Search results

 1. Waziri2025

  Wakili alipwa Tsh milioni 80 kumwokoa Ole Sabaya

  Wakati kesi ya unyang'anyi wa kutumia silaha inayomkabili aliyekuwa DC wa Hai, Lengai ole Sabaya na wenzake ,ikielekea ukingoni kumalizika ,imefahamika kwamba wakili wa Sabaya ,Mosses Mahuna anadaiwa kulipwa sh, milioni 80 kumwokoa sabaya. Pesa hiyo inadaiwa kupitia kwa mpenzi wa sabaya aitwaye...
 2. Waziri2025

  CWT kwawaka Moto Arusha yatoa tamko

  Kufuatia kusambaa mitandaoni kwa taarifa juu ya ubadhilifu wa mamilioni ya fedha za Chama Cha walimu Tanzania CWT zilizotolewa na aliyekuwa mwenyekiti wa CWT Mkoa wa Dodoma , Mwl.Clement Mahemba ,chama hicho mkoa wa Arusha kimetoa tamko la kulaani taarifa hizo kikidai ni upotoshwaji. Akiongea...
 3. Waziri2025

  Rais Samia muondoe DAS wa Arusha

  Ofisi ya Mkuu wa wilaya ya Arusha kupitia kitengo kidogo Cha Malalamiko kinachosimamiwa na katibu tawala wilayani hapo,kimegeuka mahakama kwa kutoa maamuzi ya ovyo yaliyojaa Rushwa huku Haki ikipindishwa kwa maslahi yao. Hatua hiyo imekuja kutokana na migogoro kadhaa inayoletwa katika dawati...
 4. Waziri2025

  UNDP ,Serikali kukuza Utalii wa Ikolojia Nchini

  Na Joseph Ngilisho ARUSHA Serikali kwa kushirikiana na shirika la msaada la umoja wa Mataifa (UNDP) na kampuni ya simu ya Vodacom imekusudia kukuza Utalii wa Ikolojia katika maeneo ya misitu na vyanzo vya maji. Akizungumza katika mkutano uliojumuisha wadau wa mradi huo jijini Arusha, Mratibu...
 5. Waziri2025

  Mhanga wa Sabaya atinga Mahakamani. Awataja wengine waliomteka

  Mmoja ya wahanga wa tukio la Kushambuliwa na aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai ole Sabaya, Simon Mnyampamda ambaye Ni Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Hai, ametinga katika Mahakama ya Wilaya Arusha na kukutana uso kwa uso na mtesi wake wakati huo Ole Sabaya na wenzake walipofikishwa...
 6. Waziri2025

  Kesi ya Radio 5 na waliokuwa wafanyakazi wake kuunguruma tarehe 11 Juni, 2021

  MAHAKAMA Kuu masijala Ndogo ya kazi Kanda ya Arusha kesho June 11 inatarajia kusikiliza kesi ya msingi ya maombi ya wafanyakazi wapatao saba kuomba mahakama hiyo kukamata mali za kituo Cha Tan Communication Media inayo miliki kituo cha utangazaji cha Radio Five kilichopo Njori jijini Arusha...
 7. Waziri2025

  Arumeru: Kiboko avamia kijiji, auawa, wananchi wagombania Nyama

  Hali ya Taharuki imewakumba wananchi wa Vijiji vya Embaseni na Maji ya chai wilayani Arumeru Mkoani Hapa ,kufuatia mnyama aina ya kiboko kuvamia makazi yao na kuwajeruhi watu wawili na kujaribu pikipiki. Hata hivyo Kiboko huyo aliuawa na askari wa wanyama pori na wananchi wa vijiji hivyo...
 8. Waziri2025

  DC Amsweka ndani mwanasheria Arusha sakata la hotel Ngurdoto

  Mkuu wa wilaya ya Arumeru Jerry Muro amemfanyia umafya wa hali ya juu mwanasheria Msomi na wakili wa kujitegemea, Edmund Ngemela kwa kosa la kumtetea mwajiri sakata la wafanyakazi wa Hotel ya Ngurdoto. DC Muro alifika katika hotel hiyo na kuzungumza na wafanyakazi ambao baadhi yao walipatiwa...
 9. Waziri2025

  Watatu wapoteza maisha kwa kufukiwa na kifusi Arusha

  Watu watatu wamefariki Dunia na wengine watatu wamejeluhiwa baada ya kuangukiwa na Kifusi wakati wanapakia Molamu katika Machimbo ya Molamu yaliyopo Kisongo Wilayani Arusha. Machimbo hayo yalishawahi kuuwa RAIA wengine na kufungwa na aliyekuwa mkuu wa Arusha ,Magesa Mulongo ,hata hivyo...
 10. Waziri2025

  Rais Samia abebeshwa zigo la kiwanda cha NMC, kutenga kitendawili

  Na Woinde Shizza, ARUSHA WAKULIMA wa mazao mchanganyoko katika mikoani ya Manyara na Arusha wamempongeza Rais Samia Suluhu Hassan (SSH) kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa kwanza mwanamke wa CCM Taifa, wakimshauri kutengua kitendawili kuhusu kiwanda cha unga cha NMC Arusha. Aidha, wakulima hao...
 11. Waziri2025

