mtoto, stand ya kuwekea viatu ya chuma na kin'gamuzi cha startimes Kitanda cha mtoto ni kipya bei ni 250,000 Stand ya kuwekea viatu ni kubwa unaweza hata kuitumia kibiashara bei ni 50, 000 Kin'gamuzi cha star times ni kipya kina wire wake meter 10 na antenna yake na kimelipiwa mpaka...
 15. chaUkucha

  Stendi ya viatu inauzwa

  Stendi ya viatu ya chuma inauzwa Ni kubwa sana. Bei ni 70,000/= Dar, kunduchi Sent using Jamii Forums mobile app
 16. chaUkucha

  Nauza popcorn machine

  Popcorn machine naiuza mpya kabisa na box lake Inatumia umeme. Bei ni 300,000 Maongezi yapo kwa mnunuzi aliye serious 0755 472763
 17. chaUkucha

  Mtaji kiasi gani utatosha kuanzisha kampuni ya ulinzi?

  Nina mpango wa kuanzisha kampuni ya ulinzi taratibu zote nazijua isipokuwa nataka nijue natakiwa kuwa na pesa ngapi kama mtaji ili lengo langu litimie? Karibuni wadau wakati ndo huu.
 18. chaUkucha

  Biashara ya kununua na kuuza screpa

  Biashara ya kununua na kuuza screpa Wewe unakaa tu oficini vijana wanakuletea machuma chuma unawapa hela yakijaa unapeleka kiwandani na wewe unapewa hela mwenye uzoefu na hii biashara tubadilishane mawazo
 19. chaUkucha

  Chura

 20. chaUkucha

  Je hawa watu wamefanana?

Top Bottom