Search results

 1. junky

  Juma Mpogo na Jack Simela tangu waondoke, mnanda nao umepotea

  Tokea hawa waimbaji mashuhuri wa mnanda wafariki hakika mnanda nao umeenda zake ,ladha na utamu wa mnanda umepotea ..Wameondoka mapema Sana ikiwa fani bado inawahitaji. 1.Juma Mpogo lupozi "seven survivor" 2.Jack Simela "Jagwa "
 2. junky

  Yanga waliwahi kucheza bila kula chakula cha mchana sababu ya TFF kubadilisha muda

  Kocha Mwinyi Zahera aliwahi kulalamika kipindi akiwa kocha akicheza dhidi ya JKT Tanzania Awali mechi ilikuwa ichezwe saa kumi na mbili jioni lakini Tff walibadilisha muda hivyo wakaharibu program nzima ya timu. Wachezaji saa kumi na mbili asubuhi walifanya warm up na wakaingia kulala vyumbani...
 3. junky

  Tulivyonusurika kufanyiwa mchezo mchafu Tabora

  Hekima kwa anaye kwenda ugenini ni kuwauliza wenyeji kuhusu mazingira,mandhari,utamaduni na kanuni za sehemu uhusika.Lakini imekuwa jambo la kawaida siku hizi mtu akisafiri kwenda ugenini hafati taratibu hizi bali hufanya masuala yake kimya kimya binafsi nimejifunza haswa huu mkoa wa Tabora...
 4. junky

  Tanzia: Msanii wa kundi la Jagwa Music Jack Simela afariki

  Msanii maarufu wa kundi la Jagwa Music ambaye alikuwa nyota wa kundi kwa sauti yake tamu na Nzuri bwana Jack Simela ametutoka kwa ajali ya gari aliyoipata mkoani Morogoro kwa kugongana na Scania. Hii ni pigo kwa mashabiki wa Mchiriku sio tu Tanzana bali duniani kwa ujumla sababu Jack Simela...
 5. junky

  Balozi wa Tanzania nchi Uganda Dkt.Aziz anaendelea na kazi vzr nchini Uganda

  Balozi wa Tanzania nchini Uganda Dkt.Aziz Mlima(kushoto) akimsikilizs Rais Mstaafu Benjamin William Mkapa ambaye ni msuluhishi wa mgogoro wa Burundi.Rais Mkapa aliwasili katika uwanja wa ndege wa Entebbe asubuhi ya leo NB: Juzi Evarist Chahali alitoa uzi humu akisema Balozi wa Tanzania nchini...
 6. junky

  Leo nimelia na nimetokwa machozi kwenye daladala

  Leo nilikuwa nimepanda daladala aina ya eicher hapa jijini Dar es salaam kama unavyojuwa jiji letu halikauki kwa foleni..lakini udhia wa foleni haukuonekana sababu dereva wa daladala ile alifungulia muziki wa Mnanda au mchiriku kiukweli Mungu amlipe kila la heri yule dereva Japo sikulia kama...
 7. junky

  Hawa ndio vijana wadogo wanaoshikilia rekodi kufanya mambo makubwa Tanzania

  Hawa ndio vijana wenye umri mdogo waliofanya mambo makubwa kuzidi umri wao.. 1.Dkt Salim.A.Salim Huyu bwana akiwa na miaka 19 alikuwa chief au mwakilishi wa zanzibar nchini Cuba..alivyofikisha miaka 22 akateuliwa kuwa balozi wa Tanzania nchini Egypt na alivyokuwa na miaka 23 akapelekwa kuwa...
 8. junky

  Akram Aziz sitoshangaa akishinda kesi,Serikali pigeni marufuku trophy hunting

  Mh.Kingwangwala kwanini mnatoa vibali ya kuwawinda simba na chui,sitisha trophy hunting ,tuwalinde simba&chui wetu - JamiiForums Nimeshaandika nyuzi kibao huko nyuma kuhusiana na serikali kutoa vibali ya kuwinda wanyama walio kwenye hatari ya kupotea kama Tembo,simba na chui kama nilivyotoa...
 9. junky

  North korea waitishia marekani wasema watahamishia nguvu zao kwenye nyuklia ,waicheka marekani kwa dharau

  "Marekani wanafikiri kurudia rudia vikwazo na kuongeza pressure ndio itapelekea sisi tuharibu Nucleur zetu.Hatuwezi kujizuia kucheka kwa wazo hili la kipumbavu "stupid idea" kama hilo. -"waziri wa mambo ya nje wa North korea "Kama marekani wakiendelea kuonyesha ujeuri bila kuonyesha mabadiliko...
 10. junky