  Dkt. Mathuki akabidhiwa rasmi katibu mkuu EAC, Mfumukeko aagwa

  Katibu mkuu mpya wa jumuiya ya Afrika mashariki, Dkt Peter Mathuki ameahidi kuzitembelea nchi wanachama wa jumuiya hiyo ili kuibua Changamoto mbalimbali zinazowakabili wananchi na namna ya kuzipatia ufumbuzi. Aidha amewataka wafanyakazi wa jumuiya hiyo kushikamana kwa pamoja na kutokubali...
 12. Waziri2025

  TLS kwawaka moto mabilioni yatafunwa, CAG aombwa

  Chama cha wanasheria Tanganyika TLS kumezidi kufukuta kufuatia taarifa ya mapato na matumizi kutiliwa shaka na wanachama na kukataliwa . Wanachama wameomba mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za serikali CAG kufanya ukaguzi huru ili kubaini upigaji wa fedha ndani ya TLS . Mweka hazina wa TLS na...
 13. Waziri2025

  DC Sabaya amshukia vikali Mwenyekiti wa halmashauri ya HAI 'ukinizingua nakuzingua '

  Mkuu wa wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro,Lengai Ole Sabaya amemwagiza mkurugenzi wa halmashauri hiyo,Yohana Sintoo kuhakikisha analipa deni la zaidi ya sh,milioni 600 linalotokana na madai ya wazabuni ,sekta binafsi na mifuko ya hifadhi ya jamii ndani ya siku Saba kabla hajachukua hatua. Agizo...
 14. Waziri2025

  LONGIDO: Kundi jingine la Nzige latua Longido

  LONGIDO Wananchi na wakazi wa Wilaya ya Longido Mkoa wa Arusha wameingiwa na taharuki kufuatia kundi la Nzige kuvamia maeneo ya makazi na Malisho na kushambulia mazao na mimea. Nzige hao wa ajabu wanadaiwa kushambulia mazao mbalimbali wilayani humo ,ambapo walianza kuonekana maeneo ya Namanga...
 15. Waziri2025

  DC Arusha azitaka Mahakama kupeleka msaada wa kisheria kwa wanyonge

  Mkuu wa wilaya ya Arusha Kenan Kihongosi amezitaka Mahakama Mkoa wa Arusha kutumia maadhimisho ya wiki ya Sheria nchini kupeleka elimu ya kisheria kwa wananchi wanyonge waliopo ngazi ya kata na kuacha kujikita mijini pekee. Kihongosi ametoa Rai hiyo leo jijini Arusha wakati wa uzinduzi wa...
 16. Waziri2025

  Mjane ailalamikia CCM kutomlipa kodi ya pango kwa miaka mitano, ofisi yafungwa deni lafikia milioni 3

  Mkazi mmoja wa kata ya Osunyai ,katika jiji la Arusha , Gloria Laizer ambaye ni mama mjane, amelazimika kuangua kilio hadharani kumlalamikia mpangaji wake ambaye ni chama Cha Mapinduzi CCM kata hiyo kwa kushindwa kumlipa deni la pango katika ofisi waliopanga katika kipindi Cha miaka mitano...
 17. Waziri2025

  Arusha: RC Kimanta amvaa vikali Gambo kuhujumu Mapato ya Serikali

  Mkuu wa mkoa wa Arusha, Iddy Kimanta amemvaa vikali mbunge wa Arusha Mjini Mrisho Gambo kutokana na kauli ambazo amekuwa akizitoa za kutetea watu wasilipe Kodi na hivyo kuikosesha mapato serikali. Akiongea katika semina elekezi ya madiwani wa jiji la Arusha ,Kimanta bila kutaka jina la mlengwa...
 18. Waziri2025

  Wapangaji AICC wapanga hujuma usiku

  Wapangaji zaidi ya 30 wa nyumba Za kuishi zilizoko kijenge jijini Arusha zinazomilikiwa na kituo cha mikutano cha kimataifa Arusha,(AICC) wamekituhumu kituo hicho kuwapangisha kwenye nyumba mbovu zilizooza na zimekuwa zikivuja kama mwembe wakati wa mvua. Katika kikao chao cha Siri...
 19. Waziri2025

  MVIWATA yawapa Mbinu wakulima kuongeza uzalishaji

  Wakulima na wafugaji mkoa wa Arusha wamepewa mbinu zitakazowasaidia kurahisisha majukumu yao na kuongeza uzalishaji wenye tija kwa kufuata kilimo cha kiikolojia chenye uhakika wa masoko na kipato. Hayo yamebainishwa na kaimu katibu Tawala mkoa wa Arusha ,Hargeney Chitukulo wakati akifungua...
 20. Waziri2025

  Bilionea mwingine kutoka jamii ya Kimasai aibuka nchini, ni mchimbaji wa Madini ya Rubi

  Mchimbaji mdogo mdogo wa Madini ya Ruby yaliyopo katika kata ya Mundarara wilayani Longido Mkoani Arusha Sendeu Laizer ameibuka kuwa tajiri katika sekta hiyo baada kupata tani tano za madini hayo yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 1.7. Hiyo ni mara ya pili kwa wachimbaji wadogo wadogo...
Top Bottom