Search results

 1. kikahe

  Tahadhari ya matapeli kupitia simu za mikononi

  Wadau, chukueni tahadhari kuhsu hizi namba ambazo kuna watu wanajiita wadau wa Kilimo kwanza wanafanya biashara ya spea za matrekta ya kilimo kwanza. walinipigia simu kwa kubadilisha sauti na kujifanya kuna muuzaji na wanunuzi na mwisho wanakwambia utume fedha ya usafiri sh. 400,00/= Namba hizo...
 2. kikahe

  Mabango ya waganga wa kienyeji kwenya nguzo za umeme na simu

  Hivi haya mabango ya waganga wa kienyeji kwenye nguzo za umeme na simu ynalipiwa kodi kwenye halmashauri/manispaa husika? Yamezidi na yanachafua miji. Hakuna sheria kudhibiti hii hali?
 3. kikahe

  Naangalia zangu live emmanuel tv

  Karibuni tuangalia live Emmanuel TV hapa:Emmanuel TV
 4. kikahe

  Watendaji wa serikali kugawa sukari

  Jamni hivi jukumu la msingi la maafisa watendaji wa serikali ni kugawa Sukari? Imenishangaza kuona ofisi za kata ndiyo zinauza sukari? Naomba kuelimishwa kwa hili jamani. I stand to be correctedif need arises
 5. kikahe

  quick way to save a webpage for offline viewing (i.e. to read the webpage later)

  I found a quick way to save a webpage for offline viewing (i.e. to read the webpage later) Please see the attachment;
 6. kikahe

  Hivi Rombo, Same na Mwanga ni Moshi?

  Watu wengi wakienda kwao Rombo, same, Mwanga hata Hai utawasikia wanasema tunaenda MOSHI. Mbona hizo ni Wilaya tofauti na Moshi? Jamani nisaidieni kwa hili. Nawasilisha
 7. kikahe

  Hisa za precision air

  Hello member! Nimesikia juu juu kuwa Precision wanauza hisa. Naomba mwenye taarifa tafadhali anijuze. Asante
 8. kikahe

  HIVI UDAKIZI(Hacking) ni kosa hapa Tanzania?

  Great thinkesr naomba kujua kama hacking ni kosa hapa Tz na ni kwa sheria ipi. Mbona kozi hizi zinafundishwa kwenye vyuo vingine nje ya nchi?
 9. kikahe

  Research on pmu compliances

  Hello great thinkers Nategemea kufanya research on PMU(procurement management unit) compliance in public organisations. Naomba ambaye ameshafanya nione kitu related na hiki anipe paper yake nione. Au mwenye nondo anisaidie plz. Thanks in adavance
 10. kikahe

  Je ni sahihi magari ya serikali kutokatiwa bima?

  Wadau eti ni kweli magari ya Serikali hayakatiwi BIMA? ndo maana wind screen zinakuwa hazina kitu. Kama ni kweli je ni sahihi?
 11. kikahe

  Rais wa jf

  Hivi JF ina Rasi wake? maana nimekuwa nikisikia marasi kibasi kibao Tz. Mfano, Rasi wa jamhuri ya muungano wa Tz, raisi wa TFF, Raisi wa BUT, Raisi wa wasafi, rais wa masharobaro,Rasi wa Manzese , raisi wa watangazaji nk.
 12. kikahe

  Ministry of health post graduate sponsorhip-list is out

  For those who applied for MOH sponsorship, please check this link: http://www.moh.go.tz/POSTGRADUATE-TO-BE-SPONSORED.pdf
 13. kikahe

  TANROADS na viongozi wa mizani hawajui hili?

  Hello Great thnkers? Nimekuwa nikijiuliza tabia ya mabasi yakifika kwenye MIZANI wanawaambia abiria washuke mpaka gari lipite na kurudi tena, au kusogea mbele gari ipite kwenye mizani kwanza. Je tanroads hawajui huu mchezo? Nimewasilisha swali ninalojiuliza kila siku nikipita, Mingoyo,Njia panda...
 14. kikahe

  Huduma za kampuni ya bima ya matibabu-strategis company

  Hello JF Member! Nime experience huduma ambazo siyo nzuri za strategis company. Vipi kuna aliye experience hiki kitu?
 15. kikahe

  Loliondo technical report

  Hello Member! Please find the LOLIONDO TECHNICAL REPORT ATTACHED TO THIS
 16. kikahe

  Kodi za magari yanayoingizwa

  Hello Members! Naomba kama kuna anayejua kodi zote zinazolipiwa magari yanayokuwa imported. Nataka nijue ili niweze kuweka budget SAWA nisije kuagiza ka NISSAN MARCH alafu ushuru na kodi nyingine zikajakunishinda nikashindwa kukomboa.THanks
 17. kikahe

  Msaada wa spss software

  Hello JF members! Sorry I am in need of SPSS software as it is needed in my research and I am in very remote area in Tabora. Please do me a favor how I can get it. Thanks in advance
 18. kikahe

  Spss software

  Hello colleagues! Mimi ni mwanafunzi ninatakiwa kufnya research na nimeambia nitumie SOFTWARE iitwayo SPSS kwa ajili ya analysis. Je hii software inapatikana wapi? Asanteni
 19. kikahe

  Varieties of books in soft copy

  Hello Great Thinker! I found this site useful and think will be better to share with you. Go to this site www.4shared.com and enter the name or title of the book you are looking for at the search area the enter. the list will come up and download it. Wishing you all the best.
 20. kikahe

  Ubuntu software

  Hello members! Tafadhali naomba kama kuna mtu ana uzoefu na OS ya UBUNTU. Je ni compatible na other MS applications? Nimesikia hii OS haiingizi VIRUS. Naomba elimu kwenye hili plz
Top Bottom