Search results

 1. pascal luoga

  Nashindwa kurudisha moyo kwa mpenzi wangu baada ya kurudiana

  Wakuu habari zenu.. Poleni sana na majukumu Napenda kuandika ujumbe huu nikiwa na akili zangu timamu..tupo kwenye kushare mawazo kama vijana.. IKO HV Nina mrembo mmoja ambayo nimesoma naye chuo since 2 years ago na tumemaliza mwaka jana wote pamoja... Huyu manzi alikuwa ni mgeni pale chuo...
 2. pascal luoga

  Ameniambia haoni siku zake, naomba ushauri tafadhali

  Habari wakuu, poleni na mihangaiko ya hapa na pale. Naombeni msaada juu ya hili ninaloliona mbele yangu. Iko hivi nini mpenzi wangu ambaye yeye yuko kwao na mimi pia niko kwetu il nin ka, yangu ya maana ninafanya. Mara ya mwisho nilisex na huyu bidada kama last 2 weeks na alisema kwamba...
 3. pascal luoga

  Tatizo lililonikuta Christmass (Nimechelewa kufika kileleni)

  Habari wapendwa bila kupoteza mda niende moj kwa moja kwenye mada wakuu. Jana tarehe 25 ilikuwa ndio mara yangu ya kwanza ku do sex, sikuwai katika maisha yangu ila yaliyonikuta yamenifanya nijiskie vibaya.. Iko hivi nimeenda na mtu wangu ambaye alinisumbua kwa muda mrefu kunipa tunda na ni...
 4. pascal luoga

  Ni Wiki ya pili hii nawashwa kwanzia sehem za siri, mapaja mpaka tumboni

  Habari wakui ndani ya jukwaa hili? Ni hivi, ni kwangu tu ama tatizo hili lipo kila sehem ndani ya kipind hiki? Tatizo Ni Wiki ya pili hii nawashwa kwanzia sehem za siri, mapaja mpaka tumboni...ukijikuna unatoka kama ukurutu ama mba, pia tatzo hili huanza hasahasa nyakat za usiku kwanzia saa1...
 5. pascal luoga

  Msaada: Mpenzi wangu sio mwaminifu ila kila nikimwambia tuachane analia

  Habari wakuu wote ndani ya jukwaa hili la mahusiano na kwingineko pia, naimani wote mu wazima wa afya. Bila kuchelewa naomba niende moja kwa moja kwenye maada Iko hivi, nina mpenzi wangu ambaye niko naye kwenye mahusiano mwaka wa 3 sasa. Yeye anaishi kwao mimi pia naishi kwetu ila najikuta kuna...
 6. pascal luoga

  Kilichonikuta leo kinaniumiza kichwa changu

  Wapenda natumai mu wazima wa afya kabisa ingawa jua linazidi kutupiga ila ndo hvyo tunatafuta rizki hivyo hatuna jinsi. NAOMBA NIENDE MOJA KWA MOJA KWENYE MADA. Leo ni jumapili nimeamka zangu asubuhi nikawa najiuliza vitu vingi akilini mwangu...ambavyo nimejikuta vinaniumiza kichwa kwa kweli...
 7. pascal luoga

  Nahitaji kujua gharama za mtaji

  Habari ndugu zangu wa jamii forums natumai mu wazima.. Kuna ndugu yangu anahitaji na anatamani kufanya hii biashara ya PHONE AND ELECTRONIC ACCESORIES. jana aliniuliza kuhusu mtaji wa kuanza nao nikakosa jibu halisi la kumpa... Sasa nilikuwa nahitaji kufahau kwamba yaweza kugharimu mtaji wa...
 8. pascal luoga

  Mimi ni mtu wa aina gani?

  Habari wana jamii forums. Twende moja kwa moja kwnye mada. Mimi ni kijana wa rika fulani 20-30 ni mfanya biashara. Sababu zilzonifanya niandike huu uzi ni kutokana na maisha ninayoyaishi mpaka muda mwingine najikuta najishangaa na kujiona ni kama mtu wa ajabu Iko hivi kwa kipindi changu...
 9. pascal luoga

  Huyu mrembo ananipenda na mimi pia nampenda, ishu imekuwepo kwenye Tunda

  Habari za mchana ndugu zangu, Mpaka imefikia nimekuja kuomba ushauri humu, inamaana nawakubali 100% ndugu zangu, kwani hamkuwai kuniangusha hata simu moja hasa katika matatizo yangu binafsi.. Tukienda kwenye mada Mimi ni kijana wa miaka 23 ambaye nina mpenzi ambaye amenizidi umri kidogo yeye...
 10. pascal luoga

  Wamiliki wa iPhone store Makumbusho na kwingineko, mzigo mnapatia wapi?

