Search results

 1. DULLAH B.

  Tecno j7 inakubali line ya 4G?

  Habari ndugu zangu. Nina kacmu ka tecno j7 je ninaweza kuweka line ya 4G. Huku nilipo tigo wameleta line za 4G na wanabadilisha au kuuza kwa Tsh 2000. Naogopa kupata hasara ya pesa kwa kununua line ya 4g ndo maana nawauliza ndugu. Nawatakia weekend njema.
 2. DULLAH B.

  Orodha majina ya vijana wa kidato cha sita na nne waliochaguliwa kijiunga na jeshi la polisi

  mia ya nn? kama umeamua kusaidia watu yamwage hapa.
 3. DULLAH B.

  Kulikoni geita d.c.

  halmashauri zingine wamewalipa wasimamizi wa mitihani ya form four walimu na askari. ktk mkoa wa geita baadhi ya halmashauri wamewalipa kama geita mji but geita dc mna matatizo. mtafanya walimu waje wauze mtihani wana matatizo mengi ninyi mwachelewesha malipo yao. embu acheni ukiritimba geita dc...
 4. DULLAH B.

  Mwigulu Nchemba

  Kwa nn huynu jamaa anapenda kuvaa bendera ya nchi anapokutana na mass? Mfano leo naangalia sherehe za kuzaliwa ccm on tbc1 amevaa bendera kama kawaida yake. Mm cmuelewi anaamanisha nn?
 5. DULLAH B.

  RE: MH. Mnyika ana akili za kutosha?

  Jaman mh. Mnyika ametaka leo walimu waliogoma wachukuliwe hatua. Ametamka mjengoni alipokua anachangia bajeti ya wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi.Hivi kweli ana akili za kutosha? My take: naona hana huruma na walimu waliojaa matatizo lukuki. Naomba awaombe radhi walimu la cvyo wale...
 6. DULLAH B.

  Mabenk ya Geita kulikoni?

  Mm nimeajiriwa mkoa mpya Geita pale DED kama Mwalimu. Nikataka kufungua akaunt ya mshahara NMB wakadai wanawateja wengi nibahatishe kungine ndipo nika submitt akaunt yangu ya CRDB. Tatizo linakuja kwamba wafanyakazi wa DED salary yao inayopitia NMB inawahi lkn waliopo nje ya NMB I mean CRDB au...
 7. DULLAH B.

  mchumba mpya

  jamani wazee wa jamvi habari zenyu. mimi nimepata mchumba mpya 2medate 2kutane lkn yy bikira, so napenda niwaulize maswali macache. 1. je nikukutana nae naweza kurudia zaidi ya mara moja? 2. je, akiumia baada ya kufanya mapenzi atakubali kuolewa na mimi? wazee naomba mawazo yenu co jokes...
 8. DULLAH B.

  Yanga wana nini?

  Jamani wana jf naomba mnijuze yanga wana matatizo gani? Kila cku draw hadi wanaboa! Au ule ubingwa wa east africa 2lipewa? Wenye details chanzo cha matatizo Yanga anijuze.
 9. DULLAH B.

  Mwalimu kidnaping his pupil.

  Wana Jf habari zenyu. Kuna mwl mmoja wa international school moja Moshi alimteka mwanafunzi wake ili alipwe pesa. Ilitawala sana media mwanzoni mwa mwezi huu. Je huyo mwl alikamatwa? Mtoto alipatikana? Na kama mtoto alipatikana alikua hai kwani huyo mwl alitishia kumua endapo asingelipwa pesa...
 10. DULLAH B.

  Nahitaji mke wa kuoa!

  Jamani mi nahitaji mke wa kuoa co kumchezea! Awe muislam elimu kuanzia form 4 umri uczidi 30. Aliyetayari an inbox her email.
Top Bottom