  Live updates;fainali ya Caf champion league Al Ahly vs Es Setif

  Fainali ya kwanza ya michuano ya Caf kati ya Al Ahly na Esperance.Saizi ni Half time Al ahly wanaongoza bao 1-0 Dakika ya 58 Al Ahly wanapata bao la pili Mechi inaonyeshwa live zbc 2
 11. junky

  Wabunge pelekeni muswada bungeni ili hii sintofahamu ya uzimwaji wa local channels itatuliwe

  Ni wiki sasa vingamuzi vya multi choice (dstv) na Azam tv wamesitisha huduma ya kurusha local channels kwa amri ya TCRA na sababu kubwa ni kuwa vingamuzi hivi hawana leseni ya kurusha local channels. Wakati Tanzania inaingia kwenye mfumo wa digitali mwaka 2006 tenda zilitangazwa kwa makampuni...
 12. junky

  Kwanini wavuta bangi wanaichukia pombe na wanya pombe ?

  Kuna jambo kwa muda nimekuwa nalitafakari hivi kwanini wavuta bangi wanawachukia wanywa pombe na pombe. Kwa udadisi wangu nimeona ukimuelezea mvutaji madhara ya bangi lazima atadakia kwa kuiponda pombe na kuisemea mbovu pombe hata kama hakuulizwa Kimbilio la wavuta bangi ni kuiponda pombe na...
 13. junky

  Picha za wanawake wa mkoani

  Sasa zamu ya wa mkoani hebu tupia picha zao kama unayo maktaba
 14. junky

  Unafki mwingine bwana ,kweli marekani ana uchungu na ukiukwaji wa haki za binaadamu syria

  Machi 20 2017 katika operesheni zake nchini Syria ,marekani iliangusha makombora kwenye shule na kuua watu na machi 22 ikalipua soko na kuua watu 84 wakiwemo wanafunzo 34 Mwaka 2016 usa ikalipua hospitali Aleppo hospitali pekee iliyobaki Aleppo na kuua madaktari na wagonjwa Haki za binaadamu...
 15. junky

  Mzee Akilimali:" Mkwasa ni tatizo nipeni uwenyekiti niwasaidie sijaitwa Abramovich kwa bahati mbaya

  AKILIMALI:- MKWASA AMEYATAKA MWENYEWE -Katibu wa Baraza la wazee wa klabu ya Yanga, Ibrahim Akilimali naye ametoa neno kuondoka kwa kocha wa Yanga, George Lwandamina na kujiunga na klabu ya Zesco United. -Asubuhi ya leo mzee akilimali amesema "Lwandamina ni kocha mzuri sana tukubali tu timu...
 16. junky

  Ni mjinga pekee ataamini Assad alitumia silaha za kemikali,Shambulizi ya jana ni sababu ya kulinda maslahi ya Israel

  Siku ya jumamosi marekani na Israel walifanya mazungumzo kadhaa kabla ya mashambulizi kufanywa dhidi ya Bashar Assad,pia washauri wa mambo ya usalama wa Neyanyau walizungumza na Ufaransa pamoja na Uingereza kuhusiana na concern yao kuhusu uwepo wa kijeshi Iran ndani ya Syria.Mmoja wa wakubwa wa...
 17. junky

  Waandishi wa habari Tanzania bure kabisa,ona hawa

  Wakati katoa pasi 2 za magoli sasa kadhibitiwa vipi.
 18. junky

  Kim Jong Un ameshinda vita tayari ,ametimiza ndoto ya babu yake ..saizi amekubali meza ya mazungumzo

  North Korea hivi karibuni walikuwa wanafanya majaribio ya ICBM "Intercontinental Ballistic Missile" na baada ya majaribio ya muda mrefu hatimaye North walifanikiwa kujaribu major test na wakafanikiwa 100% November 30 2017 North Korea walifanya jaribio la ICBM aina ya Hwasong -15 missile yenye...
 19. junky

  Tillerson anataka kuvunja ushawishi wa China barani Afrika kitu ambacho hakiwezekani

  Kwa Miaka mingi China wamekuwa na ukaribu mkubwa na nchi za Africa.Tokea miongo na miongo China imekuwa na influence Africa. China wamewekeza sana kwenye miundo mbinu kama ujenzi wa reli,madaraja ,barabara ,majengo kwa nchi za ki-Africa na utoaji wa mikopo wa riba nafuu kuliko mataifa mengine...
 20. junky

  Kati ya Nadir Haroub Cannavaro na Victor Costa nani anapaswa kuwa beki bora wa muda wote Tanzania

  Bila ya shaka kila mtu anaufahamu uwezo wa hawa Beki nguli Nadir Haroub cannavaro aliyehudumu timu ya taifa kwa muda mrefu na klabu ya yanga pamoja na Beki machachali Kelvin Yondani Vidic Nataka nitambue leo yupi anafaa ,anastahiki kuwa beki bora wa muda wote Tanzania kati ya hawa. 1.Nadir...
Top Bottom