Search results

 1. mkonowapaka

  Toyota carina Ti inauzwa 4milion

  Gari aina ya toyota carina inauzwa..... specifications: 1. Ti carina 1998 2. CC: 1490, Engine 5A. 3. Haina AC ila mfumo wa ac upo vitu vingine vipo safi, gari haivumi imetulia barabarani. 4. Haina ubovu wowote inatembea;njoo na fundi wako ajiridhishe ukipenda 5. Insurance inaisha mwezi huu...
 2. mkonowapaka

  Tumepoteza ujauzito wetu leo

  Wapendwa.. Leo tumepoteza ujauzito wa mke wangu wa takribani mwez mmoja na nusu. Alianza kulalamika maumiv ya tumbo kisha bleed ilianza.Tuliwah hospital akapatiwa Dawa tu kisha kuruhusiwa kurud nyumbani na baada ya hapo maumivu yalizid na baada ya muda kiumbe kilitoka.. Ni uchungu mkubwa sana...
 3. mkonowapaka

  Diamond: Zari hajawahi kuolewa

  akihojiwa na radio Clouds Fm kupitia kipindi cha 255 amesema Zari hajawahi kuolewa na hata Zari mwenyewe hana kumbukumbu kama aliwahi kuolewa.........bwahaha Diamond amesema hana muda wa kufuatilia maisha ya mtu ya zamani kinachomata ni kuangalia uhusiano wao wa sasa....amesema pia hajapokea...
 4. mkonowapaka

  Dina Marios ajiunga E-Fm Radio

  Huyu dada alikua mtangazaji mzuri sana Clouds Fm kipindi cha Leo Tena. Aliacha mda mrefu bila sababu za msingi sana. Namkubali sana huyu dada namtakia kila la heri huko
 5. mkonowapaka

  NSSF hawana kumbukumbu sahihi ya michango ya wanachama

  Ndugu wanajamii, Nimefuatilia michango yangu ya mfuko wa jamii NSSF na kugundua madudu makubwa. Michango yangu ya miaka mitatu mfululizo yaani miezi 36 ni miezi 25 pekee inayoonekana kwao. Nimefuatilia kwa muajiri wangu na kugundua kwamba michango ilikua inapelekwa na muajiri na risiti...
 6. mkonowapaka

  Inasemekana UKIMWI wa sasa sio mkali kama wa miaka ya 80

  Nimeona tujadili kirafiki zaidi pia kwa kutambua experience mbalimbali za watu. Juzi katika pitapita zangu humu mitandaoni nikaona article moja kwamba UKIMWI wa miaka hii (kuanzia 2000) hauna nguvu sana kama wa miaka ile ya 83 wakati unaanza. Akatoa mchanganuo kwamba miaka ya 83 ilikua mtu...
 7. mkonowapaka

  Bwana harusi hajaanza vikao, bibi harusi kaanza vikao

  Wakuu, The heading above is selfu explanatoryi, Bwana arusi hana sababu za msingi zaidi ya kusema eti hana pesa ya maandalizi so wafunge tu ndoa basi warudi home bibie walishaanza vikao vya kitchen party na send off tayari kufanyika mwezi wa nane katikati, bibi arusi hajawafaamisha wazazi...
 8. mkonowapaka

  Suppliment kwa wenye tatizo la moyo mkubwa inahitajika

  wakuu Ndugu yangu ana tatizo la moyo kuwa mkubwa.na.iyo imesababishwa na Presure na.Sukari... Nimeelekezwa suppliments.aina ya.Cardial Power naomba.mwenye connection nazo anipatie.pamoja.na.bei..asante
 9. mkonowapaka

  Sitegemei playback.tarehe 1 May

  Kati ya jambo nitakalojutia kuliko yote.ni Diamond kuniburudisha na playback.. #wachakinuke
 10. mkonowapaka

