Search results

 1. Michael Scofield

  Mama amuua 'House Girl' kwa kipigo, amfungia chumbani

  Unampa vyote kasoro dushelele, ndio alienda kulitafuta huko
 2. Michael Scofield

  TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

  Asante sana naona ndani ya wiki tangu nimelileta suala langu limeshughulikiwa kabisa, asante sana Tanesco.
 3. Michael Scofield

  TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

  Nipo kahama, Tanesco wamepitisha waya juu ya paa la nyumba yangu, kuelekea kwa jirani yangu, na bado wiring kuelekea kwenye nyumba ya huyo jirani yangu imepitia kwenye ukuta wangu. yaaani ni hatari hatari, tumeandika barua ya malalamiko kwenda Tanesco wilaya kahama kipindi cha mwezi na nusu sasa...
 4. Michael Scofield

  Ijue historia ya kaburi la Sharif Abdushakur Salim Al Attas lililopo Samora, Posta Jijini Dar es Salaam

  Haujui panapoongelewa hapa, sio hapo posta ya zamani unapopafikilia wewe, ni huku mnara wa saa, panapoanzia 0kilomita. ndipo hiyo bustani na kaburi hilo vinapatikana.
 5. Michael Scofield

  TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

  Kuna malalamiko tumeyatoa ofisi ya Tanesco Kahama, Lakini yapata mwezi mmoja sasa hatujui kama swala linashughulikiwa ama vipi, Naomba kujua utaratibu wenu je mkipokea malalamiko mnayatolea ufafanuzi bahada ya muda gani? au tuendelee tu kusubili hata kama jambo linaweza kuleta madhara kwa...
 6. Michael Scofield

  CCM Kahama acheni hizo!

  Mie ni mfanyabiashara katika maduka yaliyopo hapa ofisi za chama cha mapinduzi wilayani Kahama. Hivi vibanda tumepangishwa na watu waliopewa na CCM wavijenge miaka ya nyuma (Sijui makubaliano yao na chama). Mwanzoni mwa mwaka huu, tulipitiwa na iliyokuwa kamati ya kufuatilia mali za ccm (kama...
 7. Michael Scofield

  Tuwe wakweli, ziara ya Rais Magufuli mikoa ya Iringa na Morogoro ilijaa kauli za kibaguzi na utengano wa kitaifa

  Inamaana Magufuli kamuogopa diwani wa chadema pale Mkula kaenda kukaa na Lijuakali wa kilombero, Suzan Kiwanga na Pr J, mbona pointless tu hapo Ndo maana kuna bi mkubwa mwanzoni kasema "mgazeti mreeeeefu"
 8. Michael Scofield

  Anga la washenzi na Joana anaona kitu usiku

  Mkuu asante sana kwa kipaji hiki ulichokionyesha, wengi humu hatuwezi ni wasomaji tu, maana kukaa siku nzima unawaandika watu waje wasome kwa muda wa nusu saa tu then wanalalamika mbona cha leo "kifupi steve"? si mchezo! nami nina yangu machache Utanisamehe najua watu wataanza "ooh! si uandike...
 9. Michael Scofield

  Msaada wa ushauri ninunue gari gani kwa bajeti ya 16M

  Mkuu naona kimya sijui ushapata, nunua Toyota Carina kama sikosei cc 1380 aizidi 1400cc, ukiweka mafuta ya 30,000 unatembea kilomita mpaka 240 yaani unaenda Moro kula bata, ukipigika kimaisha una uwezo wa kuiuza faster au ukaajili kijana anaifanya Texi unakula 120 per week. Tena ukipata rangi ya...
 10. Michael Scofield

  Bungeni: Mbunge wa Kibamba, John Mnyika akwaa adhabu kwa utovu wa nidhamu

  Kuna clip nimeiona askari wa bunge akimsukumiza mh Mnyika pale mlangoni tena Mnyika hata hakuonyesha kupinga ndio kwanza akaweka kaunda suti yake vizuri huyoo maskini akaondoka zake, kilitaka kunitoa mchozi kile kipande. Hata hao waheshimiwa waangalie pia nguvu inayotumika ni kubwa na isiyo na...
 11. Michael Scofield

  Zitto: Serikali yalikoroga ujenzi standard gauge, wachina wanyimwa zabuni, wagoma kutoa pesa

  Du kweli Zitto nae kichwa maji, kwahiyo watu wakiuke taratibu za zabuni kumpendelea mtoa pesa? kutakuwa na utawala wa sheria hapo sasa?
 12. Michael Scofield

  Tanzania njia panda: Benki ya Dunia ina hisa mgodi wa Dutwa uliofutiwa leseni kujenga tenki la maji

  Wewe naona ndio haufatilii kabisa siasa za marekani, alichokiongea ndicho anachokitenda, ukuta unajengwa mexico na marekani, taratibu za kuiondoa obama care zimeanza, bado kupigwa marufuku waislamu kuingia marekani n.k n.k
 13. Michael Scofield

  Tanzania njia panda: Benki ya Dunia ina hisa mgodi wa Dutwa uliofutiwa leseni kujenga tenki la maji

  Ni kawaida hiyo, rejea hotuba za kampeni za Trump, kwa waamiaji, waislamu kwa mexico n.k
 14. Michael Scofield

  Tujuane wana JF wa Mwanza

  Igoma
 15. Michael Scofield

  Nifanyeje Ili Nimsahau

  Wa kwako bado muda ukifika utampata, fanya sana maombi mungu atasikia kilio chako.
 16. Michael Scofield

  Ni Mjazito Hataki Wazazi Wajue?

  Kwa kumsaidia huyo dadaako waambie wazazi mapema, kuliko kukaa kimya.
 17. Michael Scofield

  Lazima kieleweke watu wamjue mungu!!

  Au babu noma.......?
 18. Michael Scofield

  TAHADHARI: Orodha ya TBS ya bidhaa 48 zisizotakiwa kuonekana sokoni...

  Hii orodha nayo mbona feki......! mbona Mafuta ya Ubuyu hawakuyaweka?
 19. Michael Scofield

  Baby Madaha anapika na kupakua nyumbani kwa Juma Nature Mbagala

  Bongo Fleva, Bongo Movie hakuna Mme wala Mke, Usijifu umepata mke au mume kutoka katika fani hizo umeliwaaaa. Nadhani walioweza ni Marlaw na Besta na labda H Baba sijui. Namsikitikia Penny wa Diamond, ni bora angetafuta Mwanahabari mwenzie
Top Bottom