  Habari za leo ndugu wana j-forums Kwanza kabisa niende kama kichwa cha habari kinavyosema 'wamiliki wa iphine storeS' Nimekuwa ni mfanya biashara wa mda mref sana hizi za online market kwa kuagiza bidhaa tofaut tofaut. Mfano saa, cases, and other accesories kwa kuagiza ali express, na kwenye...
 11. pascal luoga

  Je! kwa Kariakoo, ni mtaa gani naweza pata pete ya uchumba?

  Habari wana Jamiiforums wote, Swal langu ni Je! kwa Kariakoo, ni mtaa gani naweza pata pete ya uchumba ama ya ndoa original gold or silver?? Msaada wandugu. Note.. MTAA
 12. pascal luoga

  Bureau de Change yenye rate nzuri ni ipi?

  Habari wana JF. Nahitaji kujua Bureau de Change yenye rate nzuri kwa maeneo ya Kariakoo mpaka Posta, nina dollar zangu kadhaa kama 348$ nahitaji kwenda kuzichange siku ya leo. Naombeni kujua ndugu zangu.
 13. pascal luoga

  Msaada juu ya Allergy hii ya ajabu

  Nina allage ya ajabu inanisumbua - Huwa nikikata kachumbali mchuzi wa nyanya usinidondokee kwenye hiki kidole - Nikisaga kitunguu maji, swaumu ama tangawizi majmaj yake yasiguse hiki kidole - Nikila chakula mchuzi wa samaki or rost ikiahika kwenye hiki kidole kosa. VYOTE HAPO JUU NI KOSA...
 14. pascal luoga

  Naombeni jina la hii engine

  Iko kwenye Toyota land cruiser mkonge (hard top)
 15. pascal luoga

  Maisha ninayoishi na wazazi wangu yananikatisha tamaa ya kuja kuoa huko mbeleni

  Moja kwa moja nikienda kwenye mada kama ilivyo andikwa hapo juu, Ni kwa Muda wa miaka 21 sasa naishi na wazazi wangu wote wawili, ambao walifunga ndoa tangu mwaka 1999, kwa kipindi chote hiki tangu naanza kujitambua i mean kwanzia miaka 14 hvi and above nimeweza kujifunza vitu vingi sana kuhusu...
 16. pascal luoga

  Ninapata maumivu ya korodani uume unaposimama muda mrefu bila kufanya mapenzi

  Wakuu natumai ni wazma kabisa, Tatizo lililonifanya kuandika uzi huu ni shida ambayo huwa inanitesa sana na sijui tatizo ni nini? Iko hivi, mashine inapo simama huwa naona kawaida mpaka inakuja kupoa ila tatizo linakuja kwanini kila ninapokutana na demu gheto nikawa naye romantic pasipo kusex...
 17. pascal luoga

  Kwa watumiaji wa Aliexpress tukutane hapa

  Heri ya sikukuu ya Eid wapendwa. Ishu kubwa nilikuwa naomba wenye ujuzi wanieleweshe, kuhusu mambo haya; 1. Ni kampuni gani nzur kwa shipping na wanaoenda na wakati ama kusave time? 2. Niliingia nikajaribu kufany kama nanunua kwa jumla cha ajabu nikakuta kitu kinauzwa mfano 20000/=tsh...
 18. pascal luoga

  Tuambiane ukweli ili na sisi ambao hatujaoa tujue tunafanyaje

  Ulipofikia uamuzi wa kuoa ama kuishi na Mwanamke account yako ilikuwa inasoma shilingi ngapi? Tunataka tujue tu na sisi tujipangeje
 19. pascal luoga

  Kum-track mtu kupitia namba yake ya simu

  Nina shida kwa mwenye kujua gharama ama process za kufuata ili uweze kumtrack mtu kupitia nambari yake ya simu kwa kupitia TCRA mlolongo uko vipi? Mwenye kufahamu anijulishe. Ninayemtafuta ni mwizi ameniibia simu yangu na Nina mfahamu nikimpigia namba yake anapatikana na hapokei simu . MSAADA...
 20. pascal luoga

  NAOMBENJ USHAURI. NI PSYCHOLOGICAL PROBLEM AMA NINI???

  Wakuu kwanza napenda kuwasalimu wadau wote kutoka Jamii forum, Mimi ni kijana wa miaka 21 nimetimiza umri huo kama last 3 weeks hiv, kipindi Niko secondary form2 niliingia katika huu mchezo wa kujichua ama (punyeto) wengi wanavyofahamu , nimekuwa addicted na mchezo huo mwaka wa (7) sasa na...
Top Bottom