  Huyu Bikira wa Kisukuma anachekesha

  Kabla jk hajatia saini huo muswada tujitahidi kuyatoa....:cool: uyu jamaa bwana nimewahi mfuatilia huko insta na alijifanya kuponda sana mtu kuajiriwa...na akafikia hadi kulipisha watu 20,000 kwa saa akupe ushaur wa kibiashara uwe kama yeye...nk nk nk nakumbuka kuna wakat alijitapa kafungua baa...
 11. mkonowapaka

  Maulid Kitenge kila weekend yupo London

  Huyu nguli wa michezo wa pale E-Fm Radio kila ifikapo weekend lazima awe London Uingereza. Kama Celeb tuna haki ya kudadavua hiyo mitoko!! warumi una mpya gani hapa?
 12. mkonowapaka

  Generator kubwa 10kva linahitajika haraka

  Wakuu Nahitaji generator kubwa la kva 10 na kuendelea maximum 20kva....liwe kwenye hali nzuri sana na lisiwe magumashi... Liwe dar es.salaam.... Weka mawasiliano yako au pm... First come first served
 13. mkonowapaka

  Aunty Ezekiel ajifungua

  Hatimae Aunty Ezekiel amejifungua mtoto, Hongera kwake!
 14. mkonowapaka

  Protein suppliments zinahitajika

  Habari wanajamvi, mimi ni kijana wa miaka 31, ninafanya mazoezi ya weight lifting lengo likiwa ni kujenga mwili mzuri ambao upo fit. Sasa nasumbuliwa na tatizo moja, ni kwamba mimi ni mwembamba sana, na kwa kipimo cha BMI nakaribia kushuka kwenye underweight. tangu nimeanza mazoezi nimeona...
 15. mkonowapaka

  Zitto Kabwe ailipua Airtel bungeni dhidi ya TTCL

  Hatimae jioni hii bunge limepata taarifa rasmi ya umiliki wa share za TTCL asilimia 35 by Airtel. Sasa muda umewadia wa ukweli kujulikana na huyu mnyonyaji kuiacha kampuni hii ya kizalendo, itafahamika kwamba TTCL imekuwa na mazungumzo zaidi ya miaka mitano ya kumtoa mwanahisa huyu bila...
 16. mkonowapaka

  Naomba Ushauri kuhusu Biashara ya 'Kirikuu'

  Nafikiria kununua ki-Suzuki carry kwa biashara. Naomba ushauri wenu kwa wale wenye uzoefu wa biashara hii. Mfano; Kwa siku hesabu imefikia ngapi, n.k.
 17. mkonowapaka

  TTCL yanasaini mkataba wa bilion 300 na Huawei

  Kampuni kongwe na yakizalendo TTCL leo imesaini mkataba wa ku supply na kujenga miundombinu mipya kutoa huduma bora ya mawasiliano ya GSM 3G NA LTE (4G). Hii ni sehemu ya mpango mkakati wa kujijenga upya na kulivamia soko la mawasiliano kiushindani. Tunampongeza CEO wa kampuni hii na timu...
 18. mkonowapaka

  Video Chafu ya mwanamitindo Rio Paul yavuja

  Aisee kwa wale mliopo instagram mmejionea kijana alivyokuwa anakata mauno?Hii ni hatari kubwa!! Jamaa alipigwa video yupo na kichupi tu cha blue anakatika. Mwenye ile video aweke hapa,huyu jamaa anatuharibia watoto.
 19. mkonowapaka

  Group za Whatsaap Ni shidaa

  sijakaa sawa nikajikuta nimeungwa grup la clasmets wa O-level.....nikakausha siku mbili baadae naombwa namba na clasmet wa primary eti nimpe no nayotumia watsap kabla sijamjibu nikaungwa....la pili ilo juzi nimeungwa la wana chuo,mtaani ninalo wa wazazi wa jumuiya....bado nna grup la wanywaji...
 20. mkonowapaka

  Spirulina inahitajika

  Wadau suppliment ya spirulina inahitajika urgently... pls
Top Bottom