Search results

 1. Sharobaro la jf

  Huyu Demu ndio alieniloga uchizi

  Wakuu kiukweli nimekuwa chizi wa mapenzi nashindwa kuelewa, kuna demu npo nae lakini amebadilika sana, nina miezi nae 10 lakini amebadilika kiasi ninachonishawishi kuwa Ana mtu, ishu IPO hivi, sijawahi kumgonga kutokana na umbali mimi npo Dar yy Moro halafu anakaa kwa dadaake kila nikimtumia...
 2. Sharobaro la jf

  Mpenzi wangu ananiita baba, je ni sahihi?

  Hivi ni sahihi mpenzi wangu kuniita baba? Amezoea kuniita jina hilo je, kuna madhara?
 3. Sharobaro la jf

  Zero IQ Nipe hii mbinu ya kula mademu Wakali

  Hivi kwann mademu wakali siku hizi ni ngumu Sana kuwapata kwa baadhi ya sisi vijana tusio na hela, nimekuwa nikisoma nyuzi za member mmoja wa humu anajiita Zero IQ, Huyu jamaa anasemaga anawala mademu wakali kila siku jap ni muuza chipsi tu Ila anajipigia watoto wazuri daily, kaka zero IQ...
 4. Sharobaro la jf

  Nampenda Ledada Wa Jf

  Kama kichwa cha habari kinavyosema, nimetokea kumuelewa huyu member wa humu Jf, anaeitwa ledada, Kama utaisoma hii posti ledada jua nakuelewa sana, na npo tayari kukuoa kwa gharama yoyote ile, nakupenda
 5. Sharobaro la jf

  Hawa ndio wanawake watano ninaowakubali humu JF

  Wakuu poleni na mihangaiko ya hapa na pale. Katika maisha kila mtu anakuwa anakuwa inspired na watu flani either kimtazamo au life style yao inasababisha mtu kuvutiwa nao. Mfano mzuri ni humu JF kuna baadhi ya members wa jinsia ya kike nimetokea kuwakubali na kuwa shabiki wa kutupwa kwao. 5...
 6. Sharobaro la jf

  Siku niliyotongozwa na huyu Msichana wa Instagram (Shabiki wa Harmonize)

  Katika maisha hakuna kitu ambacho uwa kinaleta mshtuko kwa sisi mabaharia kama kutongozwa na demu mkali ambae na wewe ulikuwa unajiandaa kumtokea live, ilikuwa jumapili moja nipo zangu mtandao pendwa wa instagram naperuzi kwenye page ya mmakonde Harmonize Temboo. Sasa nakumbuka Harmonize...
 7. Sharobaro la jf

  Huyu Ex wangu kaniloga

  Wakuu habarnii za miangaiko ya hapa na pale, kiukweli kuna mwanamke tuliachana miezi mitatu imepita ila cha ajabu nashindwa ku move on jamani mda huu kanifanya mtumwa maana nimemuomba turudiane kakubali ila sasa hajawahi kunitumia SMS hadi mimi nimuanze na anajibu kifupi. Najua hanipendi na...
 8. Sharobaro la jf

  Alikiba jitambue bhana

  Habari zenu wakuu, Poleni na miangaiko ya hapa na pale, kiukweli huyu msanii wenu alikiba almaarufu kama kingkiba the real voice siku hizi naona kabisa uwezo wake wa utunzi umeshuka sana, alikiba wa sasa sio yule Alikiba wa 2011 hadi 2015, yule ndio Alikiba niliekuwa namkubari alikuwa...
 9. Sharobaro la jf

  Huu wimbo mpya wa WCB ft Diamond quarantine wamekopi hapa??

  Wakuuu nimeusikiliza wimbo wa wcb ft diamond platnumz unaitwa qurantine, naweza kusema ni kama hawa jamaa wameishiwa sana ukiangalia nyimbo zima wamekopi nigeria yaani hii video kila sehemu ni kopi kopi tu, pia naona kabisa hii nyimbo haitafikisha viewa millioni moja ikitokea naombeni mnipe...
 10. Sharobaro la jf

  Diamond hajui, anakwama hapa tu

  Binafsi mimi sio shabiki wa muziki ila sijatokea kumuelewa huyu msanii Diamond Platnumz kabisa kuanzia staili ya uimbaji wake yaani naona kabisa jina ndio linambeba mda huu. Kiukweli ukimuweka Diamond wa sasa na Mario basi jua kabisa bila jina, Diamond haingii kwa Mario hata mara moja, siku...
 11. Sharobaro la jf

  Je, ananipenda huyu mwanamke?

