Search results

 1. HELA

  Kama Yanga SC ingeshinda leo Watangazaji na Wachambuzi walipanga kusema haya Kesho ila kwakuwa imefungwa watasema hivi..

  Yusuph Mkule na Paul Mkai Wasafi FM hawa jamaa ni wanazi wa Yanga hata wenyewe wanajijua
 2. HELA

  Picha ya wachezaji wakubwa huko south africa wanaoomba kujiunga yanga sc

  Hahahahaa Tff ndiyo wabaya wetu. Karia atoke hahaha
 3. HELA

  Youtubers tukutane hapa

  Nimeshakucheki
 4. HELA

  Youtubers tukutane hapa

  Changa sana hii mkuu
 5. HELA

  Youtubers tukutane hapa

  Mkuu natafuta channel ya kununua yenye Subscribers wengi
 6. HELA

  Morrison kupewa ushindi,wachambuzi maandazi leo limewashuka

  Hata washabiki wa yanga hawawezi kuwasema chochote GSM waliowaingiza chaka. hata ishu za Laliga kuna chenga nyingi sana.
 7. HELA

  Kamala Harris ndiye mgombea mwenza wa Joe Biden

  Ana approval rate kubwa sana kwenye chama chake cha republican
 8. HELA

  Kamala Harris ndiye mgombea mwenza wa Joe Biden

  Kuna watu wapo nyuma yake.tena wengi tu
 9. HELA

  Kamala Harris ndiye mgombea mwenza wa Joe Biden

  Huyu mama alishindwa kampeni za urais, alishindwa ku connect na black community ..... Biden baada ya kuokolewa na black community kwenye primary - black community imekuea iki demand more .... wanamuendesha sana babu mara watake achague supreme court judge mweusi kama nafasi ikitokea, mara AG...
 10. HELA

  TFF ndiyo imekwama hapa sakata la Morrison?

  Kwa kuangalia tarehe, taarifa ya yanga ni uongo. email hiyo inahitaji majibu na action
 11. HELA

  Naona 99.9% Yanga anashinda dhidi ya Morrison

  GSM wanaivuruga sana Yanga. hawajashtuka tu na mapicha picha yao
 12. HELA

  Ukiona wachambuzi maandazi kwenye page zao wamenyamaza ujue Yanga wana hali ngumu

  Kuna ukweli sana. media za bongo zinaibeba sana yanga na kuwaogopa GSM wanaivuruga yanga
 13. HELA

  Simba kwahili tumefanya uzembe

  Timu hizi zinaendeshwa kiujanja ujanja sana,ujuaji mwingiii kumbe hamna kitu.huko kwenyenyewe amekwenda kusaini mkataba wa ujanja ujanja tu
 14. HELA

  "Ni yeye 2020" Ni slogan mbovu kwa CHADEMA kuelekea Uchaguzi

  Nimekuelewa sana. Sema ile ya #NguvuYaUmma waliipatia sana
 15. HELA

  Wanawake wazuri wote tumeumbiwa sisi wanaume, kwanini ujifunge na kwenda kuoa mwanamke mbaya?

  Kuna wanawake wazuri yani wameumbika yani yani akipita watu asilimia 90 wanakubali kweli mwanamke ni kisu, hawa wanaume wengi tunaogopa kuoa kuogopa preshaa ila tunajipa ile 'nikipata hela nitawatafuna sana wanawake wa hivyo' Wengi wanajikuta waona wanawake wa kawaida, hawa hawashtui kabisa...
 16. HELA

  Wachaga watabaki kuwa wake bora daima...

  Hivi ni kweli kuwa wajane wengi pia ni wanawake wa kichaga? yani waume zao wameshantangulia mbele za haki?
 17. HELA

  Muwekezaji/mshirika anahitajika

  Asante nimeongeza maelezo zaidi hapo juu
 18. HELA

  Muwekezaji/mshirika anahitajika

  Salamu wakuu, Muwekezaji au mshirika anahitajika kwenye biashara ya televisheni mtandaoni kwenye jukwaa la YouTube. Kituo kipo tayari chenye watazamaji zaidi ya laki moja na nusu waliojiandikisha. Kinachohitajika 1. Uzalishaji wa maudhui -Vifaa na nguvu kazi 2. Leseni ya Mamlaka ya mawasiliano...
Top Bottom