  Wakuu habari za siku ndugu zangu wanaJamiiForums? Natumahi mu wazima kabisa? wanachuo wenzangu nawakumbusha siku ni chache turudi katika pilika pilika la kusaini boom, Wakuu niende kwenye mada kama kichwa cha habari kinavyosema, kuna mwanamke mmoja ni mwanachuo pia kama mimi, sasa tumekuwa...
 12. Sharobaro la jf

  Hivi ni sahihi kutoka kimapenzi na huyu binamu yangu?

  Wakuu nauliza tu kama una binamu wa kike mkali sana anaonyesha dalili za kukutaka kimapenzi, ni sahihi kuwa naye kimapenzi hau? Maana kuna binamu yangu hapa kazidi mazoea nataka kuwa naye
 13. Sharobaro la jf

  Vyuo Vikuu kufunguliwa wiki ijayo. Huyu msichana wa UDSM nimeshamkosa

  Wakuu poleeni na miangaiko ya hapa na pale. Leo Mkuu wetu wa Nchi, JPM ametangaza kuanzia wiki ijayo atafungua Vyuo vyote Vikuu kwani anadai ugonjwa wa COVID-19 ushaisha na Tanzania ni salama kabisa🙏🙏🙏, Nije kwenye mada hapa kitaani kuna msichana mmoja namfukuzia ni Mwanachuo pale UDSM...
 14. Sharobaro la jf

  Hivi ni sahihi Mwanaume kumsaidia Mkewe kazi za ndani?

  Hivi ni sahihi mwanaume kumsaidia kazi za ndani mkewe kama kuosha vyombo, kupika na kuogesha watoto?
 15. Sharobaro la jf

  Leo Harmonize kahojiwa rasmi EATV, amtaja Diamond

  Wakuu atimae Harmonize leo ameamua kumaliza bifu lake na EATV, amepiga stori mbili tatu na Tbway katika kipindi cha Friday Night pia amemtambulisha msanii wake ibrah ambae alikuwa akitambulisha EP yake ya steps. Kilichonifuraisha ni kusikia Harmonize akiisifu WCB. Pia amesema hana ugomvi nao...
 16. Sharobaro la jf

  Nimfanye nini huyu EX wangu?

  Wakuu kuna mwanamke nimeachana naye tuna mwezi sasa na tuliachana kwa kukata mawasiliano tu kutokana na tabia yake aliyokuwa ananifanyia, sasa jana kanitumia sms kuwa amenimiss sana. Naombeni ushauri nifanyaje?
 17. Sharobaro la jf

  Huu ndio ukweli kuhusu wanawake, njooni mpinge

  Wakuu kuna kitu kimekuwa kikinishangaza sana kuhusu mapenzi. Leo nimeamua kidogo niliulize ili swali maana kwangu naliona sio la kawaida. Hivi kwanini mtu ukiwa upo kwenye mahusiano ukimtongoza mwanamke yoyote nje hakatai tena unampata kirahisi tu? ila mfano ukiwa single ukijaribu kumtongoza...
 18. Sharobaro la jf

  Huyu msichana kaniacha ila ana-like picha zangu za Instagram

  Wakuu habari zenu za toka juzi kati? Natumahi mpo poa kabisa Wale wanaondelea kusoma simulizi yangu ya penzi la mfungwa nimeshapost vipande vipya kuanzia sehemu ya 11 hadi 14, ni bonge la simulizi sio poa pita kule kwenye jamvi la Entertainment utaikuta. Nije kwenye mada, kuna demu wangu...
 19. Sharobaro la jf

  Kauli ya Diamond kuhusu hii Nyimbo mpya ya ROstam

  Wakuuu hawa jamaa wameachia nyimbo yao mpya inaitwa kaka tuchati aisee ni bonge moja la ubunifu wanastahili pongezi gusa link hapo chini ukaicheki Sent using Jamii Forums mobile app
 20. Sharobaro la jf

  Huyu jirani yangu wa kike ananipenda

  Habari zenu wakuu poleni kwa miangaiko ya hapa na pale katika kutafuta chochote riziki ili kujikwamua kiuchumi Nije kwenye mada, mimi nipo eneo x sasa ninapoishi nyumba yetu imepakana na nyumba fulani yaani pua na mdomo. Hapo kuna msichana mmoja tulisoma wote shule ya msingi ila baada ya hapo...
Top Bottom